Hakika inashangaza sana kuona baadhi ya Viongozi wetu Walioapa Kuilinda Katiba lakini ndio Wanaikanyaga kwa Makusudi tena Hadharani.Kwa Mujibu wa Katiba tuna aina mbili za Wabunge Wakuchaguliwa na Wakuteuliwa.
Na ili uwe Mbunge lazima uwe Mwanachama wa Chama cha Siasa. Moja ya Sababu za kukoma...
Leo katika kipindi cha magazeti yetu asubuhi nilisikia taarifa ya kutumbuliwa watumishi sita wa Mwaruwasa- Morogoro na Mhe. Waziri wa Maji.
Binafsi nimesikitika sana kwa tabia iliyozuka ambapo Mhe. Waziri anakuwa na mamlaka ya kutumbua watumishi bila kufuata utaratibu uliowekwa katika Utumishi...
Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.
Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni
Chanzo: Eatv Habari
Ramadhan Kareem!
CCM ilipo asisiwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Ndio maana nembo yake kwenye bendera kuna nyundo kwa wafanyakazi na jembe kwa wakulima.
Filosofia ya CCM ni ya kiujamaa pamoja na kuukaribisha uchumi wa biashara huru.
Siku hizi ndani ya CCM hakuna Political Theorists wa kuelezea mlengo...
Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15%
Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
“Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ya viongozi serikalini, kwa kile alichokidai kuwa waliopo wengi hawana uwezo mzuri kiutendaji.
Profesa Assad amesema hayo leo Aprili 10, 2021 wakati wa uzinduzi...
Ninaomba tafsiri ya wanyonge kwa nchi hii tafadhali?
Maana ninapata shida kusikia Boda Boda ni mnyonge, na nina ushahidi hawa vijana wa Boda Boda, wanaingiza kipato zaidi ya shilingi laki sita kwa mwezi. Mfanyakazi mwenye mshahara wa laki tatu hadi laki tano, mkataba wake unaisha, ananyimwa...
Poleni Watanzania.
Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao.
Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais:
Mishahara kupanda
Kupanda madaraja
Kupanda vyeo...
Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo.
Kwa...
Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana...
Mama Samia Suluhu Hassan ameshtuka mapema. Ninamsifu sana. Ukweli kabisa Msela Jafo hakuwa na impact kabisa katika awamu ya tano. Aliyafanya yale ambayo alifikiri yanampatanisha Rais wa Awamu ya Tano na Serikali na wananchi. Ona Msela huyu alivyoharibu kabisa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka...
Unapoongoza watu ambao wanakuzidi elimu kuna changamoto yake, unakuwa hujiamini, unakuwa mwoga na hatimaye kushindwa kufanya maamzi sahihi.
Ifike mahala wafanyakazi waliojiendeleza kielimu wapewe ukuu wa idara.
Mfano:
1- Walimu Wakuu wa shule za musingi wawe na elimu ya degree, wenye degree...
Wakuu poleni na matanga ikiwa bado tunaendelea kuomboleza msiba mzito wa taifa, kwa kuondokewa na Rais wetu mpendwa Mh. John Pombe Magufuli ambaye Mungu kamwita.
Naomba sasa nigusie jambo kuhusiana na Mei Mosi ijayo. Ama hakika watumishi wa umma tumekuwa wavumilivu kwa kipindi kirefu bila ya...
Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira.
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
Mwaka huu nilikua nafatilia maswala ya mirath ya mzee, so ilinifanya nikatembelea ofisi nyingi za kiserikali. Kwa kawaida ukiwa unafatilia mirathi hizi ofisi lazima ufike zote au chache:
Mtendaji
Vizazi na vifo
Mahakama ya mwanzo
Mahakama kuu
Bank
PSSF
Na nyingine ambazo inategemea carrier ya...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile afungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania leo katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Shirika la Nyumba la Taifa, jijini Dar es salaam.
#Siku100ZaUtekelezaji.
Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na
1.wajumbe wake
2. Ikidi
3. Meza kuu wanakaa watu gani
4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka
5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari wamekamatwa na vyombo vya usalama katika eneo lililokuwa na mapigano la Tigray nchini Ethiopia.
Tangu kuzuka kwa mapigano mwezi Novemba mwaka jana baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia kutangaza hatua za kijeshi dhidi ya kundi la TPLF akiwashutumu kuvamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.