wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. May Day

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutoka damu puani kwa Mtoto, ni Wakati gani nikamuone Dokta?.

    Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara. Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida. Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua gani ikifikia inabidi kwenda kumuona Daktari?.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kufungua biashara

    ACCOUNTING CONCEPTS Hizi ni sheria ambazo hutumika katika kutengeneza ripoti za kiuhasibu na kutunza mahesabu ya kibiashara. Kila kitu kina imani yake, hizi concepts ni kama imani zinazoongoza taratibu za kiuhasibu. 1. GOING ON CONCEPT. Hapa ni kuamini kuwa biashara unayoianzisha...
  3. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

    Habair wanajamii Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba. Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watawala, wananchi wana haki ya kupata taarifa sahihi na kwa wakati

    Ili kujenga jamii iliyobora mawasiliano katika kutatua changamoto za jamii ni muhimu sana. Lakini katika hili ofisi na taasisi za Serikali zimekuwa na changamoto katika kutoa mawasiliano kwa Umma na taarifa muhimu zinazowafaa wananchi. Ukianza kutafuta taarifa za jambo fulani katika Serikali na...
  5. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo kitu bora kabisa unachopaswa kufanya wakati huu wa vita ya Urusi na Ukraine

    Rafiki yangu mpendwa, Chombo kikubwa cha habari nchini China (Horizon News), kilichapa kwa makosa maelekezo yaliyokuwa yametolewa kwa wahariri wake. Pamoja na mengine mengi, maelekezo hayo yaliwataka wahariri kuhakikisha hawachapishi habari yoyote inayoichafua Urusi au kusiria upande wa...
  6. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Safari ya mafanikio ya Mwanamuziki Lauryn Hill: Usipuuze na kudharau watu na Usikate Tamaa

    Lauryn Hill Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill. Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya utunzi wa mashairi na sauti ya kipekee kabisa. Anaweza kuimba muziki wa aina mbalimbali, kuanzia...
  7. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Nuclear attack: "PRE-RU-SHE-A" mbinu ya kijeshi inayoweza kuokoa uhai wako wakati wa shambulizi la Nyukilia

    Moja Kati ya silaha inayotisha kwa sasa duniani ni nyukilia. Endapo utakutwa na shambulizi la nyukilia ni vyema ukatumia mbinu ya "PRE-RU-SHE-A' ili kupona shambulizi hilo. Wakati wa vita endapo BOMU la nyukilia litapigwa wanajeshi na raia ushauriwa kutumia mbinu hii ya "PRE-RU-SHE-A" ikiwa ni...
  8. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unaanzaje kuwaza kuoa au kuolewa wakati hujui maana halisi ya ndoa?

    Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa. Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu kwa machawa wa siasa

    Kuna viongozi wengi walikuwa wanategemea mgawanyiko na ugomvi wa Magufuli na upinzani. Hawa ni machawa wa usalama, Polisi na wanasiasa wanaotafuta nafasi. Hawa ni wale watu ambao kiundani hawajali Tanzania bali matumbo yao zaidi. Sasa Rais Samia anaongea na upinzani moja kwa moja bila...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Ahmed Adam aliyofikia Baba wa Taifa wakati wa kupigania Uhuru inakarabatiwa

    NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi iliwakilishwa na Salum Mpunga na Ali Ibahim Mnjawale. Baada ya mkutano wawili hawa walibakia kwa ajili ya...
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi wa Kingai kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake

    Mbowe ameshinda na sasa ni wakati sahihi kabisa wa Kingai na genge lake kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake pale Rau Moshi. Waanze kujichanga faster then tutawashtaki as individuals
  12. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Marekani: Wakati Marekani ikishinikiza wengine kuitenga Urusi kiuchumi, yenyewe haiko tayari kuitenga Urusi maeneo inayofaidika nayo

    Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika unapevuka kulingana na mahitaji ya wakati

    Katika muda wa miongo miwili iliyopita ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukibadilika na kugusa mambo mengi, badala ya ushirikiano kwenye mambo ya kisiasa tu, au ushirikiano wa upande mmoja (yaani upande wa China), kuusaidia upande mwingine (yaani upande wa Afrika), kama...
  14. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kupitia wakati mgumu CHADEMA inazidi kuimarika mioyoni mwa Watanzania

    CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania. CHADEMA inapitia magumu ya kipesa na hata ya kukandamizwa na wenye dola. Lakini inaimalika kila siku, na uzuri inaimalika ndani ya mioyo ya watanzania. Watanzania wana imani na chama makini chenye nia ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa.
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Video ya "Gidi'' ya Diamond Platnumz yakosolewa vikali mtandaoni kwa kutumia bendera inayohusishwa na ubaguzi

    Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz amekosolewa mitandaoni kwa kutumia bendera yenye utata katika video ya wimbo wake mpya wa Gidi. Bendera hiyo ni ya kundi la Shirikisho la majimbo ya kusini ya Marekani ambayo yalipigania kudumisha utumwa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na bendera...
  17. Daimler

    JamiiForums Tanzania Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

    Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau, Hali ya bara ya Ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti. Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni...
  19. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

    Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

    “Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji. Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria. Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi. Pia...
Back
Top Bottom