Wanabodi,
Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya.
Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana.
Tafadhali kama...
Nimeona katika mijadala yetu kuhusiana na kupanda kwa bei ya vyakula kumezaa tabaka la wakulima (ambalo halitajwi wala kuonewa huruma) na la wananchi (ambalo linatajwa na kuonewa huruma).
Ningependa kuchangia kwa kusema na kumbusha kuwa, hakuna namna yoyote ya kupata chakula bila kulima kwa...
Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?
====
Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu...
Fahamu vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati
Kwa karne nyingi, hali ya lishe isiyofaa imedhoofisha afya za watu wengi na kuwasababishia magonjwa.
Awali kulikuwa na tatizo la utapiamlo na sasa nikinyume chake na watu kunenepa kupita kiasi.
Ingawa hakuna vyakula vya...
Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.
Kusema kweli hii ni "logical fallacy".
Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na...
kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho...
kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho...
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu.
Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja.
Mtakwimu...
Wakuu kwema!
Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4. Nk...
Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4.Nk...
Heshima sana,
Jana nilikuwa natokea Dar kwenda Arusha.Muda wa saa 2 asubuhi tukapitia hotel ya Kilimanjaro Bus pale Korogwe.
Nikaagiza mtori na sambusa tatu na mwenzangu naye akaagiza kama mimi.Baada ya kumaliza tukaletewa bill kibakuli cha Mtori tsh 5,000 sambusa moja 2,000.
Nikawauliza huu...
Serikali imekiri kuwepo kwa ongezeko la bei za vyakula nchini, kutokana na upungufu wa mvua na mahitaji makubwa ya chakula ndani na nje ya nchi.
Kauli hiyo ya Serikali imekuja wakati kukiwa na taarifa za ongezeko la vyakula kutoka kwa wafanyabiashara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
Na Gianna Amani
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakwenda kasi, kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo duniani, binadamu wameendelea kukuna vichwa na kutafutia ufumbuzi ambao umeleta tija katika maeneo mengi sasa. Teknolojia imechangia katika kurahisisha shughuli za binadamu, lakini...
Habari zenu nyote,
Natafuta Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili London au mtu anayepika nyumbani na kuuza chakula kwa mtu mmoja mmoja.
Napika lakini siyo siku zote kutokana na majukumu ya kazi.
Waswahili wa London tafadhali nijuzeni, ahsanteni sana.
Jinsi ya kuingiza bidhaa za viwandani za vyakula. Kama mafuta ya kula na vinavyofanana na hivyo kutoka kenya.
Ni nini unapaswa kufanya kabla hujaenda kuchukua na baada ya kununua unapita vipi mipakani.
Kwa jumla anaejua process zote za swala hili
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya...
Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi.
Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi. Niko kijiji fulani sitataja mkoa. Niko na wenyeji wangu.
Asubuhi uji hauna sukari, mchana tumekula michembe. Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.
Maisha haya magumu sana kijijini. Tuwaombee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.