wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea, Wafadhili hawatatoa fedha na huo ndio utakuwa mwanzo wa Wabunge wasio na ridhaa ya chama kugeukwa

    Ni imani yangu kuwa Wafadhili mpaka sasa wana taarifa zote za nini kinaendelea, taarifa zinazotuweka pabaya kama nchi katika swala zima la demokrasia kitu ambacho wenzetu wanakipa uzito na kukipigania. Kwahiyo, kutokana na haya yanayojiri, Wahisani wataona huu ni upuuzi wa kiwango cha SGR na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

    Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho. Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa viti Maalum kutoka CHADEMA umefuata Sheria na Katiba, hivyo hawapaswi kubugudhiwa. Awali Spika wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu "magumashi" wabunge viti maalum CHADEMA utayaona ya wanafunzi waliofutiwa mitihani darasa la 7...

    Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa malengo ya kupata ufauru bora (wa ulaghai) huku upande mwingine wa siasa kuna sarakasi zinafanyika...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ombi Maalum kwa wale ambao tunawacheka na kuwadhihaki hapa JamiiForums Wabunge Viti Maalum CHADEMA

    Naona Watu wengi (Members) hapa tunawasema, tunawacheka, tunawadhihaki hadi kuwatukana huku tukiwaambia sijui wamenunuliwa na wana Njaa sana. Sitaki Kuwakatalia au Kupinga haya Maneno yenu Kwao hawa Wabunge Viti Maalum CHADEMA kutokea BAWACHA, ila GENTAMYCINE nina Ombi moja Maalum tu Kwenu na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe alimleta Lowassa, akamleta Dkt. Mashinji, akampa Bulaya "unadhimu" Bungeni na Kamati Kuu ikabariki baadaye, hata Wabunge watabarikiwa!

    Ndani ya CHADEMA, Mbowe wanamwita " MWAMBA" na ni mwamba kweli kweli kama Petro. Hakuna jambo lililetwa na Mbowe au liliamuliwa awali na Mbowe kamati kuu ya CHADEMA ikagoma kulibariki. Hata kesho tarehe 27/11/2020 siku ya Ijumaa saa 3.00 asubuhi Halima James Mdee akiithibitishia kamati kuu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kuwekwa mtegoni kwa kuingiziwa ruzuku itokanayo na Wabunge wa Viti Maalum msiowatambua

    Kwangu mimi huu naona unaweza kuwa ni mtego unaofuata kwa CHADEMA ambapo chama kinaweza kupewa ruzuku kwa kigezo cha kuwa na wabunge wa viti maalamu katika Bunge hili la sasa unless utaratibu unaotakiwa kufuata hauruhusu mbinu hii kutumika (unaweka mazingira magumu). Kwahiyo, kama ni swala la...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

    Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu. “BAVICHA...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake. 2. Mahakama kwa Tarehe...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kwamba kuapishwa kwa wabunge 19 viti maalumu CHADEMA, chama hakijashiriki kufanya uteuzi sawasawa na sheria zinavyotaka. Nini maana yake hasa?

    Nimemsikiliza John John Mnyika akitoa tamko kuhusu jambo hili leo... Kwa ufupi linafikirisha sana. Mtu anaweza kujiuliza kama ndivyo hivi yalivyo mambo haya, nini hasa maana yake...? Kuna assumption mbili hapa; MOSI; Kuna shida ndani ya CHADEMA. Ni mchakato halali kabisa umefanyika ndani ya...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

    Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa. Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
  12. G

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

    Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja. Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tuwe Wakweli: Kama Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu wasingeenda Bungeni ruzuku ingepungua sana chama kingeendeshwaje?

    Kwanza nawapongeza CHADEMA kwa kuwatendea haki Wanawake wa Tanzania kwa sababu viti vile ni mali yao siyo ya chama. Pili shughuli za uendeshaji wa chama zinahitaji fedha na wabunge 19 ni mtaji mzuri wa kutunisha mfuko wa ruzuku. Tatu na mwisho CHADEMA HQ msiwasikilixe hawa makamanda wanaopiga...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma. Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020: 1. Halima Mdee 2. Grace Tendega 3. Ester Matiko 4. Cecilia Pareso 5. Ester...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wale Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliosema wamenyanyaswa wako wapi?

    Msimu wa 2015-20 kulikuwa na wimbi kubwa la wabunge kuunga juhudi tukianzia kwa Mollel (Siha) Lijuakal (Kilombero), Ryoba (Serengeti), Masinji (KM), Issack karanga (Monduli), Silinde (momba), Waitara(Ukonga) Na wengineo wengi ambao sikuwataja hawa wote waliwasaliti wananchi wao kwa kuendekeza...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tathmini yangu juu ya Uchaguzi Mkuu 2020: Hakuna sababu nzuri ya kukataa kuteua wabunge wa Viti Maalum CHADEMA

    Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika) Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation." Yaani, "Safari ya Kutoka Kwenye HImaya ya Kidikteta Kuelekea Kwenye HImaya ya Kidemokrasia: Mawazo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

    Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

    Nimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, maalim Seif akijiunga na GNU ya SMZ wabunge wa Chadema (viti maalumu) wataenda bungeni?

    Nauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo. Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na inshallah Mungu akipenda watajiunga. Je, Chadema nao watafuata nyayo kwa kuitikia...
  20. Bowie

    JamiiForums Tanzania Serikali inunue magari katika majimbo kwa ajili ya wabunge

    Hili suala la kuwapa wabunge mamilioni ya fedha kwa ajili ya wabunge lifutwe kabisa. Miaka ya utawala wa awamu ya kwanza na pili serikali ilikuwa inatoa gari kwa kila jimbo kwa matumizi ya mbunge na kipindi ubunge unapoisha gari linabaki kwenye jimbo kwa matumizi ya mbunge anayefuata.
Back
Top Bottom