wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. majata

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kazi na Ajira angalieni mfumo wa makampuni kukodisha wafanyakazi

    Mfumo wa ukodishaji wa wafanyakazi umeshika kasi sana hususani kwa makampuni Mengi makubwa hapa nchini, hili lipo sana sana kwa yale makampuni yaliyo na chimbuko la nje ya nchi. Mfumo huu unaviashiria vya ukwepaji wa mambo fulani ikiwemo kodi kwa Serikali, utakatishaji wa fedha na kunyonga...
  2. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Wilaya au mkoa ambapo wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 na kuendelea wamepata barua za kupanda daraja?

    Ndugu yangu ni mfanyakazi wa Serikalini ameajiriwa mwaka 2014 alisikia tetesi kuwa mwaka huu hauishi anaweza kuhama walau kutoka daraja alilosota nalo kwa miaka 6 kuhamia daraja lingine. Je, kuna wilaya wameshaanza kupandisha ama Ni MITANO TENA?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ana moyo wa kipekee sana, huwa anasomesha wafanyakazi wa ndani (house boy & girl) hadi Chuo Kikuu

    Hakika hapa duniani kuna binadamu wanatabia njema sana! Jirani yangu pamoja na mkewe! Wana maisha ya kawaida kabisa kama yangu ya kipato cha kati! Wakiishiwa hela wananiazima, vivyo nami nawaazima vyao nikiishiwa. Tuna maisha ya kawaida sana! Lakini Jirani Siku zote hapo kwake haishi kupokea...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe tu kwa Wafanyakazi wa Serikalini pekee kwani Wafanyakazi wa Sekta Binafsi nao hawastahili Unafuu?

    Government employees to get ease of student loans payment Wafanyakazi wa Serikalini kupata Unafuu wa Kulipia Mikopo ya Elimu ya Juu Chanzo: The Citizen Online GENTAMYCINE ninauliza kwani mngeunda tu Mwamvuli mmoja wa Kuwasaidia pamoja wa Serikalini na Binafsi bado tu msingefikia Lengo lenu Kuu?
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waarabu na Wahindi wao huwa hawapendi kuwa na mahusiano na Wafanyakazi wao Dukani au Ofisini, ila kwa Waafrika ni jambo la kawaida sana?

    Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi...
  6. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Kilindi acheni kulipa nauli za likizo kwa wafanyakazi kwa kujuana

    Hii Sio haki na mnachofanya ni kuchonganisha Wafanyakazi na serikali yao. Haiwezekani tumeomba wote Likizo halafu mwingine analipwa mwingine halipwi kwasababu tu amekosa ndugu hapo halmashauri. Acheni upendeleo kulipwa likizo ni haki ya kila mfanyakazi.
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

    Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015. Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
  8. Bacore

    JamiiForums Tanzania Tuchague kiongozi aliye kubalika na Mungu, kiongozi ambaye hatakandamiza wafanyakazi na NSSF

    Wafanya kazi tumekuwa tunateseka sana, maisha magumu, mishahara haipandi na bado wanavamia mifuko ya kijamii NSSF/PSSSF wanasema mpaka ufikishe miaka 55, huo ni onyonyaji, kodi za serikali zinakatwa PAYE, kwa kila mfanyakazi. Lakini bado mnataka hadi NSSF/PSSSF, Huu ni uonezi, ubabe wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi: CCM na CHADEMA zinakubaliana kwenye Bima kwa Wote, Maslahi ya Wafanyakazi na Bei nzuri za mazao!

    Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama. Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko. Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania. Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

    Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao! Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia

    Kwa kuwa sheria za uchgauzi za Sasa hazimruhusu mtu kupigia Kura eneo lolote alipo na badala yake anapaswa kusafiri kwenda sehemu alikojiandikishia, Basi tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia. Mtakumbuka kuwa siku za hivi...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi

    Na: Mh Tundu Lissu Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati sio zake. Pesa hizo...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu punguza kunadi sera ya mishahara kwa wafanyakazi mbele ya watu masikini

    Hongereni kwa kampeni. Twende kwenye hoja moja kwa moja,binafsi Sina tatizo na watumishi kuongezwa mishahara hiyo ni haki yao lakini ni vyema hoja Kama hii ikachagua majukwaa ya kuizungumzia. Wafanyakazi hususani wa serikali wa kada zozote ni moja ya kundi ambalo jamii kubwa inaliona kuwa na...
  15. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nahitaji msimamo wa CCM kuhusu ajira, kuongeza mishahara, Fao lakujitoa na namna ya kukabiriana na majanga ili Lissu apate mawazo

    CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli . Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii. Lakini niwakumbushe wana CCM...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Serikalini Zanzibar Walazimishwa Kuichagua CCM

    Salaam, Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini! Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu. Kwa mujibu wa...
  17. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Suala la Mishahara ya wafanyakazi wa serikali: Tuzungumze mazuri na mapungufu katika suala hili nyeti, tuweke siasa pembeni

    Naomba kwanza suala mishahara ya watumishi wa serikali lieleweke tu kuwa si la kulichukulia mzaha mzaha na kulibeba tu kuhamia nalo majukwaani! Kuna mambo makubwa matatu hapa yamejitokeza tuyachambue kwanza: Annual increment: suala hili namlaumu President Magufuli kwa kuwa amelichukulia mzaha...
  18. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

    Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi? NAHITAJI MAJIBU
  19. M

    JamiiForums Tanzania Walioitwa wafanyakazi wa majalalani ni wateule wa Rais na siyo wafanyakazi wa kawaida wasio wateule wa Rais

    Msemo wa walio okotwa majalalani uliletwa ama kusemwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Professor Palamagamba Kabudi Msemo huu unawahusu wafanyakazi wote wanaodharau nafasi zao za kazi walizokuwa nazo awali na kujipendekeza kwa Rais na wengine wanauza hadi utu wao ili Rais awaone. Kila jambo wanalo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

    Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka. Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
Back
Top Bottom