Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,691
- 218,201
Mbowe ni mzalendo halisi
Anaplay kama Mkuu wa nchi
I'm on that good kush and alcohol
Yap wa mtaa wa ufipaUtafikiri ndo Rais yaan
Mkuu wa nchi??? sema mkuu wa Sacco's
Anaplay kama Mkuu wa nchi
I'm on that good kush and alcohol
kwanini unatia aibu ?Masikini anatia huruma anavyotafuta kuonekana
Mbowe atafute kuonekana,kivipi yaani,ingawa mimi siyo Chadema wala Ccm,sidhani kama Mbowe kwa kujulikana kote huku,atake kuonekana tu.Masikini anatia huruma anavyotafuta kuonekana
Sasa wewe unaona anatafuta NiniMbowe atafute kuonekana,kivipi yaani,ingawa mimi siyo Chadema wala Ccm,sidhani kama Mbowe kwa kujulikana kote huku,atake kuonekana tu.
Tajiri anatia Ukatili anavyotafuta KujifichaMasikini anatia huruma anavyotafuta kuonekana
.
Hivi kuna tajiri anaweza kuungwa bando nchi hii ?Bibie kwa vile unaungwa bando Basi unajua wote Hali zetu ziko sawa sio kweli
DuhHivi kuna tajiri anaweza kuungwa bando nchi hii ?
Indeed he has turned out to be a source of happiness to the majority of citizens at this hour of need(Covid-19) when those that are supposed to provide comfort are in hideouts.
Huyu bwana anafaa sana ila mfumo wa nchi haunruhusu tungekuwa mbali.
Anaplay kama Mkuu wa nchi
I'm on that good kush and alcohol