the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Ndugu zangu Watanzania,
Moto Uliowashwa Na Katibu wa Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi Unaendelea Kuuteketeza Na kuukausha Upinzani mitaani Hususani CHADEMA.
Ambayo Wanachama wake wengi wamezinduka kutoka Usingizini na kuanza kuondoka na kukihama...
Msanii Mkongwe Dudu Baya, ameonekana kwenye video akisema kuwa kuna mpumbavu mmoja panya mwenye kaswende mpumbavu eti amenipigia simu eti akifa nisisogelee maiti yake akifa nisifike Kwenye msiba wake.
Unadhani panya huyo ni nani?
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa.
Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii kasoro.
Swali ambalo bado linaumiza kichwa changu, ni kuhusu CDF ns IGP kusemewa na DCI na...
Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za...
Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka...
Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini.
Na hapa...
Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka...
Wamechallenge almost kila kitu alichosema. Wamehoji, wamefungua kesi, wamehamasisha wengine wawe wapinzani, wameleta arguments zao… wamepiga kelele.. lakini kuna statement yake moja wameshindwa kabisa kuipinga:
“Kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.” (Mwanzo 3:19)
Ukweli ndio huo...
Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha.
Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu.
Nimedumu katika mapambano haya...
Nimeishi na Wakurya, wakiwemo Wanzanaki na koo mbalimbali ambazo wakati mwingine hujitambulisha kama makabila tofauti, lakini ukiangalia kwa karibu utaona ni wale wale tu wote wanaitana MURA ! mambo mengi wanafanana kuanzia majina, mila, tohara na mambo mengine mengi. Kwa kifupi, wote ni kina...
Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.
Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc.
Hivyo mahakama iweke utaratibu kwa mashahidi watatu waliobaki yaani CDF, DCI na IGP mshitakiwa aweze kuonana...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa mambo kulinganisha na miaka ya nyuma.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazoelezwa na wataalamu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
Wanabodi,
Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.