wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Njia mbili za kuongeza uzalishaji na ufanisi wako au wa wafanyakazi wako

    Rafiki yangu mpendwa, Kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea duniani, hasa kwenye upande wa sayansi na teknolojia, utakuwa unapata taarifa mbalimbali kwenye eneo la kazi. Taarifa kubwa na ambazo ni nyingi kwa sasa ni uwezo wa maroboti (Artificial Intelligence) kufanya kazi ambazo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi Tanzania vinakwama wapi?

    Kwanza nitangaze wazi kwamba Mimi ni Kiongizi Mwandamizi wa Chama cha wafanyakazi sekta ya Nishati na Madini (Sekta ya Uziduaji) Tanzania, kinaitwa kwa ufupi NUMET. Pamoja na kwamba hatuhusiki sana na wafanyakazi wa sekta ya umma ambayo inalalamika sana kwasababu za kutoongezwa mishahara, na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Serikali na wabunge wa CCM mliamua kutukatili wafanyakazi suala la mafao?

    Nasikitika sana kuona serikali inatulazimisha kuwa maskini. Ni ngumu sana kwa mfanyakazi kuwa tajiri kwa kutegemea kuajiriwa. NSSF wanapokea kiasi cha asilimia 20 (10 kwangu + 10 mwajiri) hapo hapo Serikali nayo wanakata kiasi cha asilimia zisizopungua 25 mpaka 30 ya mshahara wangu kama kodi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dr Vincent Naano awashikilia walimu watatu na wafanyakazi watatu wa Idara ya Maji masaa 48 kwa kosa la kupakia mshikaki

    Wanajamvi nawasalimu kwa jina la bwana. Kwa muda toka mheshimiwa Kangi Lugola akutane na madhila ya kuvuliliwa uwaziri wa Mambo ya Ndani, wote tunajua kuwa Kangi alikuwa mtetezi wa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda. Makosa madogo madogo kama ya abiria kutovaa helmet na kupakia mshikaki...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi TRA kupandishwa kizimbani

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) mkoani Dodoma, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kosa la kushawishi na kupokea rushwa ya Sh milioni moja. Rushwa hiyo inadaiwa walichukua kutoka kwa mfanyabiashara wa jijini...
  6. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa bar wanahitajika Kilimanjaro

    Wakuu kwema, Jamani katika harakati za kulainisha vyuma nimefanikiwa kufungua baa ambayo ina jiko kwa ajili ya mdudu spesho. Katika uendeshaji wa Baa hii changamoto kuu niipatayo ni wafanyakazi. Nakosa wafanyakazi serious ambao wana moyo wa kazi maana niliokuwa nao wengi ni wasumbufu na...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wanne wa kampuni ya uwindaji ya Green Miles Wakamatwa na Polisi

    Wafanyakazi wanne wa kampuni ya uwindaji ya Green Miles iliyoondolewa katika kitalu cha Lake Natron(east) wilayani Longido wanashikiliwa na polisi kwa madai ya kukaidi agizo la Serikali kuondoka wa hiari katika kitalu hicho. Wafanyakazi hao wamekamatwa na polisi leo Jumatano Januari 22, 2020...
  8. ibesa mau

    JamiiForums Tanzania Wakati zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura,Sioni vyama vya siasa na vya wafanyakazi Vikihamaisha watu wao

    Huu ni mwaka wa uchaguzi lakini pia tume ya taifa ya uchaguzi ipo katika zoezi la uboreshaji wa daftari la Wapiga kura .Wakati zoezi hilo likiendelea vyama vya siasa vipo kimya na vyama vya wafanyakazi navyo vipo kimya. Vyama vya wafanyakazi vinawajibu wa kuhamasisha wanachama wao...
  9. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

    "Marufuku kwa watumishi wa serikali kudai nyogeza ya Mshahara" Anasema walioandamana kudai nyongeza ya Mshahara mei mosi walipaswa kuchapwa viboko. Nini Maoni yako?
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    Punguzo la 1% (kutoka 15% hadi 14%) kwenye kodi ya mishahara (PAYE) ni dhihaka kwa wafanyakazi wa Tanzania kwani gharama za maisha ziko juu sana kufuatia mfumuko mkubwa wa bei. Ifike wakati sasa serikali iwaonee huruma wafanyakazi kwa kuwapunguzia mzigo wa kodi badala ya kufawafanyia mzaha kama...
Back
Top Bottom