Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k
Takriban watumwa milioni 6...
Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa.
ITV
===
Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
Tena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika.
Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia...
Wazungu wanafanya ushoga na usagaji. Ni dhambi mbaya. Lakini wanafanya na wanaweka wazi tu kuwa wanafanya. Hili jambo halihalalishi ila wanaonesha kuwa responsible. Uwazi Ni utamaduni wa wazungu kwa asilimia kubwa. Hata suala la mahusiano ya kimapenzi. Wazungu wapo wazi sana. Mtoto akifika miaka...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
Dunia nzima na culture zote watu wanaofanana muenekano hupendeleana na kumtenga yule anayeonekana tofauti, siyo sawa lkn ni kawaida, ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa siyo Mwarabu watakutenga vivyo hivyo Wazungu.
Mfano inakuwaje Afrika Muhindi, Mzungu au hata Mwarabu...
Chifu mangungo hakuwa mjinga, watanzania tulipotoshwa, tunapaswa kuiomba familia yake msamaha
Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli?
Chifu mangungo ni nani...
Kuna kitu nimekitafakari sana, kwanini sisi Afrika hatuna maendeleo? Nikaja kutambua kuwa, viongozi wetu wengi wa Afrika hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu, ndiyo maana tupo nyuma kwa kila kitu.
Hivi fikiria ka inchi kama Qatar kanatuzidi uchumi sisi! Palipo na ukweli lazima pasemwe...
Marekani kashikwa pabaya.
Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea
Getty ImagesCopyright: Getty Images
Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa...
Wakuu nimetafakari kwa makini na kujiuliza maswali mengi sana ila binafsi nimeona ni hujuma tu hakuna sababu nyingine. Haiwezekani timu iliyokuwa na wakali wote waliokuwa wanavuma kwenye timu zao za Ulaya ishindwe kufanya la maana kwenye world cup au mashindano mengine makubwa.
Hii Ivory Coast...
Tukio lililotokezea hivi karibuni kwa Mmilikiwa Club ya Napoli nchini Italia kuzungumzia kuwa kwa sasa hatapendelea tena kusajili wachezaji kutoka Africa kwa sababu ya kuwa wamekua wakim cost sana inapokuja suala la wao kwenda kucheza AFCON kati kati ya msimu Limegeuzwa na kufanywa kuwa ni jambo...
Macron akosoa 'unafiki' wa viongozi wa Afrika kuhusu vita vya Ukraine
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekosoa vikali mwitikio wa viongozi wa Afrika kuhusu vita vya Ukraine wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Yaoundé.
Bw Macron aligonga msumari na kuita ni"unafiki, haswa katika...
Jose Mourinho wants FIFA to stop African players from representing other countries other than that of their origin. He believes once this is done, Africa countries would start winning the World Cup.
Chanzo: Africa Archives
Binafsi huwa ninawapenda Watu wenye Dharau, Nyodo na Jeuri Kiasili, ila...
Uchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege
Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata...
Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana.
Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
Ukikaa nao watakwambia Algebra mara hivi mara vile lakini waarabu hawana mchango mkubwa sana hapa duniani, na wenzao wahindi wamo humohumo, hamna kitu. Wamegundua vitu vichache sana hapa duniani kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema kwa hapa duniani mchango wao katika uvumbuzi ni negligible...
Wawekezaji wa kichina wamekuwa Wakiwatesa sana Wafanyakazi Wao wa kiafrika.
.
Kwenye hii video inaonesha mchina akimpiga mfanyakazi wake huku akisaidiwa na Mtu mweusi.
.
Inasemekana mchina na Huyo Msaidizi wake wamekula mvua na mahakama ya Rwanda.
.
Unyanyasaji Huu uko sehemu kubwa sana barani...
Wadau nawaza sana juu ya huu mfumko wa bei, hasa bei za Mafuta. Ukizingatia China na India wao wanapambana ili kupunguza gharama za wananchi wao kwa kukataa matakwa ya Nchi za Ulaya juu ya Urusi, je kwanini AU nao wasijipange vivyo hivyo? Wanunue ngano na mafuta kwa mrusi bila kufuata masharti...
Waafrika tuamke wenzetu asia amerika latino wanaelewa nini kinaendelea.
Ukiangalia vita vya ukraine ni kwamba hapo pamekua tu uwanja wa mapambano. Ni kati ya nchi za kibeberu za marekani na ulaya ya magharibi wakiongozwa na marekani wakipigania hati miliki kudhibiti uchumi wa dunia.
Utaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.