data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,149
- 22,726
Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari...
1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!?
2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu njaa ya Wa Tanzania wengi masikini na kuwapa mwanga wa tumaini jipya!?
3. Je, ni kweli hizi tozo zina manufaa kwa mlipaji wa chini kabisa au ndo zinafadhili safari kama hizo (royal tour)!? Na je ni gharama kiasi gani umetumia kwa tour hii? Wananchi wanapaswa kufahamu maana ni pesa zao.
4. Je, Ulikuwa comfortable kumuona Mange kimambi!? Utashawishi mamlaka ziruhusu arudi nchini!??
5. Kwanini hujaenda Canada kuangalia ndege zetu mbili utayari wake? Na zitatua lini Bongo?
6. Mfumuko wa bei. Je, Mh. Rais umekaa na wataalamu wa uchumi huko 'ulaya' kushauriana nao ni vipi utaweza dhibiti mfumuko wa bei. .. kama hujui. Mafuta ya kupikia lita 5..sasa ni 30,000!?
7. TOZO... ulituambia kwamba mnataka malizia maboma yaliyosimama nchi nzima.. hospital wards, dispensaries na madarasa, madawati na meza kwa ajili ya kuwapokea f1. Mmefikia wapi!? Maana pesa zetu mnazo...
8. BiMA YA AFYA KWA WATANZANIA WOTE..... Ipo kwenye ilani yenu... Mmefikia wapi?
19. Etc. Etc Etc.
Wakuu endeleeni... Maswali ya kumuuliza Mama ni mengi.. na wananchi tunataka majibu.