Sasa ni Wakati wa wazee wa CCM kumshauri Rais Samia

Omary - Msamalia

JF-Expert Member
Jan 19, 2020
2,079
4,510
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.

Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise wakubali leo kesho waanze Ujenzi.

Wote tunajua Samia hakutarajia kuwa Rais hivyo Hana lengo lolote kubwa kwa nchi, yeye Yuko tayari Kufanya lolote asiloweza kuvumilia kelele zake.

Kwa maslahi mapana na ustawi wa nchi Wazee wa CCM na Wakuu wa vyombo vya Dola, mshaurini Samia asijipe matumani ya Urais 2025.

Nawakumbusha anayeweza kumtoa Rais wa Sasa wa Tanzania na Afrika kusini ni CC ya vyama Tawala na Jeshi
 
images (2).jpeg

Mwambieni Polepole amshauri.
 
amini amini nakwambia, Rais wa nchi akishaapa tu huwezi mfanya lolote, na kwa katiba hii hakuna mwenye ubavu ndani ya ccm wa kujaribu hoja ya kumtoa 2025 mpaka 2030 kama akitaka kugombea.
Rudia tena kusoma ulichoandika kisha tafakari kwa kina...
 
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi...
Kwa sasa CCM Haina wazee makini kwa issues za kitaifa...wengi waliopo wameamua kujinyamazia kimya...
 
Mzee mwenye nguvu alikuwa ni Mkapa tu hao waliobaki ni kulinda matumbo yao na ajira za watoto wao vizazi na vizazi.
 
Hivi ikitokeo robo tatu ya mawaziri wote , wakatangaza kujiuzulu, ubavu utamkao "nonsense", hautovunjika kweli? "We need brains only to settle things, at once."
 
si kwa CCM hii ndugu, hiyo ni hoja ya kufikirika - Kwa katiba hii hakuna sehemu yoyote ile ambayo Rais atawajibika kwa lolote lile.
 
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.

Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise wakubali leo kesho waanze Ujenzi.

Wote tunajua Samia hakutarajia kuwa Rais hivyo Hana lengo lolote kubwa kwa nchi, yeye Yuko tayari Kufanya lolote asiloweza kuvumilia kelele zake.

Kwa maslahi mapana na ustawi wa nchi Wazee wa CCM na Wakuu wa vyombo vya Dola, mshaurini Samia asijipe matumani ya Urais 2025.

Nawakumbusha anayeweza kumtoa Rais wa Sasa wa Tanzania na Afrika kusini ni CC ya vyama Tawala na Jeshi
2025 tunaprint fomu moja tu kwa ajili ya Samia huo ndo utaratibu na utamaduni wetu CCM kwa incubent president.
 
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.

Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise wakubali leo kesho waanze Ujenzi.

Wote tunajua Samia hakutarajia kuwa Rais hivyo Hana lengo lolote kubwa kwa nchi, yeye Yuko tayari Kufanya lolote asiloweza kuvumilia kelele zake.

Kwa maslahi mapana na ustawi wa nchi Wazee wa CCM na Wakuu wa vyombo vya Dola, mshaurini Samia asijipe matumani ya Urais 2025.

Nawakumbusha anayeweza kumtoa Rais wa Sasa wa Tanzania na Afrika kusini ni CC ya vyama Tawala na Jeshi

253660168_396211975621847_245690561502166505_n.jpg
 
si kwa CCM hii ndugu, hiyo ni hoja ya kufikirika - Kwa katiba hii hakuna sehemu yoyote ile ambayo Rais atawajibika kwa lolote lile.
Na kuhakikishia, kwa mfano huu, kama aliyeonekana anapiga pushapu jukwaani, akapiga jalamba na makondoo, kisha akatika kama utepe katikati ya mkasi, jua ipo namna, ya kuweka mambo sawia, hakuna aliye mkuu mbele ya system. Katiba hata ingeandika kiongozi akipuyanga, apigwe risasi mara moja, bado kipengele hicho kingesigimwa kama kovidi 19, walivyotulia bungeni.
 
CC ya chama ambacho yeye ndiye Mwenyekiti - kichekesho ati kuongoza kikao chenye ajenga hasi juu yako.
Hakika,eti wakuu wa vyombo vya ulinzi wamshauri asigombee 2025.
Wateuliwa wataanzia wapi.
Vyombo vya ulinzi vingekuwa na nguvu kofia zingekuwa tofauti na urais.
 
Rais wa nchi akishaapa tu huwezi mfanya lolote, na kwa katiba hii hakuna mwenye ubavu ndani ya ccm wa kujaribu hoja ya kumtoa 2025 mpaka 2030 kama akitaka kugombea.
Katiba hiyohiyo mbovu (46A) inampa mamlaka spika kuanzisha mchakato wa kumng'oa rais; na mchakato ukianzishwa hawezi kuuzuia kwani atatakiwa kukabidhi madaraka kwa makamu mchakato ukiendelea.

Wana bahati tuna bunge lisilojua hata majukumu yake ni yepi.
 
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.

Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise wakubali leo kesho waanze Ujenzi.

Wote tunajua Samia hakutarajia kuwa Rais hivyo Hana lengo lolote kubwa kwa nchi, yeye Yuko tayari Kufanya lolote asiloweza kuvumilia kelele zake.

Kwa maslahi mapana na ustawi wa nchi Wazee wa CCM na Wakuu wa vyombo vya Dola, mshaurini Samia asijipe matumani ya Urais 2025.

Nawakumbusha anayeweza kumtoa Rais wa Sasa wa Tanzania na Afrika kusini ni CC ya vyama Tawala na Jeshi
Napita naogopa wasiojulikana
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom