wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wafanyakazi wa TANESCO wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40. Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...
  2. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Kwanini wafanyakazi hawajaboreshewa maslahi yao awamu hii

    Haya ni maoni yangu binafsi baada ya kutafakari kwa kina, kwanza siamini kwamba suala hili la kukaa miaka 7 bila kupandishwa madaraja na miaka 6 bila nyongeza ya kila mwaka kuwa ni suala la bahati mbaya! HAPANA! Upo msemo kuwa in politics nothing happen by accident! Sasa twende sawa hapa, kama...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nyamongo: Wafanyakazi wa Kampuni ya Kiribo Ltd wadai mishahara ya miezi 4

    Sisi ni wafanyakazi wa Kiribo Ltd Nyamongo tumezurumiwa mishahara yetu ya miezi minne tuko wafanyakazi 250 na tunadai takiribani milioni miatano na NSSF takiribani bilioni moja.
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Namibia yafunga huduma za Shirika lake la ndege, wafanyakazi 600 kukosa ajira

    Shirika la Ndege la Namibia, Air Namibia limetangaza kusitisha shughuli zote za usafirishaji na kurudisha ndege zote zilizokuwa zikifanya safari, ikiwataka abiria wote waliokuwa wamekata tiketi kuomba kurudishiwa fedha zao. Bunge la Namibia limetoa kibali cha kufunga shirika hilo, huku zaidi ya...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

    Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa CHADEMA watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi: Mwalimu wa Chuo Kikuu amlilia Rais Magufuli anusuru wafanyakazi

    Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha FRIDAY JANUARY 29 2021 Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wengi wa Serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi

    Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi. Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba. Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
  8. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi nyoosheni mikono juu, hakuna chochote awamu ya tano

    Ndio hivyo, mwenye kufuga kuku afuge, mwenye kuuza ubuyu auze, mwenye deiwaka apige. Tayari ameshajidhihirisha kuwa hana "mpango huo" labada kama anatafuta mwanya wa kupunguza zaidi mishahara lakini sio kuongeza, imagine wale walioajiriwa mwaka 2014 hadi leo wanaishi kwa mshahara ule ule...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hospitali ya Bwagala Turiani yawapa redundancy wafanyakazi 60

    Walioko huko Morogoro Turiani wilaya ya Mvomero watuthibitishie hii taarifa ya wafanyakazi wa hospitali hiyo wapatao 60 wamepunguzwa kazini. Poleni sana ukiwa mfanyakazi unaisoma namba ukiondolewa kazini unaisoma namba mara laki tano. Mitano Tena.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kama hukutoka kimaisha miaka ya nyuma, hasa wafanyakazi, basi uko katika hatari ya kuchukua muda mrefu kutoka au kutotoka kabisa

    Kwa mtazamo wangu, watu ambao hawakutoka kimaisha miaka ya nyuma, hasa watumishi wa umma, kwa maana ya kujenga, kuwekeza,kununua gari/magari, n.k, hivi sasa mazingira ni magumu zaidi na inaweza kuchukua muda mrefu kutoka na kama unakaribia kustaafu, basi unaweza usiitoke kabisa huku mafao nayo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mafuta ya Total imewaondoa maelfu ya wafanyakazi wake Msumbiji

    Wanamgambo walisambaza vijikaratasi vinavyotishia kushambulia eneo la Palma. Kampuni ya mafuta ya Total imewaondoa maelfu ya wafanyakazi wakekatika visima vya mafuta vilivyopo kaskazini mwa Msumbiji baada ya wanamgambo walio watiifu kwa kundi la Islamic State kutishia kushambulia mji muhimu...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ripoti maalumu kuhusu masuala ya sekta ya wafanyakazi wa majumbani 2020

