CGTN documentary ni channel bora kabisa kwa nchi za kiafrika na kwa waafrika

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,351
Tukitaka kuzungumzia channel bora yenye vipindi bora kwangu mimi nitaiitaja hii channel ya CGTN DOCUMENTARY.

Hii channel ya wachina waliupiga mwingi sana, ni channel bora kwa vipindi vya kufundisha na kuelimisha.

Hii ni channel inayopaswa kupigiwa macho sana na waafrika wengi kadiri tuwezavyo.

Kama ni kuelezea hapa panaweza pasitoshe ila all in all hari tuliyo nayo Afrika tukitaka programme nyingi za kujifunza basi tuhakikishe tunatupia jicho hii channel kadiri tuwezavyo.
 
Back
Top Bottom