Kumekucha: Hussen Mwinyi kutambulishwa rasmi Pemba kesho Jumapili, Wafanyakazi LAZIMA kuhudhuria na wavae kijani

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
tngzo.jpg


Naomba kuwasilisha.
 
Kwani si wanapendwa hawa..na upinzani wamesha umaliza..

Mbona kuhangaika kuwavalisha jezi za kijani watumishi wa umma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Anatambulishwa maana hatambulikani😁
Wanamtambua huko bara.
 
yakhe huu ni uonevu ati!msitufanyie hivi nyie machogo!!

kweli mtu mweusi hajui mipaka ya chama na serikali inaanzia wapi na kuishia wapi!! yaani wafanyakazi wa sirikali ya Zenjibari waache kujenga nchi wakampokee mtu wa chama cha mabwanyenye wa bara wasiempenda!! duh maskini kodi zetu!!maskini kina yakhe!!

Tuseme ukweli katika wagombea wote watano walipoingia ukumbini Dodoma aliependeza kwa urais wa Zenji mimi nilimuona alikuwa ni Shamsi Vuai Nahodha na shati lake la njano, mzawa na mkaazi wa Zenjibari mwenye uchungu na nchi yake na huruma kwa raia wake!

Shamsi was different, he was slim hana jitumbo kubwa, he was smart, he was shining, he was serious and focused, Mwinyi alikaa ukumbini kivivu vivu sana hadi nikaboreka nikasema huyu nae mbona mzembe mzembe asinzia kwa shibe , kakaa kwenye kiti kwa staili ya kulala ya kimwinyi, nikasema hapa hakuna mtu kuna magumashi tu si kwa kujiamini huku kwa bwana Mwinyi!! ukweli Mwinyi hapendezi kuwa Rais wa Zenji nyie machogo mmelazimisha tu!! kwanza sura na rangi yake na ya Shamsi ni tofauti!! Shamsi kapokwa urais!! Shamsi was the most competitive candidate for Zenjibari presidency in my opinion!!

ili kuwapoza wazenji huyo Mwinyi wenu must give Shamsi a top aide post!!
 
Kama kutakuwa na posho nendeni maana hizo fursa adhimu. Madaraja hamjapandishwa since 2015 basi kachukueni posho hiyo, msikubali kwenda bure waambieni wakuu wa idara wawalipe posho. Manina zao
 
Maalim Seif anatakiwa aibuke huko kesho kuvunja mapokezi!! jino kwa jino, an eye for the eye!
 
Back
Top Bottom