    RIPOTI YA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA SEKTA YA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI KWA MWAKA 2020 Muandaaji, Robert Heriel UTANGULIZI Imekuwa ni kawaida yangu kila mwisho wa mwaka kutoa Ripoti ya kile kinachojiri katika Sekta ya wafanyakazi wa ndani ili kuonyesha yanayoendelea humo, mapungufu na maboresho...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Madai ya Hela za mafao wafanyakazi TRC

    Habari! Natumai mu wazima! Leo nataka kutumia jukwaa hili kuwakilisha kilio cha wastaafu wa shirika la reli Tanzania (TRC) ambao kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakifatilia mafao yao kwenye mashirika ya hifadhi za jamii bila ya mafanikio, sababu kubwa ikiwa ni kuwa shirika halikuwa likipeleka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wafanyakazi wa NSSF umevuka mipaka

    Customer care zero. Ukiuliza maswali yanatoa majibu ya kipuuzi tu. Hii nchi ngumu sana. Hii sheria ya kuchangishana kwa lazima wakati ukiachishwa kazi hawataki kukupa hela yako ni ya kipumbavu.
  15. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ni janga kwa wafanyakazi

    Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya vifaa vya ujenzi, akapunguzwa kazi kutokana na hali iliyopo ya kiuchumi iliyokolezwa na janga la korona. Kwenda NSSF anaambiwa hawezi kupewa mafao yake yote, aendelee kutafuta kazi au apewe asilimia 30 ya mafao yake. Sasa cha kujiuliza...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iwapangishe kwa bei nafuu wafanyakazi wanaofanya kazi katikati ya jiji majengo yao yaliobaki wazi

    Baada ya makao makuu kuhamia Dodoma mijengo mingi mitupu nashauri serikali ipangishe wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi wanaofanya Shuguli zao katikati ya jiji kwa bei nafuu. Pia wawafikirie Wahindi na Waarabu na familia zao ambao hupenda kuishi katikati ya jiji wawapangishe makazi kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza mikataba ya wafanyakazi kukaguliwa upya ndani ya mwezi mmoja!

    Waziri wa kazi, ajira na wenye ulemavu Jenister Mhagama amemtaka Katibu Mkuu wa wizara yake kukagua mkataba ya watumishi wote kwenye miradi ya kimkakati. Mhagama amesema uhakiki huo una lengo la kuangalia kama mikataba hiyo ya kazi inakidhi vigezo vya kisheria na ina tija. Chanzo: ITV habari...
  18. NDAGLA

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi PSSSF HQ wanashiriki kutapeli wastaafu

    Kwema wadau, Natoa tahadhari kwa wote wanaowasiliana na PSSSF kupitia DM page yao rasmi ya instagram (Psssftz) na wale wanaopiga namba zao za bure 0800110040 na 0800110055 kuhitaji msaada wowote. Kwa kifupi watumishi wa kitengo hicho cha huduma kwa wateja ukishawasiliana nao watakuomba namba...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wafanyakazi wa migodini kuanzisha umoja/ unity yao

    Wadau ni matumaini yangu kuwa harakati za Christmas zimepita Salama na sasa tuelekee mwaka mpya na mambo mapya. Baada ya kuona serikali ikiungana na mameneja pamoja na waajiri (wamiliki wa migodi) kuwahujumu wafanyakazi wa migodini na kuhakikisha wanabakia kuwa kwenye Tabaka la wanyonge ili...
  20. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Makampuni Binafsi Tanzania Yananyima haki ya ongezeko la mishahara kwa mwaka na wanaondoa motisha ya mwaka kwa wafanyakazi!!!

    Wakuu, Hili ni bandiko la mshangao na masikitiko kwa sauti za wafanyakazi kutoka sekta binafsi zimeiga seriklali kutoongeza mishahara kwa asilimia 6%-10% kwa zaidi ya miaka mitano sasa, lakini hata motisha ya jumla kwa mwaka kwa wafanyakazi imeondolewa bila maadalizi ya kisaikolojia kwa watenda...
Back
Top Bottom