Guinea yasema mbele ya UN kuwa waafrika hawana shida na demokrasia ya Kimgagharibi

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,193
10,928
Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika.

Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala.

Akaongeza kwamba nchi za kiafrika zimepevuka vya kutosha kuweza kujiamulia mambo yao wenyewe na kwamba tabia zao za kuwafanya waafrika kama watoto zikome.

1695402317019.png

---
Guinea junta leader denounces Western democracy amid wave of coups
Guinea's military leader told the U.N. General Assembly on Thursday that the Western model of democracy does not work for Africa, as evidenced by a recent wave of coups.

Doumbouya took power in a coup in 2021, which was one of eight in West and Central Africa in the last three years. Mali, Niger, Burkina Faso, Chad and Gabon are also run by military officers.

The coups have been strongly condemned by the United Nations and Western powers such as the U.S. and France, which have urged democracy to be restored as soon as possible. Doumbouya criticised their response, saying it was racist and condescending.

"Africa is suffering from a governance model that has been imposed on it... a model that is good and effective for the West but is difficult to adapt to our realities, our customs and environment," he told world leaders gathered in New York.

"It is time to stop lecturing us and stop treating us with condescension like children," he said, adding that Africans were mature enough to design their own models of governance.

Doumbouya's government proposed a two-year transition to elections in 2022 after negotiating with regional bloc ECOWAS, but has shown little sign of moving to organise a vote.

Western countries such as France have been particularly concerned by the coups in Mali, Burkina Faso and Niger, where the military governments have moved to cut ties with their former colonial ruler and strengthen relations with Russia.

Doumbouya said that African countries were being unfairly placed into boxes and forced to take sides in an ideological battle from the Cold War era, which was not relevant to their current-day relations.

Africans are neither pro- nor anti- American, Chinese, French, Russian or Turkish, he said, they are "simply pro-African".

"Placing us under the influence of this or that power is an insult. It is contempt and racism towards a continent of more than 1.3 billion people."

Doumbouya took power by overthrowing Alpha Conde, Guinea's then 84-year-old president who had changed the constitution to run for a third term, sparking widespread protests.

"The real putschists, the most numerous and those who avoid any condemnation, are also those who plot and scheme... in order to stay in power eternally," Doumbouya said.

Reuters
 
Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika
Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala.Akaongeza kwamba nchi za kiafrika zimepevuka vya kutosha kuweza kujiamulia mambo yao wenyewe na kwamba tabia zao za kuwafanya waafrika kama watoto zikome.

View attachment 2758720

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kesho utasikia anahaha kuomba msaada kutoka nje. Uwe na jeuri wakati unaweza kujitawala. Kujigamba na maonyo ya aina hii miaka ya 1960 ndiyo ilikuwa wimbo wa nchi za Afrika. Lakini mpaka sasa hatujaweza kufanya lolote.
 
Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika
Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala.Akaongeza kwamba nchi za kiafrika zimepevuka vya kutosha kuweza kujiamulia mambo yao wenyewe na kwamba tabia zao za kuwafanya waafrika kama watoto zikome.

Guinea junta leader denounces Western democracy amid wave of coups

View attachment 2758720
Hapaswi kuwaambia afanye kwa vitendo
 
Katika viongozi wa kiafrika waliotoka hotuba huyu ameongea.kitu kinachoeleweka.
Kwa wazungu hasa Western na USA demokrasia ni viongozi kufata matakwa yao na tamaduni zao. Mambo ya ushoga sio tamaduni zetu, kiongozi Kama anawapatia rasilimali huwa hawajali kabisa Ila akiingia kiongozi anayedhibiti rasilimali atapewa majina ya ajabu Mara dikteta au mminyaji wa demokrasia.
Magufuli na Samia hawatofautiani kudhibiti vyombo vya habari, tumeona pamoja na kuondolewa zuio la mikutano bado wapinzani wamezuiwa kufanya mikutano baadhi ya maeneo lakini hatujasikia kauli yoyote toka kwao.
Bado Kuna watu wako ndani kwa sababu za kisiasa lakini hatujasikia kauli yoyote.
Kwa kifupi watuache na demokrasia yetu
 
Kwa hyo wanataka utawala wa kijeshi siyo
Kakwepa kusema anataka nini. Ni wazi anataka ujeda, udikteta na ufalme. Maana kasema mazingira yetu, mila na desturi zetu haziendani na hii demokrasia ya Mzungu.

Tatizo za falme zetu za jadi na madikteta yetu ni kwamba yalikuwa mazuzu, yaligawa nchi mpaka watu wao wakatuuza utumwani

Halafu hayakujali maendeleo tofauti na madikteta meupe kama Mao Zedong, Muammar Ghadafi, Saddam Hussein, Benitto Mussolini, Hitler, Stalin, King Leopard, Khomeini, Khomenei, Al Assad, Nasser, Castro, Hosni Mubarak na Ivan the Terrible wa Russia. Hii midikteta ilileta maendelso.
 
Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika.

Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala.

Akaongeza kwamba nchi za kiafrika zimepevuka vya kutosha kuweza kujiamulia mambo yao wenyewe na kwamba tabia zao za kuwafanya waafrika kama watoto zikome.

View attachment 2758720

---
Guinea junta leader denounces Western democracy amid wave of coups
Guinea's military leader told the U.N. General Assembly on Thursday that the Western model of democracy does not work for Africa, as evidenced by a recent wave of coups.

Doumbouya took power in a coup in 2021, which was one of eight in West and Central Africa in the last three years. Mali, Niger, Burkina Faso, Chad and Gabon are also run by military officers.

The coups have been strongly condemned by the United Nations and Western powers such as the U.S. and France, which have urged democracy to be restored as soon as possible. Doumbouya criticised their response, saying it was racist and condescending.

"Africa is suffering from a governance model that has been imposed on it... a model that is good and effective for the West but is difficult to adapt to our realities, our customs and environment," he told world leaders gathered in New York.

"It is time to stop lecturing us and stop treating us with condescension like children," he said, adding that Africans were mature enough to design their own models of governance.

Doumbouya's government proposed a two-year transition to elections in 2022 after negotiating with regional bloc ECOWAS, but has shown little sign of moving to organise a vote.

Western countries such as France have been particularly concerned by the coups in Mali, Burkina Faso and Niger, where the military governments have moved to cut ties with their former colonial ruler and strengthen relations with Russia.

Doumbouya said that African countries were being unfairly placed into boxes and forced to take sides in an ideological battle from the Cold War era, which was not relevant to their current-day relations.

Africans are neither pro- nor anti- American, Chinese, French, Russian or Turkish, he said, they are "simply pro-African".

"Placing us under the influence of this or that power is an insult. It is contempt and racism towards a continent of more than 1.3 billion people."

Doumbouya took power by overthrowing Alpha Conde, Guinea's then 84-year-old president who had changed the constitution to run for a third term, sparking widespread protests.

"The real putschists, the most numerous and those who avoid any condemnation, are also those who plot and scheme... in order to stay in power eternally," Doumbouya said.

Reuters
Ahaaaaa,nakuunga mkono
 
Back
Top Bottom