Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,790
Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC

"Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa Habari? Hiki Kiburi Haji Manara anakitoa wapi? Manara ni zaidi ya Simba SC? Kiukweli Simba SC isipomchukulia hatua Sisi Waandishi wa Habari tutaacha Kuandika Habari zao"

Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara 'alipotumbuliwa' rasmi Simba SC kama Msemaji
"Hakuna Mwanaume wa Shoka kama Manara. Kiukweli Simba SC wamemuonea mno tu na kwa Kipindi kirefu hivyo acha tu awanyooshe. Haji Manara aliishi vyema sana na Sisi Wanahabari na tulimkubali sana kwakuwa alikuwa akiuchangamsha Mpira wetu na hata Vipindi vyetu vya Michezo. Haji Manara alikuwa bado anahitajika mno Simba SC na Simba SC kuachana nae wamefanya Kosa kubwa na wataporomoka Kiumaarufu"

Pale GENTAMYCINE nikiwa 'nawadharau' Waandishi wa Habari wengi (siyo Wote) wa Tanzania muwe mnanielewa tafadhali, na sishangai ndiyo maana Media ninazoziheshimu kwakuwa zinajitambua Kiuweledi na Kimaadili ni za Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa, Zimbabwe, Ghana, Egypt, Israel, Al Jazeera, BBC, CNN, Russia Today, CGTN na Sky News pekee.
 
Basi na tuseme ni mkubwa kuliko vyote, kuliko waandishi wa habari na kuliko simba yenyewe.

Waandishi hawakumwadabisha na simba haikumwadabisha kwa vitendo vyake. Na hii ya mwisho si ni yeye kajiengua au simba ilimfukuza??
 
Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC.....

"Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa Habari? Hiki Kiburi Haji Manara anakitoa wapi? Manara ni zaidi ya Simba SC? Kiukweli Simba SC isipomchukulia hatua Sisi Waandishi wa Habari tutaacha Kuandika Habari zao"

Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara 'alipotumbuliwa' rasmi Simba SC kama Msemaji...

"Hakuna Mwanaume wa Shoka kama Manara. Kiukweli Simba SC wamemuonea mno tu na kwa Kipindi kirefu hivyo acha tu awanyooshe. Haji Manara aliishi vyema sana na Sisi Wanahabari na tulimkubali sana kwakuwa alikuwa akiuchangamsha Mpira wetu na hata Vipindi vyetu vya Michezo. Haji Manara alikuwa bado anahitajika mno Simba SC na Simba SC kuachana nae wamefanya Kosa kubwa na wataporomoka Kiumaarufu"

Pale GENTAMYCINE nikiwa 'nawadharau' Waandishi wa Habari wengi ( siyo Wote ) wa Tanzania muwe mnanielewa tafadhali, na sishangai ndiyo maana Media ninazoziheshimu kwakuwa zinajitambua Kiuweledi na Kimaadili ni za Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa, Zimbabwe, Ghana, Egypt, Israel, Al Jazeera, BBC, CNN, Russia Today, CGTN na Sky News pekee.
Kiukweli hapa Tanzania HAKUNA waandishi wa habari na watangazaji wa maana, wote walishapotea baada ya ujio wa hizi redio za kishikaji zilizoajiri watu bila weledi. Unakuta demu hana hili wala lile kutusu mpira lakini anaajiriwa redioni mwisho wa siku anakuwa chakula cha boss wa kipindi au mwenye redio. Siwatilii maanani hawa watu hata kidogo.
 
mjitegemee katika ku analysis mambo msitegemee msaidiwe na waandishi wajinga wajinga kama hawa. Mtu na akili zako unahoji kwa nini Diamond alikatazwa kumtaja Manara kwenye nyimbo. upuuzi wa kiwango gani huu. yaani tukulipe tangazo halfu utupangie cha kutangaza
Hii hata Diamond mwenyewe amefanya makosa makubwa kibiashala sababu ilikuwa haina haja ya kumwambia Manara hilo ikiwa aliyekulipa hela ndio nakwambia
 
Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC

"Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa Habari? Hiki Kiburi Haji Manara anakitoa wapi? Manara ni zaidi ya Simba SC? Kiukweli Simba SC isipomchukulia hatua Sisi Waandishi wa Habari tutaacha Kuandika Habari zao"

Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara 'alipotumbuliwa' rasmi Simba SC kama Msemaji
"Hakuna Mwanaume wa Shoka kama Manara. Kiukweli Simba SC wamemuonea mno tu na kwa Kipindi kirefu hivyo acha tu awanyooshe. Haji Manara aliishi vyema sana na Sisi Wanahabari na tulimkubali sana kwakuwa alikuwa akiuchangamsha Mpira wetu na hata Vipindi vyetu vya Michezo. Haji Manara alikuwa bado anahitajika mno Simba SC na Simba SC kuachana nae wamefanya Kosa kubwa na wataporomoka Kiumaarufu"

Pale GENTAMYCINE nikiwa 'nawadharau' Waandishi wa Habari wengi (siyo Wote) wa Tanzania muwe mnanielewa tafadhali, na sishangai ndiyo maana Media ninazoziheshimu kwakuwa zinajitambua Kiuweledi na Kimaadili ni za Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa, Zimbabwe, Ghana, Egypt, Israel, Al Jazeera, BBC, CNN, Russia Today, CGTN na Sky News pekee.
Hata ukiwadharau huna cha kuwafanya na bado wananafasi ya kumpromote Manara wanatakavyo ila Kama umeumia sana kalale ukiamka itapoa. By the way Mudi aache janja janja sasa ameanikikwa na wahusika wataanza kumfuatlia
 
Watu wasio na pesa huwa wana ushauri mwingi sana,lakini walio na pesa huwa wana maamuzi mengi.Hii ndiyo tofauti kubwa
 
Inategemea wengine pesa wanazisimamia tu wala siyo zao ndiyo maana wanalazimisha umaalufu huku wakilazimisha watu waone wanachokifanya lkn ukweli kwamba ni walaghai wakutupwa
 
Back
Top Bottom