waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wapigania Uhuru waliwapotosha Waafrika

    Wapigania UHURU waliwadanganya waafrika wawasapoti kuwafurusha wakoloni baada ya wakoloni kuondoka watawala wakageuka kuwa madikteta wakawageukia waafrika wakaanza kuwatesa waafrika. Unapigania UHURU kuwaondoa Wazungu kisha unaunda makundi ya kigaidi, wasiojulikana na kihalifu (vikosi vya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukoloni unavyozidi kuwaangamiza Waafrika kwenye nchi zao

    Kwanza Namshukuru' mwenyezi Mungu mwingi Rekhma kunifikisha siku ya Leo, pia nawaombea wote wanaochukia uzembe, wizi, ubabaishaji na unyumbu. Moja ya maswali ninayojiuliza kila siku ni kwamba kama miaka ya 1500 wazungu waliizunguka dunia kutafuta fursa, sisi ngozi nyeusi hasa watanzania...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwandishi mwenye asili ya Tanzania atajwa kati ya Waafrika 100 Wanaoheshimika zaidi 2023

    Mwandishi ambaye ana asili ya Visiwani Zanzibar, Abdulrazak Gurnah ametajwa na Taasisi ya Reputation Poll International, katika orodha ya mwaka 2023 ya Waafrika 100 wanaoheshimika zaidi. Orodha hiyo ina watu binafsi kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utawala, haki za Binadamu, Elimu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania na waafrika kwa ujumla tuna wajibu wa kimaadili kupeleka ustaarabu ulaya na Marekani!

    Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote atakachokipenda chifu anaamua kukichukua hata kama ni shamba lako, mke wako, ng,ombe wako nk. Chifu...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Wamorocco, leo tunamtumia Kylian Mbappe

    Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli, kwa sababu ya urafiki wao tumejengewa msikiti wa Kinondoni na tumeahidiwa kujengewa uwanja wa mpira jijini Dodoma. Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika nusu finali ya Kombe la...
  6. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

    Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia. Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache unafiki kuhusu suala la Morocco

    Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu? Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao...
  8. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Je, sisi Waafrika hatuna akili?

    Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote. Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii. Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo kichwa cha mada kiulizavyo. Je, waafrika hatuna akili ?kweli au sikweli jibu langu kama mleta mada ni...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo upuuzi pekee ambao Waafrika tunauweza na kujivunia nao

    Vincent Aboubakar ndiye mwamba aliyewezesha rekodi ya timu ya kwanza kutoka Afrika kuifunga Brazil tangu kuumbwa kwa uso wa dunia. Licha ya ushindi huo, Cameroon haijafanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora, lakini mchango wa mwamba huyo hautosahaulika ndani ya kikosi hicho. Chanzo: tbc_online...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Siku Maalum ya Waafrika wote 'Kujiombea' kwa Mwenyezi Mungu Ili tuwe na Akili

    1. Mfano kuna Taifa Moja (siyo Rwanda) Wananchi wake kwa sasa wameanza Kuchagua Timu za Kushangilia katika Kombe la Dunia lijalo wakati Wao hata Kufuzu tu AFCON ni shida na hapo hapo tena kuna Timu imefuzu Kombe la 'Luzaz' lakini Wanashangilia utadhani Wametinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Guardiola kwa aibu achezesha Waafrika Mancity lakini bado hatujaridhika

    Mzuka Wanajamvi! Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel Akanji. Wachezaji hao wanacheza katika safu ya ulinzi na wameweza kumudu vyema. Kwa hilo...
  12. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

    Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now. nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya. kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

    Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia Hii nchi kwanini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

    Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k Takriban watumwa milioni 6...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ajali zinaondoshwa kwa kusali kwa kukaa barabarani? Waafrika bhana!

    Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa. ITV === Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Kiumakini sana Malema juu ya Kifo cha Her Majesty Queen Elizabeth na kugundua huenda akawa na Akili Kubwa kuliko 98% ya Waafrika

    Tena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika. Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Waarabu, Wazungu na Waafrika utaiona hapa

    Wazungu wanafanya ushoga na usagaji. Ni dhambi mbaya. Lakini wanafanya na wanaweka wazi tu kuwa wanafanya. Hili jambo halihalalishi ila wanaonesha kuwa responsible. Uwazi Ni utamaduni wa wazungu kwa asilimia kubwa. Hata suala la mahusiano ya kimapenzi. Wazungu wapo wazi sana. Mtoto akifika miaka...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
  19. Kijakazi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waafrika siyo wabaguzi?

    Dunia nzima na culture zote watu wanaofanana muenekano hupendeleana na kumtenga yule anayeonekana tofauti, siyo sawa lkn ni kawaida, ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa siyo Mwarabu watakutenga vivyo hivyo Wazungu. Mfano inakuwaje Afrika Muhindi, Mzungu au hata Mwarabu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tulipotoshwa kuhusu Chifu Mangungo wa Msovero sio mjinga, Watanzania tuiombe familia yake msamaha na tumuenzi kama shujaa wa uwekezaji

    Chifu mangungo hakuwa mjinga, watanzania tulipotoshwa, tunapaswa kuiomba familia yake msamaha Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli? Chifu mangungo ni nani...
Back
Top Bottom