TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19.
Leo 20:15hrs 06/07/2022
Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma na Gomola basi sitaichoma moto" Kwa mtu mmoja na neno lake,Tanzania ilipata neema na rehema mbele za...
Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika.
Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
Wakuu Salaam.
Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi.
Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
Nimemsikia raisi wetu SSH jana akiwa hospital ya CCBRT akisema kuna vyumba ambavyo vitatumika wakati wa mke akiwa kwenye kujifungua mume awe hapo akimtia moyo,akiona shughuli wanawake wanapitia😀😀 ili wapange uzazi,atoe mahitaji na vinavyofanana na hivyo.
Mimi sipingi ni jambo zuri lakini tuwe...
Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika.
Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo.
Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
E bwana nachoamini hizi nchi za magharibi zisipobadilika kibiashara ,kitechnology,na uzalishaji kiukweli hapo mbeleni tutaanza kuona nchi za ASIA zinaibuka kuwa na nguvu sana.
Wenzetu wa mangharibi wanauza vitu vyao ghali sana ,alafu utendaji ni ulele ,tena sometimes wanazidiwa kete...
HOFU HII INASABABISHWA NA NINI KWANINI HAIKUWAPO WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA?
KUSUPA HAPENDEZEWI NA KUSEMA KUWA CHIEF MKWAWA ALIKUWA MUISLAM ANASEMA:
‘’MOHAMED SAID USICHEZE NA HISTORIA YA WAHEHE, WAPO WANAOIJUA VILIVYO!
ETI MKWAWA AJIITE ABDALLAH? HIVI KWELI WEWE UNAMJUA...
Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana.
Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa.
Mwezi ukapita, nikaenda...
Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge.
Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la serikali ya muungano Tanzania. Nipo kwenye mjadala mzito na mke wangu kuhusu hii mifuko ya UTT.
Tumepata pesakiasi Fulani baada ya KULIPWA fidia na Sasa nimemshauri tuwekeze kwenye bond ya utt, tatizo anatishika kuwa huko ukiweka fedha siku ukizitaka kupata...
Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.
Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
Hi guys,
Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..!
Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi...
Miaka kadhaa nyuma nilihudhuria msiba wa aliyekuwa jirani yangu kabla, kwa bahati mbaya au nzuri walihamia nje ya mji.
Kwa wakati huo kulikuwa bado ni shambani hivyo hata miundo mbinu ya barabara haikuwa rafiki ,Bajaji na Bodaboda hazikuwepo bado, ilikuwa mwanzoni wa 2000.
Usiku saa mbili...
Ninaamini wapo wanakanyaga kwenye toilet hizi za kukaa chooni.
Somo lahusu maradhi ya ngozi, UTI nk. Wakina mama sijui wenzangu Me wawapo faraghani. Nimeshuhudia partner wangu 30 ama 45 wanafika niliOingia nao maeneo ya kuondoka stress na kupapasana.
Kama hivi ndivyo walivyo wote naaapa Ile...
Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu itatupatia dikteta wetu.
Katiba hii imempa rais madalaka makubwa mno , rais anauwezo hata wa kulivunja...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema changamoto ya kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki iliyojitokeza jana June 21, 2022 imekwisha na sasa huduma tayari imerejea kwenye hali yake ya kawaida na wateja wanaweza kununua umeme kupitia njia zote.
Pia, soma=>...
Mkazi wa Geita, Yusuph Mlale amehukumiwa miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji.
Akiomba nafuu wakati wa hukumu, Mlale alimuomba hakimu ampe nafuu kwenye adhabu kwasababu alikamatwa na wananchi wenye hasira kali ambao walimpa kichapo kwanza kabla ya kumfikisha kwenye vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.