waandishi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Urais 2020: Msigwa kuongea na waandishi wa habari Jumapili ya Juni 14 mjini Dodoma

  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha: Wabunge wa CHADEMA waanza kuhojiwa TAKUKURU

    Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika. TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Chadema waongea na waandishi habari juu ya shambulio la Mbowe na mtazamo wa chama

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, amesema kutokana na hali aliyonayo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wamefikia uamuzi wa kufanya utaratibu wa kumsafirisha kuja jijini Dar es salaam kwa ajili uchunguzi zaidi na matibabu. Katika tukio hili napo...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Waandishi wa habari wanasubiri takwimu za covid-19

    Wasichoelewa ni kuwa takwimu zinatolewa J2 kanisani na mwenye mamlaka. Wengine wote W amepata sellotape midomoni.
  6. JM3

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

    Mkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay. Mkutano huu umehairishwa baada ya M/ kiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati...
  7. Francis12

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waandishi Clouds 360 wamshukia kama mwewe wakili Msando kwa kupotosha kuwa Arusha hali ni mbaya kwa Corona

    Watangazaji wa Clouds tv Sasali, Kabaye na Ngoma wamesema wakili msomi Albert Msando hana haki ya kuwasemea wananchi wa Arusha kuhusu Corona. Ngoma amesema RC Gambo ndio anajua hali halisi ya mkoa wake, Msando anapaswa kuelezea waliofisadi mali za CCM waliowachunguza na siyo Corona. Amesisitiza...
  9. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

    Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu... Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu. Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...

    Wanabodi, Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari. Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda, Daudi Mwangosi, Josephat Isango, maajaliwa ya hatma za maisha yao...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yapiga marufuku mikutano ya waandishi wa habari

    Waziri wa habari wa Zanzibar amezuia mikutano yote ya waandishi wa habari na mtu yoyote mwenye jambo la kuhabarisha Umma basi alifikishe ofisi ya Maelezo na waandishi watatumiwa taarifa. Source: Clouds tv
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania CoronaVirus: Katika kujikinga na COVID19 mikusanyiko ya Waandishi wa Habari yazuiwa Zanzibar

    Katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa #COVID19, Serikali imesema kuanzia leo mikutano ya Waandishi wa Habari na shughuli nyingine zitakazowafanya waandishi wa habari kukusanyika zinasitishwa Hivyo, taarifa za Waziri wa Afya kuhusiana na ugonjwa huo zitatolewa kwa njia ya...
  13. Francis12

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

    Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020. ==== Updates “Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe. “Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari leo saa sita mchana

    Taarifa hii ilitolewa jana usiku (7:24 PM) na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mawasiliano wa CHADEMA, bwana Jon Mrema kupitia mtandao wa twitter: Kesho Jumatatu tarehe 16.03.2020 saa Sita Kamili mchana, ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe...
  15. Omerta

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

    .............
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Uvumi wa kuachana na Tanasha; Diamond Platnumz kuongea na waandishi wa habari kesho Serena Hotel

    Diamond amepost kwenye page yake ya Instagram kuwa ataongea na waandishi wa habari kesho huku kukiwa na uvumi wa utata kwenye mahusiano yake. Inasemeka kuwa Diomond na Tanasha wapo kwenye mgogoro mzito na ikidaiwa kuwa penzi lao limefika mwisho. Je, ndicho kitu ambacho Diamond anataka...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

    Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe...
  18. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania Jumapili Februari 23, 2020 Waandishi wa Riwaya wenye Dira Tanzania (Uwaridi) watakutana na wasomaji wao katika Chuo cha Posta, Kijitonyama jijini Dar

    Imeandikwa na Hamisi Kibari wa gazeti la HabariLeo “HUYU ndiye Edi Ganzel uliyekuwa ukimuuliza sana,” aliniambia Mzee Barnabas Maro, akinitambulisha kwa mmoja wa watunzi mahiri wa riwaya kuwahi kutokea nchini. Wakati huo, mwaka 1998, Mzee Barnabas Maro, maarufu Kamba Ulaya, alikuwa mhariri wa...
  19. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waandishi wa habari wanatia aibu

    Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani tasnia ya habari inavyopoteza weledi wake siku hadi siku.
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

    Kupitia Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema ameitwa Jijini Dodoma kwenye Kikao hicho cha CCM Amesema amepata barua ya kuitwa hapo jana na ataudhuria bila kukosa au kuchelewa kikao hicho kitakachofanyika Februari 06 saa 3...
Back
Top Bottom