Waafrika tujitafute, Ukristo na Uislamu si kwa ajili ya mtu mweusi

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
2,791
8,005
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.

Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi.

Mtu mweusi ndio mwanadamu pekee aliyeumbwa na Mungu.

Dini ya Wazungu ni Ukristo
Dini ya Waarabu ni Uislam
Dini ya Wahindi ni Hinduism

Waafrika tujitafute, kamwe hatutaheshika kwa kudharau tamaduni zetu na kuheshimu tamaduni za wageni.
 
Kumbe hujui? Mwafrika baada ya kuoshwa akili na hao majahili hakuacha dini yake, ni double standard. Unamkuta ni mkristo au muislam lakini bado anaamini miungu yake.

Wakatoliki wana utamadunisho, hiyo iko rasmi na hata kiongozi wao mkuu huko vatican anajua hilo. Kwa waislam waswahili wenyewe wameuchanganya uislam na tamaduni zao, angalia makabila ya mikoa ya mwambao wa pwani ya bahari ya hindi huwabandui kwenye uislam wameufanya ni mila na desturi zao.
 
Mkuu! Ulishawahi kuchimba hicho kitu kinachoitwa mila na desturi za waafrica? Hebu Ingia kwa undani uone! Kulikuwa na tabaka mbili za watawala na watawaliwa! Watawala walikuwa wanamiliki kila kitu!

Mtawala akitaka kucheka anatwaliwa mtawaliwa anaondolewa/anakatwa nyama za mdomo zinazofunika meno, alafu meno yanaoneka wazi kana kwamba anacheka huku akivuja damu ndo mtawala anacheka na kuburudika! Ukiwa na ardhi nzuri, mke mzuri, watoto wenye afya na nguvu, mifugo mizuri, n.k.

Unanyanganywa! Kwa ufupi na ujasiri mkubwa kama utapata fursa ya kuchimba hizo tabaka mbili zilivyokuwa zinaishi kabla ya ukristo utakiri bora ni kipi!
 
Kwa ukristo hapo umechemka na wengi wameingizwa chaka bila kujua. Wazungu mungu wao ni jua kwahiyo kwenye ukristo walijiingiza lakini siyo.

Asili ya ukristo ni watu weusi ni kwamba Waisraiel walikuwa weusi, ndiyo maana wazungu wametumia garama kubwa kuangamiza Wamisri wakale na kuwaweka waarabu na Pale kwenye ile nchi leo inatambulika kama Israel wakazi wake wa kale wote waliuawa na wengine kukimbia baada ya majeshi ya Kiroma kuvamia Jerusalem mwaka 70ad yakiongozwa na Titus.

Kwahiyo mji uliharibiwa na walio weza kukimbia walikimbia na wengine kupelekwa utumwani. Mwaka 1948 likatengenezwa taifa lingine na kuitwa Waisrael na kurudishwa kwenye hiyo nchi. Ukisoma Biblia kitabu cha Matendo ya Mitume Utaona kunasehemu Mkushi alikuwa akitoka nchi mwake Ethiopia na kwenda kuhiji Jerusalem.
 
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.

Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweus...
Historically Empire zote kubwa Africa ambazo zimetingisha Dunia zilikua na Dini, Kuanzia Egpty ya kale, Ethiopia (Aksum), Mansa Mussa na Mali Empire yake etc.

Mataifa ya sasa ya Ki Africa yanayoiga mifumo ya kizungu kama Kijamaa na Ubepari ndio yamekaa kunyonywa nyonywa tu. Ambayo yanajielewa yenye identity kila siku yanazidi kuendelea
 
Mtu wa kwanza kuwa mkristo ni yule jamaa muethiopia aliyekutwa anasoma gombo la Isaya. Akabatizwa na shemasi Filipo. Hapo siku nyingi sana kabla paulo hajawa mkristo. Wala hajaenda ulaya kusambaza ukristo.
Kwa hiyo Simioni Mkerene aliye msaidia Yesu kubeba msalaba yeye akaendelea kuwa mpagani licha ya kumtendea wema mkuu masihi wetu?
 
Historically Empire zote kubwa Africa ambazo zimetingisha Dunia zilikua na Dini, Kuanzia Egpty ya kale, Ethiopia (Aksum), Mansa Mussa na Mali Empire yake etc.

Mataifa ya sasa ya Ki Africa yanayoiga mifumo ya kizungu kama Kijamaa na Ubepari ndio yamekaa kunyonywa nyonywa tu. Ambayo yanajielewa yenye identity kila siku yanazidi kuendelea
Ie Ethiopia is expanding its strength 💪 each and everyday
 
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.

Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi...
Nakubaliana nawe mwanangu. Hizi dini koloni na nyemelezi hazitufai hata kidogo. Ni ubaguzi na unyonyaji mtupu na utumwa wa kujitakia
 
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.

Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweus...
Tanzania ni nchi ya kidemokrasia,

As long as hamna mtu aliyeshikiwa bunduki ili awe dini fulani, basi acha shobo shobo kuwapangia watu Cha kuamini.

Jitafute mwenyewe ujipate
 
Kwa ukristo hapo umechemka na wengi wameingizwa chaka bila kujua. Wazungu mungu wao ni jua kwahiyo kwenye ukristo walijiingiza lakini siyo.

Asili ya ukristo ni watu weusi ni kwamba Waisraiel walikuwa weusi, ndiyo maana wazungu wametumia garama kubwa kuangamiza Wamisri wakale na kuwaweka waarabu na Pale kwenye ile nchi leo inatambulika kama Israel wakazi wake wa kale wote waliuawa na wengine kukimbia baada ya majeshi ya Kiroma kuvamia Jerusalem mwaka 70ad yakiongozwa na Titus.

Kwahiyo mji uliharibiwa na walio weza kukimbia walikimbia na wengine kupelekuwa utumwani. Mwaka 1948 likatengenezwa taifa lingine na kuitwa Waisrael na kurudishwa kwenye hiyo nchi. Ukisoma Biblia kitabu cha Matendo ya Mitume Utaona kunasehemu Mkushi alikuwa akitoka nchi mwake Ethiopia na kwenda kuhiji Jerusalem.
Hayo uyasemayo umeyatoa kwenye source ipi nasi tukapate maarifa huko hasa hilo la watu weusi kuwa wazawa halisi wa mashariki ya kati
 
Ujinga umetujaaa vichwani wengi watakubishia !!; Ila mm naungana na wewe 100 percent!!
Tunajifanya waarabu au wazungu kumbe puuuuuuu!!! Hakuna uhusiani wowote!!
Unakuta eti muafrika mweusiiii kama mm namuua mwafrika mwezie mweusi kisa sio dini yake!? Yan wao waarabu na wazungu hutushangaa sana
 
Back
Top Bottom