CHADEMA yaitisha Mkutano wa dharula na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya chama Mchana huu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,280
2,000
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam .

muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu

MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .

wote mnakaribishwa

======

Mbowe hajulikani alipo , yasemekana ameondolewa Mkoani Mwanza , na kufichwa kusikojulikana , haijulikani kama yuko hai au la

Imeagizwa kila Mwanachadema kumtafuta Mwenyekiti wao popote na kwa kutumia njia zozote zitakazoonekana zinafaa.
 

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,798
2,000
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam .

muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu

MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .

wote mnakaribishwa
Safi Sana ,katibu toa ,mwongozo, Basi wasibembelezwe hao wamezoea , ila katibu umechelewa Sana Yani that's KWA tukio la leo nimejipima siwezi uongozi, Mambo ya ajabu Kama aya, mbona uvumilivu hua wanishinda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom