Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Nimechoka mno baada ya DAWASA KIBAHA kunitaarifu bili ya maji.
Kwa muda wa mwezi sasa maji ni shida, Yanatok mara moja ndani ya siku tatu au nne, lakini cha ajabu sasa eti bili imekuja kubwa mara mbili kuliko kipindi maji yanatoka kila siku
Naomba nitume meseji ifuatayo kwa uongozi wa DAWASA
1. Kuna possibility kuwa vijana wenu hawazunguuki kukagua mita bali wanafanya makadirio tu
2.Kuna uwezekano mmeamua kuwatwika mzigo wa gharama wateja wenu wachache walio katika database yenu ili kufidia hasara mliyoipata kwa kutokuuza maji kipindi hiki. Ninasema kuwa huu mchezo kama mnaufanya acheni mara moja, utawapeleka pabaya
Haya mnayofanya ni uhuni mtupu, acheni kubambikia wateja bili zisizo na kichwa wala miguu.
Kipindi hiki cha uhaba wa maji, bili ilipaswa iwe ndogo, siyo kubwa kiasi hiki.
Tunajua kuwa Bei ya Lita 1000 ni takriban shilingi 1680, Sasa unapomchaji mtu shilingi 80000 kipindi hiki cha ukame maana yake katumia lita (80000/1000)x1680 =Lita 134,440
Hizo lita zote 134,440 mtu kazipata wapi na kazitumia saa ngapi kipindi hiki cha ukame?
Yaani kama mtu ana zile Simtank za lita 5000 maana yake eti katumia Tenki hizo 28 katika mwezi huu wa ukame!. ambayo ni wastani wa mtu kutumia Simtank moja la lita 5000 kula siku, Inawezekanaje hii?
Dawasa Acheni huu uhuni wa kubambikizia watu bili feki
Waziri wa maji aione hii!
DAWASA wanaleta uhuni mtupu