JNICC: Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,499
113,610
Wanabodi,

View: https://www.youtube.com/live/FKV_bbjQpg4?si=zxr9EcF4YASpj6Fo
Niko hapa ukumbi, JNICC, kwenye Mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchni Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mkutano huu, wa siku 3 ni Rais Samia na utafungwa na Rais wa Zanzibar Dr. Mwinyi. Nitakuletea kwa uchache kile kinachoendelea hapa.

Kwa vile huu mkutano utakuwa live, nitakuunga na live stream ya mkutano, kisha nitakuletea Vox Pop ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huu.

Hivi sasa ukumbi uko full, viongozi wa vyama na wadau mbalimbali wa maendeleo wako ukumbini wakila burudani ya Mjomba Mrisho Mpoto wakati tukimsubiri Rais Samia kuwasili ukumbini na mkutano kuanza.

Hii ndio ratiba ya mkutano huu

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
RATIBA YA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA UNAOSHIRIKISHA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA KIKOSI KAZI NA KUJADILI HALI YA SIASA NCHINI
UTAFANYIKA TAREHE 11, 12 NA 13 SEPTEMBA, 2023 KATIKA KITUO CHA MIKUTANO JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE DAR -ES SALAAM


Siku ya Kwanza Tarehe 11 Septemba 2023
MUDA
TUKIO

MUHUSIKA
01:00-03:00
Asubuhi
Washiriki kuwasili ukumbini, Chai na Kujisajili
Kamati ya Maandalizi
03:00-03:20
Asubuhi
Kuwasili Viongozi wa Serikali na Kitaifa.Kamati ya Mapokezi na Itifaki


03:20-03:25
Asubuhi
Kuwasili Mheshimiwa Dkt. Tulia Akson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania na Mhe. Zubeir Ali Maulid (M) Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa


03:25-03:30
Asubuhi

Kuwasili Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla (M), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa



03:30 –03:35
Asubuhi

Kuwasili Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa


03:35-03:40
Asubuhi

Kuwasili Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa


03:40-04:00
Asubuhi

Kuwasili Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili
wa Vyama vya Siasa
04:00 -04:10
Asubuhi
Wimbo wa Taifa na Wimbo wa Afrika Mashariki
Mwongoza Mkutano
04:10 -04:20
Asubuhi
Dua na SalaViongozi wa Dini

04:20 -04:25
Asubuhi
Kukaribisha viongozi na washiriki wengine katika mkutano.Mhe. Juma Ali Khatib (M) Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa.

04:25 -04:40
Asubuhi
Kutambulisha viongozi wa Kitaifa, Serikali na wageni waalikwa na kueleza madhumuni ya mkutanoMhe. Jaji Francis S.K. Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa,

04:40-04:45
Asubuhi

Kusalimia Washiriki
Mhe. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar-es salaam
04:45-04:55
Asubuhi
Kusalimia Washiriki.Mhe. Hamza Hassan Juma
(M) Waziri wa Nchi, Ofisi

ya Makamu wa Pili wa
Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi

04:55-05:05
Asubuhi
Kusalimia Washiriki na kumkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu asalimie washiriki na amkaribishe Mgeni Rasmi kufungua mkutano.Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu.

05:05 -05:20
Asubuhi

Kusalimia Washiriki na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mkutano
Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

05:20- 06:20
Mchana

Hotuba ya Ufunguzi
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
06:30 – 06:50
Mchana

Picha

Mwongoza Mkutano
6:50-7:00
Mchana
Mgeni Rasmi kuondoka
Kamati ya Itifaki
07:00 – 08:00
Mchana

Chakula

Washiriki Wote
08:00-08:20
Mchana
Washiriki kujitambulisha
Washiriki Wote

08:20-08:25
Mchana

Maelezo kabla ya kuanza mjadala

Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa,

08:25-08:30
Mchana
Kuwakaribisha watoa mada na washiriki wengine katika mjadalaMhe. Juma Ali Khatib (M), Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa



08:30-09:20
Alasiri
Mada ya Kwanza:

Hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Profesa Alexander B. Makulilo, Mhadhiri, Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar-es salaam.
09:20-10:20
Alasiri

majadiliano

Mwenyekiti wa Mkutano

10:45-10:55
Alasiri


Kuhitimisha Mada
Profesa Alexander B. Makulilo, Mhadhiri, Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar-es salaam.
10:55-11:00
Alasiri

Kuahirisha Mkutano

Mwenyekiti wa Mkutano

Siku ya Pili Tarehe 12 Septemba 2023
01:30 – 03:00
Asubuhi

Chai na kujisajili

Washiriki wote

03:00 – 04: 00
Asubuhi
Mada ya Pili:

Mapendekezo ya Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichofanyia kazi masuala yanayohusu demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Profesa Rwekaza S. Mukandala, Mkamu Mkuu wa Chuo Mstaafu na Mhadhiri
Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar-es salaam.
04:00-04:40
Asubuhi
Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi KaziMwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
04:40–07:00
Mchana
MajadilianoMwenyekiti wa Mkutano

07:00 – 08:00
Mchana

Chakula

Washiriki wote

08:00–09:50
Alasiri

Majadiliano

Mwenyekiti wa Mkutano

09:50–10:10
Alasiri

Kuhitimisha Mada
Profesa Rwekaza S. Mukandala, Mhadhiri, Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar-es salaam.
10:10–10:25
Alasiri

Kuhitimisha Mada
Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
10:25–10:30
Alasiri
Kuahirisha KikaoMwenyekiti wa Mkutano

Siku ya Tatu Tarehe 13 Septemba 2023

01:30 – 03:00
Asubuhi

Chai na Usajili

Washiriki Wote


03:00-04:00
Asubuhi
Mada ya Tatu:

Umuhimu wa 4R katika shughuli za kisiasa nchini (Maridhiano (Reconciliation, Ustamilivu (Reciliance), Mageuzi (Reform) na Ujenzi mpya wa Taifa (Rebuilding))

Profesa Mohamed Makame Haji, Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)
04:00-06:50
Mchana
MajadilianoMwenyekiti wa Mkutano
06:50-07:00
Mchana

Kuhitimisha Mada
Profesa Mohamed Makame Haji, Makamu
Mkuu wa Chuo, Chuo

Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)
07:00-08:00
Mchana

Chakula​
Washiriki Wote


08:00- 08:20
Mchana

Kuwasili Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili
wa Vyama vya Siasa

08:20 -08:35
Mchana
Kutambulisha viongozi wa kitaifa, Serikali, washiriki na kueleza maazimio ya mkutano.Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa,
08:35 -08:40
Mchana
Kutoa shukrani kwa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na WashirikiMhe. Juma Ali Khatib, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa

08:40- 08:50
Mchana
Kutoa shukrani na kumkaribisha Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kufunga mkutano
Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu

08:50 -09:40
Alasiri

Hotuba ya kufunga mkutano
Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
09:40-09:55
Alasiri
PichaMwongaza Mkutano

09:55-10:00
Alasiri
Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuondoka
Kamati ya Itifaki.

MWISHO

Karibuni

Paskali

===
Kujua zaidi yanayoendelea soma LIVE - Rais Samia akishiriki Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia, leo Septemba 11, 2023
Update 1.
Wanabodi, Nimefanya Kipindi Maalum cha Kwa Maslahi ya Taifa kuhusu mkutano huu, kwa vile mkutano ulikuwa live, naomba mimi nisilete kilichojadiliwa ndani ya mkutano bali nikuletee Vox Pop za baadhi ya washiriki Muhimu wa Mkutano huu wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Vyama vya Siasa, Kikosi Kazi na Wadau wa Demokrasia Day-1

View: https://youtu.be/VZlHxInJWfI?si=dyjhzmV32K_10Hyt
P
Update 2
Wanabodi, Nimefanya Kipindi Maalum cha Kwa Maslahi ya Taifa kuhusu mkutano huu, kwa vile mkutano ulikuwa live, naomba mimi nisilete kilichojadiliwa ndani ya mkutano bali nikuletee Vox Pop za baadhi ya washiriki Muhimu wa Mkutano huu wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Vyama vya Siasa, Kikosi Kazi na Wadau wa Demokrasia Day-2

View: https://youtu.be/f5YJTJjG9rw?si=h8xMkhQ0RfT2Nw0e
P
 

Attachments

  • 0_RASIMU YA RATIBA YA MKUTANO WA WADAU WA SIASA CURRENT.pdf
    150.7 KB · Views: 4
Huu ni mtego chadema wamesema hawashiriki🤔ATTACH=full]2745684[/ATTACH]
....
 

Attachments

  • Screenshot_20230911-110317.png
    Screenshot_20230911-110317.png
    56.1 KB · Views: 3
Umegeuka kuwa msemaji wa Chama Cha majizi ya raslimali za Tanganyika.
Mkuu Akasanka, mimi sio msemaji wa chama chochote, kwa vile wizi ni kosa la jinai, kama kuna chama cha majizi, ya rasilimali za Tanganyika, kwanini hakijashitakiwa kikawepo mahali stahiki?.
Naambiwa ulipata kura Moja pale KAWE. Hivi huwa ni kweli?
Ni kweli kabisa niligombea kuteuliwa na chama changu kugombea ubunge Kawe,
sababu zangu kugombea niliziweka humu

View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
kwenye kura za maoni, ni kweli nilipata kura moja. Nilikubali matokeo, nikawaomba jf msinibeze Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Wana JF, tujifunze kujadili mada iliyopo mezani, mada iliyopo mezani ni huu mkutano mkubwa very important na very crucial for mustakabali mwema wa siasa zetu kuelekea 2025.
P
 
Back
Top Bottom