Hamisa Mobetto umekosea kuongea na waandishi JKIA

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,062
2,288
Hamisa, ujio wako kutoka Dubai ni Habari kubwa. Ungetengeneza hela kubwa kama ungejizuia kuongea na waandishi wa Habari.

Ukatafuta chombo cha Habari ambacho kingekulipa na kujitengenezea hela za kutosha. Harmonize pia alifanya kosa hilo hilo. Habari zake alipotoka Marekani ilikuwa ni hela nzuri.

Nawashauri masupa star uzeni habari zenu. Habari ni pesa. Diamond akienda studio za wasafi kuongeza na habari. Anauza matangazo mengi siku hiyo.
 
Hamisa, ujio wako kutoka Dubai ni Habari kubwa. Ungetengeneza hela kubwa kama ungejizuia kuongea na na waandishi wa Habari. Ukatafuta chombo cha Habari ambacho kingekulipa na kujitengenezea hela za kutosha.
Harmonise pia alifanya kosa hilo hilo. Habari zake alipotoka Marekani ilikuwa ni hela nzuri.
Nawashauri masupa star uzeni habari zenu. Habari ni pesa.
Diamond akienda studio za wasafi kuingea ninhabari. Anauza matangazo mengi siku hiyo.
Ubongo wa masupastaa wengi ni mdogo kama ubongo wa nzi wa kijani. Nfio maana hutumika vibaya uchaguzini
 
Hiyo sio shida sana! Kosa ni pale hamisa kama alienda kwa huyu tajiri siku ambazo sio za kushika mimba.hii nafasi ataijutia sana.

Kwa nini ataijutia? Hamisa ni mzuri wa shape ila sura hana hata mimi namzidi.so saa yoyote ataachwa lakini kama kaacha mbegu chilid support lazima ije tu.

Hamisa nakuita mara tatu hope hujapoteza hii chance.
Nimalize kwa kusema hivi,ni bora kufa na maji ya ziwa Victoria kuliko ndoo moja ya maji.
 
Kuachwa si leo, mchizi anampost Hamisa kama hana akili nzuri. Wabongo wanapeleka picha za Hamisa akiwa mwanafunzi kumuaminisha Rick Hamisa anatumia mkorogo. Basi hata wangekodi Mkenya kunyosha English, Ross anasoma English za St Kayumba. Wabongo kwa wivu tumelaaniwa.
 
Hakuna mtu ambae hana past hata huyo RR ama past zake akiwa kibongeee mbaya lakini kajiweka sawa na kawa kawaida.

Nyie wanaume mkae mkijua ndo mnatufanya tubadilike.diamondi alimuonesha dharau sana hamisa, mama yake diamond akamuona hamisa kama shetani, sasa mtoto wa kike kapanda dau.

Sio kwamba nashabekia haya mambo ila najua hamisa amesimangwa sana.

Mimi ni mtu wa kawaida sana sina makuu yeyote ila nikiamua kuwa kimahusiano na mtu basi jua huyo mtu anajiheshimu na sio mtu wa kuchukulia poa.yaani lazima nihakikishe hata tukiachana ila moyoni sina majuto. Siwezi date mtu ambae nikitoka kwake anakuja kupost hapa.yaani sina status yeyote ila nina ka class kangu kadogo ambako mtu hawezi kukaona kuirahisi. Sema watu nadatigi nao ni ngumu kuwapata naweza maliza miaka 2 niko single😂😂😂 nikimpata basi moyo unasuuzika. Yaani sijuti.
Itoshe kusema kuwa status unajipa mwenyewe.

Hamisa al the best maisha yenyewe haya haya. Kuwa na grade
 
Back
Top Bottom