CHADEMA mkisusa kuteua Wabunge wa Viti Maalumu mtakuwa mmejimaliza wenyewe

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii.

Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge.

Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana mda na nyie.

Eacheni vichwa kama Halima Mdee, Suzan Kiwanga, Ester Bulaya. n.k

Waacheni wakapambane hata kama watakua peke yao, shujaa hakimbii vita

Mnafikiri mkisusia bunge baada ya hapo itasaidia nini?

Kazi kwenu sawa
 
Upuuzi huo CCM so wametumia gharama kubwa kuua upinzani Sasa mapenzi ya ghafla na upinzani yanatoka wapi?

Hiyo ni mbinu ya divide and rule ikimlenga mbowe na Lissu tu, ili wabunge wa viti maalum wakiingia bungeni washawishiwe kuunga juhudi, kwa kuhongwa ili kuhalalisha ushetani wa CCM na NEC
 
Siyo gereza. Ni watu wa propaganda wa CCM/TISS. Wote wamejiunga JF mwaka huu (kwa ajili ya uchaguzi). Wengine Sept 2020, wengine Okt 2020 na baadhi juzi (Nov 2020). Wanajaribu kurudia meseji zile zile.

Wakati wa maandamano, walikuwa wanarudia rudia meseji za ku-discourage maandamano. Wanapeana muda wa kuposti. mmoja akichoka, mwingine anapost kitu hicho hicho, japo kwa angle tofauti.
Hivi wewe mleta mada ulikuwa gereza gani ulipoachiwa muda huu? Mbona Kuna uzi kama huu tumejadili tangu asubuhi mpk tumechoka????
 
Hahahaa watanzania siku zote wana mapenzi mema kwa kila mmoja wao. Ndio maana hatuchoki kushauriana kwa kila lililo jema

Hivihivi tuliwashauri muondoke nyuma ya keyboards muende field mkawe mawakala ili muone vile kura zenu hazitatosha mkagoma!! Matokeo yake mmerudi hapa kulia kwamba mmeibiwa kura

Pokeeni ushauri mzuri sana huu mugah di mathew mkiupuuzia mtakuja kujuta hapahapa kwamba hamna wa kuwawakilisha
Viti vya bure chadema hawavitaki, wanachama hawavitaki, kama mnajeuri rudieni uchaguzi, weka tume huru,alafu wagombea wote wasipige kampeni, muone kama hamgalagazwi kama Trump.

KWA nini mnawalazimisha chadema vitu ambavyo hawataki ali Hali msimamo wa chama ulishatoka, wapeni vyama vingine sio lazima chadema, siku zote vyabule havina value, mnachosha Sana na viti maalum ,chadema hawavitaki chama kitapata pesa ya kuendesha toka watanzania wapenda mabadiliko wapo wengi sana.
 
Kama uchaguzi haukuwa wa haki huko bungeni ndio kutakuwa na haki? Watanzania sio wajinga bali ni waoga wa kupigwa risasi kwa maagizo ya dictator. Siwashauri cdm kwenda kwenye hilo bunge kibogoyo. Wapelekeni wabunge wa NCCR, CUF nk. Rudisheni social media hatutaki ushauri wa kipuuzi.
 
Hahahaa watanzania siku zote wana mapenzi mema kwa kila mmoja wao. Ndio maana hatuchoki kushauriana kwa kila lililo jema

Hivihivi tuliwashauri muondoke nyuma ya keyboards muende field mkawe mawakala ili muone vile kura zenu hazitatosha mkagoma!! Matokeo yake mmerudi hapa kulia kwamba mmeibiwa kura

Pokeeni ushauri mzuri sana huu mugah di mathew mkiupuuzia mtakuja kujuta hapahapa kwamba hamna wa kuwawakilisha

CHADEMA hatutaki viti vya mbeleko,tuna uhakika wa wapiga kura. Wapeni hivyo vyama mamluki.
 
Tena wasingeiba na kutumia jeshi 2020, angewapiga kuliko mwaka mwingine wowote huko nyuma.
Baada ya Maalim kususia uchaguzi 2015, wanachama walichangia chama kwa uwezo wao. Mbona aliweza kukiendesha chama kwa miaka mitano bila ruzuku ya serikali.
 
Ushauri wa kijinga na kinafiki kabisa! Hakuna kitu wanaweza kufanya kubadili chochote, ni wakati wa kuacha hili gari lie de na neutral gear kwenye Huu mporomoko tuone mwisho wake!
 
Viti vya bure chadema hawavitaki, wanachama hawavitaki ,Kama mnajeuri rudieni uchaguzi ,weka tume huru,alafu wagombea wote wasipige kampeni, mhone Kama hamgalagazwi Kama trump,
KWA nini mnawalazimisha chadema vitu ambavyo hawataki ali Hali msimamo wa chama ulishatoka, wapeni vyama vingine sio lazima chadema, siku zote vyabule havina value, mnachosha Sana na viti mahalum ,chadema hawavitaki chama kitapata pesa ya kuendesha toka watanzania wapenda mabadiliko wapo wengi sana
Wapenda mabadiliko wapo wengi. Ila wamegoma hata kuandamana😁😁
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom