Burundi yawapa masaa 72 maafisa watatu wa WHO kuondoka

Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
961
2,345
Serikali ya Jamuhuri ya Burundi imewapa mpaka tarehe 15 May wawakilishi wa shirika la afya duniani wawe wameondoka katika mipaka ya nchi hiyo. Wanaopaswa kuondoka ni:
  1. Dr Walter Kazadi
  2. Professor Daniel Tarzy,
  3. Dr Ruhana Mirindi Bisimwa
  4. Dr Jean Pierre Mulunda
Govt of Burundi declares World Health Org representative Dr Walter Kazadi & experts Professor Daniel Tarzy, Dr Ruhana Mirindi Bisimwa & Dr Jean Pierre Mulunda Persona Non Grata. Orders them to leave the Country by 15th May 2020

1589394266031.png


====
Serikali ya Burundi imewafukuza wafanyakazi wanne wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ walioko nchini humo akiwemo muwakilishi wa WHO nchini humo

Watu hao watapaswa kuondoka nchini humo kabla ya Mei 15. Waziri wa Mambo ya Nje aliwaaandikia barua watu hao bila kutaja sababu ya kufanya hivyo

Kisheria, kumzuia mtu kubaki nchini haiwahusu wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, kwa mujibu wa sheria za kimtaifa za kidiplomasia zilizoelezewa kwenye kikao cha Vienna cha 1961
 
Back
Top Bottom