Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo.
Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa...
Bila shaka kama mkakati wa kuongeza mapato ya serikali, bila kujali athari kwa wafanyakazi, hasa wastaafu, serikali ya Rais Magufuli imekuja na "uboreshaji" wauchangiaji huduma za Afya kwa njia ya Bima.
Wafanyakazi wa serikali na mashirika yake, kwa mujibu wa sheria, hukatwa michango ya...
Moja ya simulizi za kusikitisha katika utawala wa awamu ya Tano, ni kisa cha wafanyakazi wa Tanzania. Zipo kada nyingi zilizoumizwa sana na utawala huu, mojawapo nyingine ni wakulima. Hawa wote wametumika kama nyenzo tu ya kufanikisha miradi ya awamu hii, huku wao wenyewe na familia zao...
Habani wana JF
Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii!
Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
Hadi kufikia jana Alhamisi, wafanyakazi wapatato 730 katika machinjio ya jimbo la North Rhine-Westphalia (NRW) nchini Ujerumani wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kupimwa
Mamlaka za huko zimeamuru kufunguwa kwa kiwanda cha kuchakata nyama cha Kundi la Toennies kwenye eneo la...
Akichangia hotuba ya sheria ya bajeti mbunge Magdalena Sakaya amemtaka Waziri wa Utalii na maliasili Dkt. Kigwangalla kushughulikia suala la mishahara ya watumishi wa Tanapa kwa dharura.
Sakaya amesema wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili hivyo ni vema waziri Dkt...
Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.
Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
Niende kwenye mada kuna kijana kaniomba nimuelekeze wapi zilipo ofisi ya chama cha wafanyakazi kutokana na yeye kuwa na mgogoro na mwajili wake yaani TUCTA.
Kwa kuwa ni mfanyakazi kwenye huduma za mahotel nilimweleza TUCTA ni muunganiko wa vyama vya wafanyakazi toka sekta tofauti ila yeye...
Kwa baadhi niliokutana nao ( ambao nakiri hapa ) wazi wazi kuwa ni Marafiki zangu wazuri na wakubwa tu ila tokea Awamu hii ya Tano iingie Madarakani wengi Wao wamekuwa ni Waoga Waoga Kimuonekano na hata Hawajiamini tena huku hata mkiwa mmekaa nao tu mahala muda mwingi wanakuwa ni Watu wa...
"Kuna Bil 1.5 za makato ya wafanyakazi hazijawasilishwa, Serikali inachofanya inalipa mishahara lakini kwenye Mifuko ya Hifadhi za Jamii ile pesa haipelekwi, hii ni hatari mtu anapostaafu ili alipwe pesa zake anaambiwa michango yako huku haikuletwa" Mbunge ,Tunza Malapo.
Chanzo: Darmpya Blog...
Baadhi ya kampuni za teknolojia na habari zimewaambia watumishi wake kuwa wataendelea kufanyia kazi nyumbani muda wote, makampuni mengine yamepanga kuendelea na kazi katika ofisi zao hivi karibuni
Moja kati ya kampuni litakalofungua ofisi zake ni Google. Mkurugenzi Mtendaji wa Google amesema...
Wakati JK anaingia madarakani mwaka 2005, Kodi ya mapato kwa mfanyakszi ilikuwa ni asilimia 18, Yaani alikuwa akikatwa asilimia 18 ya mshahara wake.
Lakini hadi kufikia mwaka 2015 serikali ya JK ilifanikiwa kuishusha kodi hiyo hadi asilimia 12 na hivyo kuleta unafuu mkubwa sana wa maisha kwa...
Kuna kampuni moja hivi ambayo si elewi elewi maana ishabadilishwa majina kibao na ujanja ujanja kibao ndani yake. Ipo pale yale mabasi yenye njia yake yanapo geukia. Sasa bana, juzi kati nilinunua bando la buku mbili shida yangu ilikuwa kupata MB's; cha ajabu sijui ndio kawaida yao basi bando...
Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa.
Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama.
Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika.
Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umelazimisha sekta nyingi kutazama upya namna zinavyoendesha kazi zake. Katika juhudi za kupunguza maambukizi na kulinda wafanyakazi sekta nyingi zimejaribu kutengeneza sera mpya kiutendaji.
Nchini Tanzania, Mamlaka ya Usafiri wa Anga mwanzoni ilichukua...
Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha Nguo cha Winds Group ltd maarufu kama Mazava kilichopo Msamvu, kinadaiwa kuwapa likizo ya miezi 3 wafanyakazi wake bila malipo.
Wafanyakazi wamezuiwa kuingia kiwandani kuendelea na shughuli humo leo Mei, 15.
Serikali ya Jamuhuri ya Burundi imewapa mpaka tarehe 15 May wawakilishi wa shirika la afya duniani wawe wameondoka katika mipaka ya nchi hiyo. Wanaopaswa kuondoka ni:
Dr Walter Kazadi
Professor Daniel Tarzy,
Dr Ruhana Mirindi Bisimwa
Dr Jean Pierre Mulunda
Govt of Burundi declares World Health...
Hapo zamani na pengine hata sasa jamii nyingi za Kiafrika watoto walikuwa wakizuiwa kula nyama ya ubongo - wanaopaswa kula ni watu wazima tu - yaani katika familia ni baba tu. Kwa kweli mpaka sasa naona ndivyo ilivyo sehemu nyingi - uhakika kabisa baadhi ya wazee kijijini kwangu Idukilo baada ya...
Hapo zamani na pengine hata sasa jamii nyingi za Kiafrika watoto walikuwa wakizuiwa kula nyama ya ubongo - wanaopaswa kula ni watu wazima tu - yaani katika familia ni baba tu. Kwa kweli mpaka sasa naona ndivyo ilivyo sehemu nyingi - uhakika kabisa baadhi ya wazee kijijini kwangu Idukilo baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.