wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Dar: Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communication wakamatwa kwa kusambaza taarifa za uongo za Corona

    Jeshi la Polisi Kinondoni limesema limefanikiwa kuwakamata Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communication-Kitengo cha Matangazo kwa tuhuma za kutuma taarifa za uongo na uzushi kuhusu #COVID19 Limesema waliokamatwa ni Hidari Hakimu (27), Afisa Biashara kwenye Kampuni hiyo ambaye ni...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Wafanyakazi wa Tanzania Tutafakari Kama Tunayosababu ya Kusherehekea

    Nakumbuka hata Rashid Kawawa alikuwa ni Secretary General wa Tanzania Federation of Labour wakati wa Ukoloni miaka ya mwisho mwisho kabla ya uhuru. Hata JK Nyerere alitumia platform ya Rashid Kawawa kwenye vyama vya wafanyakazi kuweza kuijenga TANU. Mkoloni alitambua haki za vyama vya...
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Covid-19: Chuo kikuu RUCU kulipa nusu mshahara na wafanyakazi wote kwenda likizo

  4. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa wafanyakazi wote

    Salaam Wana jamvi, leo ni siku kuu ya wafanyakazi wote duniani. Ni siku ambayo wafanyakazi wakada mbalimbali hukutana pamoja na kupongezana kwa kazi nzuri wanazo fanya ili kuhakikisha maisha ya watu yanasonga. Tofauti na miaka yote wafanyakazi wetu hawatafanya sherehe kutokana na tishio la...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Boeing 16,000 watapoteza ajira baada ya kampuni hiyo kupata hasara

    Kampuni ya huduma za ndege ya Boeing inarajia kupunguza waajiriwa kwa 10% ambayo ni takribani waajiriwa 16,000 wataguswa na zoezi hilo Hii imekuja baada ya kampuni hiyo kupata hasara kutokana na janga la #CoronaVirus. Uhitaji wa huduma za ndege umepungua kwa kiasi kikubwa Boeing imepata hasara...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Jamhuri Media Limited, kupunguza asilimia 50 ya wafanyakazi ili kuinusuru isianguke

    Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wachapishaji wa Gazeti la Uchunguzi JAMHURI inapenda kuufahamisha umma kuwa katika kikao cha pamoja kilichofanyika Aprili 29, 2020 kati ya wafanyakazi na mwajiri; tumekubaliana kupunguza asilimia 50 ya wafanyakazi kwa utaratibu maalum kuepusha kampuni isianguke...
  7. Miki123

    JamiiForums Tanzania Kim Jung Un atoa pongezi kwa wafanyakazi wa Wosan

    Habari za hivi punde kutoka north korea ni kuwa Kiongozi wa korea kaskazini ni mzima na amewapongeza wafanyakazi wanaondelea na ujenzi wa majengo ya kitalii katika mji wa wosan ambao upo mashariki mwa hiyo nchi. Ni mji ambao picha za satellite zilionyesha treni binafsi ya kiongozi wa korea...
  8. Zitto

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  9. Kisabulo

    JamiiForums Tanzania Je, Mwajiri kupunguza mshahara wa wafanyakazi bila majadiliano kipindi cha Corona. Sheria inasemaje?

    Habari wakuu, Nahitaji msaada wa sheria. Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi. Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwanda: Zaidi ya wafanyakazi 90% wafutwa kazi kwenye kiwanda cha Mihogo kwa Nape

    Wassalam wana-JF, Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgogoro wa Impala group hotels na wafanyakazi kutua bungeni

    Mgogoro kati ya management na wafanyakazi wa Impala group of Hotels unatarajiwa kutua bungeni. Idara ya kazi Arusha imeshindwa kabisa kushughullikia na kumaliza mgogoro. Pia NSSF wameshindwa kukusanya michango tangu 2017. Ilipofika January, Naibu Waziri alikutana na makundi yote 2 pale idara...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa wafanyakazi Serikalini na nyongeza ya mishahara yao

    Rais Magufuli alipoingia madarakani kitu cha kwanza alichojitahidi kurekebisha ni jinsi wafanyakazi wa serikali walivyokuwa hawawajibiki kutimiza majukumu yao; alifanya zoezi la ziara za kustukiza maofisini na kuwaadhibu wale waliokutwa na makosa. Zoezi la ziara za kushstukiza pamoja na zoezi...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Utalii na Corona - Ikiwapendeza NSSSF itapunguza makali kwa wafanyakazi

    Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara na mengine kutokulipa kabisa kwa miezi kadhaa ijayo kwani haijulikani janga hilo litachukua muda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kupika na kuhudumia kwenye Cafeteria wanahitajika

    Sifa Uzoefu wa kupika vizuri vyakula mbalimbali na vitafunwa Mpishi wa chips katika ubora unaokubalika Muandaaji wa juice aina mbalimbali kwa ubora wa hali ya juu Uzoefu wa kuhudumia wateja ikiwemo kuwafuata maeneo yanayozunguka na kukusanya oda Uwezo wa kujitoa na kutimiza wajibu bila...
  15. Kabembe

    JamiiForums Tanzania Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya. Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua. Mara zote unapofungua...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anatuhimiza wananchi tukachape kazi, wakati makampuni yakiendelea kuwapunguza wafanyakazi wao kutokana na ugonjwa wa Corona!

    Tulimsikia wenyewe Rais wetu Magufuli wakati akilihutubia Taifa siku chache zilizopita, akituhimiza wananchi tukachape kazi na kuwa tusitishwe na vyombo vya habari vya kibeberu, kwa kuwa ugonjwa wa corona siyo tishio kiasi hicho wanachotuaminisha! Kwa kweli nilishangazwa sana na maelekezo hayo...
  17. simplemind

    JamiiForums Tanzania Serikali kulipa mishahara wafanyakazi sekta binafsi ili kulinda ajira

    Mtikisiko wa Corona :Serikali ya Uingereza kulipa mishahara wafanyakazi wa sekta binafsi ili kulinda ajira zao. Kwa kweli huu ni utu zaidi ya ujamaa wa Mwalimu Juliazi. ==== Has the national life of this country ever been transformed so completely and at such a speed? In the course of a week...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema anatarajia kupeleka muswada binafsi bungeni, kutaka itungwe sheria ambayo itamka mwanamume ambaye ni mfanyakazi, kukatwa asilimia 40 kwa ajili ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani. Makonda alisema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya...
  19. Jile79

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wakulima na Wafanyakazi

    CCM ni chama ambacho kimejitanabaisha kuwa ni chama cha wakulima na wafanya kazi hata nembo yake ni jembe na nyundo. Mimi nachelea kuwaongezea kuwa ni chama cha wafanyabiashara pia. Swali langu ni, je kwa miaka minne iliyopita ni kada ipi imefaidi zaidi na ccm kati ya Wakulima, Wafanyakazi na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kuwaonea wafanyakazi, itafute vyanzo vingine vya mapato

    Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
Back
Top Bottom