Waarabu wanaendelea na kampeni ya kuteketeza waafrika weusi huko Darfur

The Shah of Tanganyika

JF-Expert Member
Jul 2, 2023
602
1,571
Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao.

Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie wao na wale wenye asili yao (sitaki kuwataja). Kampeni kama hii inawezekana kufanywa na vikundi visivyo rasmi vitakavyokuwa vinaungwa mkono na serikali zitakazokuwa zinawekwa madarakani na waarabu kwa njia haramu na za kifisadi ikiwepo wizi wa kura.

Soma habari kamili hapa.

Chanzo CNN
Waafrika weusi waendelea kuangamizwa huko Darfur
 
Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie wao na wale wenye asili yao (sitaki kuwataja).

Soma habari kamili hapa.

Waafrika weusi waendelea kuangamizwa huko Darfur
Du africa kazi tunayo
 
Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao.

Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie wao na wale wenye asili yao (sitaki kuwataja). Kampeni kama hii inawezekana kufanywa na vikundi visivyo rasmi vitakavyokuwa vinaungwa mkono na serikali zitakazokuwa zinawekwa madarakani na waarabu kwa njia haramu na za kifisadi ikiwepo wizi wa kura.

Soma habari kamili hapa.

Chanzo CNN
Waafrika weusi waendelea kuangamizwa huko Darfur
Utasikia ni Amerika na Wamagharibi ndo wanawaua! This is Africa bwana
 
Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao.

Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie wao na wale wenye asili yao (sitaki kuwataja). Kampeni kama hii inawezekana kufanywa na vikundi visivyo rasmi vitakavyokuwa vinaungwa mkono na serikali zitakazokuwa zinawekwa madarakani na waarabu kwa njia haramu na za kifisadi ikiwepo wizi wa kura.

Soma habari kamili hapa.

Chanzo CNN
Waafrika weusi waendelea kuangamizwa huko Darfur

Ungewadangangnya wachache ila tatizo umeandika habari ndefu mpka uwongo ukazid kipimo.
Ndio maana mnakamatwa kwa kua mnaongea vitu bila kujua mazara ya misinformation
 
Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao.

Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie wao na wale wenye asili yao (sitaki kuwataja). Kampeni kama hii inawezekana kufanywa na vikundi visivyo rasmi vitakavyokuwa vinaungwa mkono na serikali zitakazokuwa zinawekwa madarakani na waarabu kwa njia haramu na za kifisadi ikiwepo wizi wa kura.

Soma habari kamili hapa.

Chanzo CNN
Waafrika weusi waendelea kuangamizwa huko Darfur
we kichwa chako kimejaa makamasi
 
Waarabu wanatupenda, hiyo ni dhana mfu ya kusema wanaua waafrika, nimeona wanakuja kuwekeza kwenye Banari, wananunua wachezaji, wanawekeza mbuga za wanyama etc.
 
Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao.

Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie wao na wale wenye asili yao (sitaki kuwataja). Kampeni kama hii inawezekana kufanywa na vikundi visivyo rasmi vitakavyokuwa vinaungwa mkono na serikali zitakazokuwa zinawekwa madarakani na waarabu kwa njia haramu na za kifisadi ikiwepo wizi wa kura.

Soma habari kamili hapa.

Chanzo CNN
Waafrika weusi waendelea kuangamizwa huko Darfur
😢😭🥹
 
Vitendo hivi vya mauaji ya waafrika weusi vimekuwa vikitekelezwa na hawa waarabu tangu jadi kule kwetu Sudani.
 
Back
Top Bottom