EWURA - Vifurushi vya internet na muda wake

EWURA - Vifurushi vya internet na muda wake

muchetz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
954
Reaction score
745
Watoa huduma karibu wote(kama sio wote) wa internet wanasema siku 30 (sio mwezi) za huduma. Kwanini sio mwezi mmoja? Profit maximization??. Kwa mtazamo wangu wanaiba siku 6 (kwa mwaka) for every subscriber (wako hundreds of thousands if not millions). Basi na Tanesco, Dawasco e.t.c wafanye hivyo??? Sorry Loth Hema. TCRA. Anyhow muhimu ni mjadala ulilenga huo muda wa huduma. Thanks anyway for noting. Mods naomba nirekebishieni title.
 
Zote ni taasisi za serikali hizo, watashirikiana kupeana taarifa. Kwa tulipofikia hata ukipeleka malalamiko ya vifurushi vya internet DAWASA au Muhimbili National Hospital ni sawa tu😄😄.
Dah😀
 
Zote ni taasisi za serikali hizo, watashirikiana kupeana taarifa. Kwa tulipofikia hata ukipeleka malalamiko ya vifurushi vya internet DAWASA au Muhimbili National Hospital ni sawa tu😄😄.
😂😂
 
OK... kwahiyo na DAWASCO, TANESCO e.t.c na wenyewe waki bill kwa siku 30 ni sawa? Na kwanini hawafanyi hivyo?
tanesco ni prepaid, yaani LUKU, lipa kwa uwezo wako, unalipa kwanza let say unit 30 ndo hizohizo utakazotumia. na pia kuna wateja wa postpaid mfano kambi za jeshi au magereza hawa wanalipa kwa siku thelathini hizo unazosema.
 
Back
Top Bottom