wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

    Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

    CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni. Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha. Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo...
  3. Victoire

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde CHADEMA, pelekeni wabunge bungeni. CCM wanajuta hata kuwapa hizo idadi ya kura iliyowafanya mpate nafasi 19

    Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni. Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

    Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
  5. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

    CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu. Baada tu ya kuwaaminisha, kelele zikawa kila...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Uwiano idadi ya wabunge

    ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge?
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Ni wabunge wapi wapinzani walishinda? Je, ni upi msimamo wa CUF na ACT-Wazalendo juu ya ushiriki wa wabunge wao?

    Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka. Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani wasizuie wabunge wao kwenda kuapa na kuhudhuria Bunge

    Wacha wabunge wa wapinzani washiriki vikao vya bunge lijalo, na ikiwezekana wapeleke majina ya watu wa ubunge wa viti maalumu. Maana kuhudhuria au kutokuhudhuria hakusaidii kuimarisha demokrasia wala vyama vya upinzani wala kubadilisha siasa za Tanzania. CUF walifanya hivyo mara nyingi bila...
  9. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Wabunge zaidi 300 - nchi masikini kweli zina pesa nyingi

    Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3. Kila mbunge anakula zaidi ya milion 10, bado wawape zile tablet, bado...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ndio wanalia CHADEMA wapeleke Wabunge wa Viti Maalum na si CHADEMA wenyewe?

    Habari Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa CHADEMA. Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani...
  12. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  13. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkisusa kuteua Wabunge wa Viti Maalumu mtakuwa mmejimaliza wenyewe

    Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii. Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge. Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja. Kwa sababu hiyo, tarajieni kuona wale wale waliowadhulumu haki zenu wakigeuka wema kwenu na...
  15. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe umma, Tanzania ni Nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi, sio lazima Wapinzani kuchaguliwa kuwa Wabunge

    Ibara ya 3(1) ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni nchi isiyo na Dini,bali ni Nchi ya kidemokrasia ambayo inafuata misingi ya vyama vingi. Tarehe 28 mwezi jana Watanzania walipiga kura,na walifanya maamuzi ya nani awe Mbunge, Diwani au Rais. Na matokeo yametoka na CCM imeibuka...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Endapo CHADEMA itawazuia Wabunge wa Viti Maalumu kwenda Bungeni hautakuwa ni unyanyasaji wa kijinsia?

    Nauliza tu kwa wale wabobezi wa masuala ya Haki za Binadamu kama itakuwa ni halali kwa viongozi wa CHADEMA kuwazuia Wabunge wake wa Viti Maalumu ( Wanawake) kwenda kuapishwa na kushiriki vikao vya Bunge. Iwapo CHADEMA itakuwa imepata 5% ya kura za jumla walizopigiwa wabunge wote basi...
  17. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli hapa, Wabunge wa CHADEMA wamekaa zaidi ya miaka 10 Bungeni!

    Binafsi naona ni sawa kabisa kwa Wabunge wa chadema kuondolewa, wengi wao wamekuwa Wabunge kwa miaka 10 au zaidi, kuanzia Halima Mdee kawa Mbunge wa Kawe kwa miaka 10, Sugu kawa Mbunge Mbeya City kwa miaka 10, Lema kawa Mbunge Arusha City miaka 10, Mbowe kawa Mbunge kwa zaidi ya miaka 15, Zito...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

    Kwanini upinzani umeanguka vibaya: 1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote. 2) Hakuna...
  19. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hata uchaguzi wa 1995 ambao vyama pinzani vilikua dhaifu kuliko CCM bado vilipata wabunge na madiwani

    Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko. Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo wa siasa za vyama vingi. Kipindi hicho jamii kubwa ya watanzania haikuwa na uelewa mpana wa vyama...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

    Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
Back
Top Bottom