Naomba kutofautiana na watanzania wengi ambao bado wanaamini JKT inawajengea vijana, uzalendo n.k
Jana nimeshuhudia ki video kikitembea mitandao kikionyesha vijana waki "craw" kwenye tope.
kwa kweli nilikuwa very much shocked na kujiuliza kijana wa leo akipelekwa katika kambi na kupewa mafunzo...
Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana.
Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
Habari za wakati huu ndugu zangu.! Naamini kila mmoja yu salama akiendelea na harakati za maisha, kwa wale wenye changamoto kadha wa kadha za kimaisha basi Mungu akakutetee.
Leo nimependa kukushirikisha baadhi ya vizuizi vinavyomfanya mtu ashindwe kuoa au kuolewa kwa wakati kwa mujibu wa...
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.
Kuna options mbili:
Either CCM...
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote.
Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana.
Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
Familia ya bwana kabati ilifikia hatua ya juu ya mafanikio katika jamii yao. Mwana kabati ni meneja wa benki na mama ni mwalimu tena alifikia kuwa Mwalimu Mkuu. Walibahatika kupata mapacha wawili wakiume.
Baba akiwa meneja wazo la kuchukua mkopo na kuanzisha shule itakayoongozwa na mke wake...
Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana.
Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa...
Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara.
Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida.
Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua gani ikifikia inabidi kwenda kumuona Daktari?.
ACCOUNTING CONCEPTS
Hizi ni sheria ambazo hutumika katika kutengeneza ripoti za kiuhasibu na kutunza mahesabu ya kibiashara.
Kila kitu kina imani yake, hizi concepts ni kama imani zinazoongoza taratibu za kiuhasibu.
1. GOING ON CONCEPT.
Hapa ni kuamini kuwa biashara unayoianzisha...
Habair wanajamii
Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba.
Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
Ili kujenga jamii iliyobora mawasiliano katika kutatua changamoto za jamii ni muhimu sana. Lakini katika hili ofisi na taasisi za Serikali zimekuwa na changamoto katika kutoa mawasiliano kwa Umma na taarifa muhimu zinazowafaa wananchi.
Ukianza kutafuta taarifa za jambo fulani katika Serikali na...
Rafiki yangu mpendwa,
Chombo kikubwa cha habari nchini China (Horizon News), kilichapa kwa makosa maelekezo yaliyokuwa yametolewa kwa wahariri wake.
Pamoja na mengine mengi, maelekezo hayo yaliwataka wahariri kuhakikisha hawachapishi habari yoyote inayoichafua Urusi au kusiria upande wa...
Lauryn Hill
Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill.
Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya utunzi wa mashairi na sauti ya kipekee kabisa. Anaweza kuimba muziki wa aina mbalimbali, kuanzia...
Moja Kati ya silaha inayotisha kwa sasa duniani ni nyukilia. Endapo utakutwa na shambulizi la nyukilia ni vyema ukatumia mbinu ya "PRE-RU-SHE-A' ili kupona shambulizi hilo.
Wakati wa vita endapo BOMU la nyukilia litapigwa wanajeshi na raia ushauriwa kutumia mbinu hii ya "PRE-RU-SHE-A" ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.