Mama mdogo wa kutesti mitambo yuko wapi wadau?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee

Wasalaam!
 
Alikwenda Nje Ya Nchi Kumwakilisha Rais
Ila Wameonywa Waache Mdomo
 
Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee

Wasalaam!
Mh! Mbona kaumri kama kamesonga sana?

Hivi aliyefikia 'ukomo' anaweza akaingia maabara akatest mitambo na matokeo yakaswihi, au yalikuwa maneno tu kutuonesha kuwa tunajua hatujui!
 
Labda mitambo ilikataa/ilikata network tena, kaenda kufanya re-testing. Haya mambo magumu kweli, network zimekata, huu ukimya si wa kawaida, ila mm nampenda sana Gwaji lady, yuko in high beats kila wakati.. 😅😅
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom