Haya ndio matukio 8 ambayo hayawezi sahaulika kwa wadau wa soka Tanzania na kote Duniani

Objective football

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
1,195
2,758
1. Ghana vs Uruguay

World cup 2010 south africa, suarez alinawa mpira makusudi uliokuwa ukizama kambani . ikatengwa penati na Asamoah Gyan akaenda kukosa nakumbuka braza angu alilia sana coz ile gemu ingetusaidia wa africa kuingia nusu fainali.

2. Fabrice Muamba,alidondoka uwanjani gemu ilikuwa kati ya spurs vs Bolton wonderers (uingereza) jamaa unambiwa moyo ulisimama average 78 min, kulikua na simanzi uwanja mzima ulikua kimya huku wengine wakilia hali iliyopelekea gemu kua hirishwa.

3. Zidane VS Materazi World Cup 2006

Bonge la gemu mi nikiwa shabiki wa ufaransa, mara paah zizou kapiga mtu kichwa akatolewa kwa red card. Ishu ikaja je kwanini zizou kampiga materrazi kichwa. Stori zikawa nyingi mara ooh kamtukania mama yake,wengine walisema alimtukana upara nk.

4. Man City 6-1 Man United

Hichi kichapo kili ushangaza ulimwengu, mzee wetu ferguson akawa mwekundu uso mzima. mashabiki wa man u tukabaki tumeduwaa. ikawa ndio mwanzo wa brand ya city kukua

5. Sergio last minute goal against Athletico Madrid 92

HII gemu nikajua madrid tumekufa, diego simeone akawa anawambia mashabiki washangilie! Haloo sekunde ya mwisho chuma, its Ramosss!

6. Simba 5-0 Yanga mwaka 2012
Hakika hawa wajinga tuliwachapa bila huruma, kila muda Okwiiiii.

7. Azam VS Yanga
Hii gemu wachezaji wandamizi wa Yanga walikosa uvumilivu walimpiga makonde Mwamuzi Israel Nkongo kama sikosei, baadaye hao wachezaji walikumbana na rungu la TFF, kina Mwasika, Shedrack Nsajigwa nk.

8. Yanga 5-1 Simba

Hakuna rangi wadau wa Msimbazi waliacha kuona, Yanga wanaweka mabango kila sehemu za DSM, huku ikionesha 5G.
 
images - 2023-11-21T094518.141.jpeg

Messi lifting the world cup.

Most memorable thing for years to come.
 
Nikiwa shabiki wa yanga gemu iliniuma sana ya 3-3. Nilikua nashangilia nagalagala mpaka yanga waliporudi kipindi cha pili nakuanza show game niliumia sana matokeo. Ila kuna game tulifunga simba 1-0 ilikua game ya kagame fainal taifa asamoa akioiga goal safi dakika za mwisho bonge game.

Yote kwa yote game ya juzi 5-1 nimeshindwa furahi make majonzi na simanzi za wanasimba zinakutia huzuni
 
hahaa kwa hiyo juzi, ulianza kutuonea huruma??
 
1. Ghana vs Uruguay

World cup 2010 south africa, suarez alinawa mpira makusudi uliokuwa ukizama kambani . ikatengwa penati na Asamoah Gyan akaenda kukosa nakumbuka braza angu alilia sana coz ile gemu ingetusaidia wa africa kuingia nusu fainali.

2. Fabrice Muamba,alidondoka uwanjani gemu ilikuwa kati ya spurs vs Bolton wonderers (uingereza) jamaa unambiwa moyo ulisimama average 78 min, kulikua na simanzi uwanja mzima ulikua kimya huku wengine wakilia hali iliyopelekea gemu kua hirishwa.

3. Zidane VS Materazi World Cup 2006

Bonge la gemu mi nikiwa shabiki wa ufaransa, mara paah zizou kapiga mtu kichwa akatolewa kwa red card. Ishu ikaja je kwanini zizou kampiga materrazi kichwa. Stori zikawa nyingi mara ooh kamtukania mama yake,wengine walisema alimtukana upara nk.

4. Man City 6-1 Man United

Hichi kichapo kili ushangaza ulimwengu, mzee wetu ferguson akawa mwekundu uso mzima. mashabiki wa man u tukabaki tumeduwaa. ikawa ndio mwanzo wa brand ya city kukua

5. Sergio last minute goal against Athletico Madrid 92

HII gemu nikajua madrid tumekufa, diego simeone akawa anawambia mashabiki washangilie! Haloo sekunde ya mwisho chuma, its Ramosss!

6. Simba 5-0 Yanga mwaka 2012
Hakika hawa wajinga tuliwachapa bila huruma, kila muda Okwiiiii.

7. Azam VS Yanga
Hii gemu wachezaji wandamizi wa Yanga walikosa uvumilivu walimpiga makonde Mwamuzi Israel Nkongo kama sikosei, baadaye hao wachezaji walikumbana na rungu la TFF, kina Mwasika, Shedrack Nsajigwa nk.

8. Yanga 5-1 Simba

Hakuna rangi wadau wa Msimbazi waliacha kuona, Yanga wanaweka mabango kila sehemu za DSM, huku ikionesha 5G.
Kuna ile fainali ya champions league dakika za nyongeza man u anapiga comeback dhidi ya bayern munich mwaka 99.
 
suarez akudaka mpira ukiwa unaelekea golini, mpira ulishavuka line wote yaani aliutoa golini, refa ndo alikuwa mduazi badala ya kuita mpira kati, akaishia kumpa kadi na kutoa penalt. kimsingi ndo maana suarez alishagoma kuomba msamaha kwa kile kitendo. wa kulaumiwa ni refa na wasaidizi wake sio suarez.
Kipindi hicho hakukuwa na goal line technology. Kwa tension ya ile game haikuwa rahisi refa kuona Kila kitu hasa mpira uliovuka mstari Kwa juu, Bora ingekuwa chini.
 
suarez akudaka mpira ukiwa unaelekea golini, mpira ulishavuka line wote yaani aliutoa golini, refa ndo alikuwa mduazi badala ya kuita mpira kati, akaishia kumpa kadi na kutoa penalt. kimsingi ndo maana suarez alishagoma kuomba msamaha kwa kile kitendo. wa kulaumiwa ni refa na wasaidizi wake sio suarez.
unatonesha maumivu chief
 
Back
Top Bottom