Kiongozi dictator hutolewa na wananchi ambao ni sisiAcha mihemuko, ni jeshi pekee linaloweza kumtoa kiongozi wa nchi, mbambana na Katiba,,,,hapo ulipo huna hata gobore
Fuatilia Shah, Marcos, Ben Ali, Mubarak nk. walitolewaje madarakani. Tatizo hampendi kusoma ila ni kukariri tu kwenye vijiwe vya kahawa.Acha mihemuko, ni jeshi pekee linaloweza kumtoa kiongozi wa nchi, mbambana na Katiba,,,,hapo ulipo huna hata gobore
Ndo mchungaj wenu apo kweny kanisa la mabati alivowaambia?Vijana wa kiafrika wanarubuniwa na kupelekwa Russia kwamba wanaenda kupewa ajira mwisho wanaishia kuuliwa kwenye vita na Ukraine.
Russia hawana wapiganaji wengi wameuawa vitani na wengine wamekimbia nchi kukwepa kupelekwa vitani na matokeo yake wanakuja kurubuni vijana wa kiafrika wenye njaa.
Mbona kama unaongea kwa kuteseka sanaVijana wa kiafrika wanarubuniwa na kupelekwa Russia kwamba wanaenda kupewa ajira mwisho wanaishia kuuliwa kwenye vita na Ukraine.
Russia hawana wapiganaji wengi wameuawa vitani na wengine wamekimbia nchi kukwepa kupelekwa vitani na matokeo yake wanakuja kurubuni vijana wa kiafrika wenye njaa.
Hata silaha tuliambiwa wameishiwa ila mwaka wa tano huu mnapelekewa moto wa Ukraine wote kuanzia kule Kiev mpaka huku jfInaonekana huna taarifa kamili za hii vita!
Una habari kwamba sasa hivi warusi nao wanapanga foleni kujaza mafuta na wameambiwa watukie kwa bajeti?
Romania, Sri Lanka na Bangladesh wananchi ndio waliwatoa Marais. UsikaririAcha mihemuko, ni jeshi pekee linaloweza kumtoa kiongozi wa nchi, mbambana na Katiba,,,,hapo ulipo huna hata gobore
Muoneee huruma Putin maana anachokutana nacho hakutegemea kabisa. Kwamba leo drones za Ukraine zinajipigia tu hadi ndani ndani kabisa huko Moscow!Hata silaha tuliambiwa wameishiwa ila mwaka wa tano huu mnapelekewa moto wa Ukraine wote kuanzia kule Kiev mpaka huku jf
Yaani mtapelekewa sana moto safari hii
britanicca ana uzi wake uchwara huku kama Moscow watu wanapanga foleni kupewa mkate tokea 2022 mpaka leo