waandishi

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine

    Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania jifunzeni kwa wenzenu wa nje

    Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano: 1. Kesi ya Mbowe 2. Usalama wa Lisu akirejea nchini 3. Uhuru wa vyama vya siasa 3. Katiba mpya 4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine. Wakati mwingine...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari ni nguzo muhimu, walindwe

    Tasnia ya habari imekuwepo kwa vizazi na vizazi, Tasnia hii imechangia kufanikisha mambo mengi sana ikiwamo, maendeleo, kukuza lugha, kutoa elimu mbalimbali, kuonesha sehemu zenye fursa za kiuchumi na kufichua ubadhilifu katika mambo mbalimbali ikiwemo kwa watumishi wa Umma nk. Tasnia ya habari...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na waandishi wa habari Machi 12, 2022

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImara #KaziIendelee
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Geita: Watoto 2 wafariki kwa kushambuliwa na nyuki

    Watoto wawili wenye umri wa miaka minne wamefariki kwa kung’atwa na nyuki katika kijiji cha Kamena wilayani Geita Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Geita Willison Shimo amekiri kutokea kwa vifo vya Watoto hao na kuitaka jamii kuzingatia kuweka ulinzi katika maeneo yao ya ufugaji wa nyuki dhidi ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusiana na mkutano wa waziri Wang Yi na waandishi wa habari

    Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika. Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika. Wang Yi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwenda: Waandishi andikeni makubwa yaliyofanywa na wanawake nchini

    Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaomba Waandishi wa historia kuendelea kuenzi na kuthamini mchango uliotolewa na wanawake kabla na baada ya Tanzania kupata uhuru. Mhe. Mwenda ametoa ombi hilo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati akihutubia maelfu ya wananchi...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake: Bi. Titi Mohamed mahojiano na waandishi maalum

  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Urusi, Ukraine yaanza, waandishi wa habari watolewa ukumbini

    Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje. Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha

    Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha Waandishi wawili Victor Korumba wa Global TV na Alphonce Kusaga wa Triple A FM wanashikiliwa na Polisi Kituo Kikuu, walikuwa wakifuatilia tukio la askari kituo cha polisi sakina kupiga raia jana Februari 23, 2022. Nimeongea na...
  11. Investaa

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kufeli kwa waandishi wa Tanzania

    Habari wa JF! Leo nitaongelea muendelezo wa biashara ya uandishi wa vitabu, makala nyingi nilielezea biashara ya ebook ambayo mwandishi hawezi kupata hasara kama wanayopata sasa kwa wale wanaouza whatsapp na facebook. Leo kwenye kupitapita youtube nimeona tangazo la nguli wa ushauri wa...
  12. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Ayub Rioba aitisha mkutano na waandishi wa habari Februari 21, 2022 kuhusu madai ya rushwa

    Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa. Ukumbi na eneo mtajuljshwa. Pia soma >Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali yasogeza mbele sheria ya ukomo wa elimu kwa waandishi wa habari

    Serikali imetangaza kuongeza mwaka mmoja mbele kabla ya kuanza kutumika sheria ya elimu kuanzia ngazi ya Stashahada kwa waandishi wa habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya Habari ya Mwaka 2016. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipokuwa...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari muwe na akiba ya maneno, kufurahisha watawala kutawadhalilisha

    Sasa hili gazeti litaandika nini kesho ? Nakala : Pascal Mayalla
  15. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nawe fanya mahojiano na waandishi wa habari kama anavyofanya Rais Mwinyi

    Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ni uoga au ni uwezo duni wa waandishi wetu wa habari?

    Kwa mara nyingine tena, Rais wetu huyu Chifu Hangaya amefanya mahojiano na chombo cha habari. Nimeangalia vipande vipande kadhaa vya mahojiano hayo na sijaona swali lolote lile lililo gumu aliloulizwa huyu chifu wetu. Anaulizwa vi softballs tu. Naye anatoa majibu mepesi mepesi tu. Sijui mara...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa waandishi habari vijijini husababisha changamoto lukuki zilizopo huko kukosa utatuzi

    Imezoeleka kuwa habari za vijijini zinapatikana pale kiongozi wa kitaifa akienda huko huku akiongozana na wandishi wa habari toka mjini kwa ajili ya uzinduzi wa jambo fulani kama vile Kisima, Hospital nk lakini baada ya hapo huondoka zao na kurudi walikotoka bila hata ya kuzunguka na kujua...
  18. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Kufuatia vifo watu 14 wakiwemo waandishi 6, Rais toa maelekezo misafara ya viongozi

    Kwa heshima na taadhima namwomba Mhe. Rais SSH atoe maelekezo kuhusu misafara ya viongozi wa Serikali kupunguza au kuepusha ajali zisizo za lazima. Hakuna ulazima wa Waziri, RC au DC kuwa na msururu wa magari na mrundikano wa waandishi wa habari kwene gari moja. Waandishi aidha waqe na private...
  19. MC44

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Natoa siku 7 waajiri kuwalipa Waandishi wa Habari waliofariki kwenye ajali. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kuungana na RC Mwanza, Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana. Natoa siku saba kuanzia leo kwa waajiri wote, kama...
Back
Top Bottom