wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali. Na wakati wao wanatafakari nasi tuendelee kupaza sauti

    Habari ndg wanajf. Napenda kuishauri serikali ilichukulie umuhimu hili jambo ipunguze mishahara ya wabunge hadi kufika milion 5. Pesa ya mafuta na service ibaki palepale ila mafuta na hela ya service iwe inakaguliwa kama imetumika ipasavyo. Pia ile ya mfuko wa jimbo ni vema wakaongezwa watu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM atoa maagizo wakati huu chaguzi ndani ya chama zikiendelea

    KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo. ================= TAARIFA HII IMEKANUSHWA DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Matumizi ya M- Kwenye Auto - Manual Cars. Wengi wanashindwa kufahamu watumie nini na wakati gani?

    Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana kuzipata Manual. kwa hizi ndogo nimekuwa na Toyota Harrier, Toyota Crown, Toyota Rumion na Toyota...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CAG sasa ni wakati kukagua sticker za magari tunayouziwa

    Kama ilivyo kawaida unapopewa sticker ya gari ni sharti gari likaguliwe na baada ya kuridhika basi unapewa sticker baada ya kulipia lakini utaratibu huu haufuatwi isipokuwa unapokutana na askari kitu cha kwanza kuulizwa je una sticker?. Kama huna unaambiwa lipia na ondoka zako bila ukaguzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

    Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso. Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye Portal ya Wizara ya Afya hakuna kipengele cha maderava wakati kwenye Tangazo wameweka nafasi hizo

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kuwasilisha tangazo lilitolewa na Wizara ya Afya Tanzania kuhusiana na hizi ajira 1650 zilizotangazwa wiki iliyopita, kuna thread nikiiweka inayosema kuwa Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu. Mapungufu yaliyopo kwenye tangazo walilolitoa...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati wa wanaCCM kupigania Katiba Mpya. Vinginevyo watabaki wakilalama na kulia kila siku

    Ufisasi, upendeleo na ubwanyenye umekuwa kama sasa ni sehemu ya maisha ya CCM. Na hii ni sababu hakijawahi kuondolewa madarakani kama chama tawala. Ingetokea tu siku moja CCM ikashindwa uchaguzi na wale wanaoshutumiwa kuiba mali za umma kwa mgongo wa CcM wakafungwa basi kuna baadhi ya wanaCCM...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, mtoto wako angekuwa na umri gani endapo ungepata mimba wakati ukishiriki ngono kwa mara ya kwaza?

    Kuwa muwazi wewe dada endapo ingetokea ukapata mimba mara yako ya kwanza kugegedwa ungekuwa na mtoto mwenye umri gani mpaka sasa?
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

    Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta Kwa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

    Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo. Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi. Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kama tunahamasishwa kutakiana mabaya kila wakati

    KUNA HAJA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NA WAHUBIRI KUACHA MASUALA YA KUTAKIANA MABAYA. Huwa nafuatilia kwa karibu sana nyimbo nyingi za Injili hususani za miaka ya karibuni pamoja na mahubiri ya kizazi cha zama zetu za sasa. Nimeweza kubaini kuwa kuna Injili ya aina ya ajabu sana inayosukumwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kama cheti na sheria ya ndoa havitambui kuchepuka iweje u-catch feelings ukigongewa wakati uli-sign mwenyewe?

    Muhali gani waungwana. Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala. Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/ Vyeti vikaletwa Mpaka vyeti kutoka nchi za...
  15. JamiiForums Tanzania Msijisahau huu ndio wakati sahihi wa kauli mbiu "Mama Anaupiga Mwingi"

    Lopolopo kuhusu viwango vya nauli msijisahau tunawakumbusha Mama anaupiga mwingi sasa yuko pande za Marekani, anafanya mwendelezo wa bidii za kuifungua nchi. Mama anaupiga mwingi, tuache lopolopo nauli kiwango cha chini ni 700 -1000,mpende msipende
  16. JamiiForums Tanzania Makonda kughushi vyeti: Ni wakati muafaka kwa mamlaka kushughulikia madai haya

    Tuhuma kuhusu Paul Makonda kughushi vyeti vya elimu zilitajwa sana katika awamu ya tano wakati wa msako wa vyeti feki. Wakapululiwa watumishi walioghushi vyeti lakini Paul Makonda akaachwa licha ya tuhuma kuvurumushwa kila kona. Nakumbuka rais Magufuli alilazimika kujibu tuhuma zile kibabe...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba imefika wakati mbadilike sasa, mtuhurumie sisi wapangaji, kodi zilipwe kwa mwezi na si miezi 3,6 wala mwaka

    Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi? Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini, ukimfadhili mwanamke usitegemee kwamba atakuja kukusaidia wakati wowote

    Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi. Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko na furaha kuendelea na uhusiano. Aliumia sana japo niliendelea kumsaidia kwa kulipa ada zake chuo...
  19. JamiiForums Tanzania Chongolo atupa vijembe, asema mwanasiasa mzuri hupambana wakati muafaka

    Daniel Chongoro ameonekana kuwalima vijembe wale wanaojipanga kwa ngazi mbalimbali za uongozi kwa kusema mtu anayeandaa watu mwaka huu kwa ajili ya 2025 sio mwanasiasa mzuri. Amesema mwanasiasa mzuri ni yule anayepambana muda husika, kujipanga mapema sio sahihi kwa kuwa huwezi jua ya kesho...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kuchukua likizo ya Mapumziko

    Tangu aapishwe sijui kama kapumzika. Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha. Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar. Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito.... Juzi alihudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar, Juzi alikuwa Zanzibar Anafuturisha.... Majuzi Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…