Kabla ya Ukristo na Uislam, waafrika walikuwa wanaabuduje??

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,307
33,925
Kabla ya kuja Kwa Ukristo na hatimaye Uislamu Afrika, watu wa Afrika walikuwa wanaabuduje?

Jee na wao walikuwa wana siku, wiki, mwezi na mwaka Kwa mfumo huu uliopo Sasa au ilikuwaje?

Walimini Kuna dhambi? Au kwao dhana ya dhambi haikuwepo??

Mtu akizaliwa ama kufa walikuwa anatafsirije. Akifa ndiyo inakuwa mwisho wake au Kuna maisha baada ya kifo??

Wao walikuwa na mitume Kama ilivyo kwa Waislamu au Wakristo?
 

Bumba Vomits Up the Universe​

1695658654488.png


Bumba was the creator.

At the beginning of time, there was only darkness and water, and Bumba, the creator, the first ancestor, was alone. Then he vomited up the sun, and there was light. The water dried up, and the outlines of landforms began to emerge. Bumba vomited up the moon and stars. Then he vomited again, and a leopard emerged, then a crested eagle, a crocodile, a fish, a tortoise, and the lightning, the heron, a beetle, and a goat.
Finally, many men came out. Other animals were then created by those creatures: the heron created birds, the crocodile made serpents and iguana, the goat made horned beasts.
The fish created the varieties of fish, the beetle created all other insects. The serpents made grasshoppers, and the iguana made creatures without horns. And the three sons of Bumba finished the world.

Nyonye Ngana attempted to make white ants, but died in the effort.
Chonganda, the second son, created a plant from which all trees and plants have sprung. The third son, Chedi Bumba, created the kite. Lightning became so troublesome that Bumba chased her into the sky, but she continued to strike at the earth.
Bumba then showed the people how to draw fire out of trees, telling them that every tree contained fire. He showed them how to bring fire from the tree. When the creation was complete, Bumba gave these creations to the humans.
 
Kila kabila lilikua na utaratibu wake wa kuomba.
Hii Africa ni ya juzi juzi tu, hakukua na Africa na mila mpaka kesho zinatofautiana.
 
Kulikuwa kunaitwaje??
Hakukua na muunganiko wa nchi kama ilivyo sasa. Kulikua na majina ya maeneo maarufu yaliyotajwa tajwa na vitabu vya kistoria hasa maeneo ya kaskazini.
Na sio Africa kama ilovyo sasa kwa umoja wa nchi zote.
Hata hili jina Africa lina nadharia zake kadha , wengine wakidai tulipewa na weupe kulingana na hali ya hewa, wengine wakidai ni jina asili nk.
 
Kabla ya kuja Kwa Ukristo na hatimaye Uislamu Afrika, watu wa Afrika walikuwa wanaabuduje?

Jee na wao walikuwa wana siku, wiki, mwezi na mwaka Kwa mfumo huu uliopo Sasa au ilikuwaje?

Walimini Kuna dhambi? Au kwao dhana ya dhambi haikuwepo??

Mtu akizaliwa ama kufa walikuwa anatafsirije. Akifa ndiyo inakuwa mwisho wake au Kuna maisha baada ya kifo??

Wao walikuwa na mitume Kama ilivyo kwa Waislamu au Wakristo?

Waafrika wa wapi unaowaongelea ??
 
Kabla ya ujio wa Wazungu,wanyakyusa walikusanyika kufanya matambiko na kutoa sadaka sehemu moja inaitwa Kyala huko Matema. Wazungu walivyo kuja na kuona umoja wao kwenye matambiko wakauharibu mfumo wa matambiko na kuuhamishia kanisani lakini jina la God likawa na tafsiri ya KYALA. Kyala ni sehemu ambayo mzimu mkuu wa kinyakyusa ulipatikana. Kyala siyo Mungu wa Wazungu ila walitumia njia hiyo kututoa kwenye reli ya matambiko yetu
 
Back
Top Bottom