SI KWELI Inasemekana Trump alishakufa iliyopo ni clone yake

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Katika uhandisi jeni (genetic engineering), clone ni nakala inayofanana kabisa kijeni (genetically identical copy) ya jeni, seli, au kiumbe, inayozalishwa kutoka kwa chanzo kimoja.
Kwa ufupi:
Gene clone – nakala nyingi za jeni moja.
Cell clone – kundi la seli zenye DNA ileile, zote zimetokana na seli moja.
Organism clone – kiumbe kilichotengenezwa ili kiwe na vinasaba (DNA) vinavyofanana kabisa na vya kiumbe kingine.
Mfano katika uhandisi jeni: Jeni la kutengeneza insulini kutoka kwa binadamu linaweza kuingizwa kwenye bakteria. Bakteria huyo huzaliana na kutengeneza mamilioni ya bakteria wenye jeni hilo hilo. Bakteria hao huitwa clones, na hutumika kuzalisha insulini kwa wingi.

Jamiicheck tunaomba hili nalo mkalitazame
file_0000000072ac8230bb7ee8d18e6ee39e.png
 
Tunachokijua
Donald John Trump (aliyezaliwa Juni 14, 1946) ni mwanasiasa, mtu maarufu wa vyombo vya habari, na mfanyabiashara wa Marekani ambaye ni rais wa 47 wa Marekani. Akiwa mwanachama wa Chama cha Republican, alihudumu kama rais wa 45 kuanzia mwaka 2017 hadi 2021.

Madai

Kumekuwa picha zinazosambaa mtandaoni zikionesha kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ni nakala inayofanana naye (Clone) lakini mwenyewe halisia ameshafariki.

Uhalisia wa madai hayo

Baada ya ufatiliaji wa kidigitali imebainika kuwa picha hiyo si ya kweli kwasababu hakuna taarifa za kifo chake pia hakuna chanzo cha kuaminika kilicho chapisha habari hiyo wala inayofanana na hiyo pia picha hiyo si halisi imetengenezwa na akili unde (AI).

Teknolojia ya sasa ya kisayansi imeweza kufanya cloning kwa wanyama tu (kama vile kondoo maarufu aliyeitwa Dolly miaka ya nyuma). Kufanya cloning kwa binadamu bado hakujawezekana kisayansi, na ni jambo linalokatazwa vikali kisheria na kimaadili duniani kote.

Hii ni moja ya nadharia za nyama (Consipiracy theory) isiyo na ushahidi wowote wa kisayaynsi.
Katika uhandisi jeni (genetic engineering), clone ni nakala inayofanana kabisa kijeni (genetically identical copy) ya jeni, seli, au kiumbe, inayozalishwa kutoka kwa chanzo kimoja.
Kwa ufupi:
Gene clone – nakala nyingi za jeni moja.
Cell clone – kundi la seli zenye DNA ileile, zote zimetokana na seli moja.
Organism clone – kiumbe kilichotengenezwa ili kiwe na vinasaba (DNA) vinavyofanana kabisa na vya kiumbe kingine.
Mfano katika uhandisi jeni: Jeni la kutengeneza insulini kutoka kwa binadamu linaweza kuingizwa kwenye bakteria. Bakteria huyo huzaliana na kutengeneza mamilioni ya bakteria wenye jeni hilo hilo. Bakteria hao huitwa clones, na hutumika kuzalisha insulini kwa wingi.

Jamiicheck tunaomba hili nalo mkalitazame
Akili za ilim ya wawaidha ya madrasa ya akina juma namsoma, na wanaojiita madocta na maprofesa kwa kuuza mitishamba aka za kisuna
 
Katika uhandisi jeni (genetic engineering), clone ni nakala inayofanana kabisa kijeni (genetically identical copy) ya jeni, seli, au kiumbe, inayozalishwa kutoka kwa chanzo kimoja.
Kwa ufupi:
Gene clone – nakala nyingi za jeni moja.
Cell clone – kundi la seli zenye DNA ileile, zote zimetokana na seli moja.
Organism clone – kiumbe kilichotengenezwa ili kiwe na vinasaba (DNA) vinavyofanana kabisa na vya kiumbe kingine.
Mfano katika uhandisi jeni: Jeni la kutengeneza insulini kutoka kwa binadamu linaweza kuingizwa kwenye bakteria. Bakteria huyo huzaliana na kutengeneza mamilioni ya bakteria wenye jeni hilo hilo. Bakteria hao huitwa clones, na hutumika kuzalisha insulini kwa wingi.

Jamiicheck tunaomba hili nalo mkalitazame
Hata Biden alishakufa, Hata Netanyahu alishakufa hata wewe ulishakufaa!
Hizi ni stori za kwenye kahawa tu achana nazo.
 
Katika uhandisi jeni (genetic engineering), clone ni nakala inayofanana kabisa kijeni (genetically identical copy) ya jeni, seli, au kiumbe, inayozalishwa kutoka kwa chanzo kimoja.
Kwa ufupi:
Gene clone – nakala nyingi za jeni moja.
Cell clone – kundi la seli zenye DNA ileile, zote zimetokana na seli moja.
Organism clone – kiumbe kilichotengenezwa ili kiwe na vinasaba (DNA) vinavyofanana kabisa na vya kiumbe kingine.
Mfano katika uhandisi jeni: Jeni la kutengeneza insulini kutoka kwa binadamu linaweza kuingizwa kwenye bakteria. Bakteria huyo huzaliana na kutengeneza mamilioni ya bakteria wenye jeni hilo hilo. Bakteria hao huitwa clones, na hutumika kuzalisha insulini kwa wingi.

Jamiicheck tunaomba hili nalo mkalitazame
,🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom