vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Mnaobeza na kukosoa milo yetu, basi tuambieni tule vyakula gani?

    Muungano OYEEE!! Wakuu! Kumekuwa na wimbi la wanaoitwa wataalamu wa afya na lishe kukosoa karibia kila aina za vyakula tunavyotumia kila siku. Utasikia ugali ni chakula hatari sana kwa afya zetu. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema ugali ni chakula cha mifugo! Profesa Janabi naye hayupo...
  2. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Vyakula/matunda na tiba zake special thread

    Habari zenu wakuu?? Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame potea au wengi hatuya jui kuto kana na technologies development/mazingira tuliyo kulia Kiukweli ni...
  3. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Vyakula vipi umekula pindi umepigika vilivyo?

    Katika mida ile ya kutafuta, inafikia hatua unakula ili uishi yaani unakula chochote. Mimi nishakula ugali na chumvi mixer maji ya kunywa. Wewe je ?
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na njaa kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

    2022 tulipata kazi fulani nanyumbu Ilikuwa tunaifanya katika kambi za Jeshi ni special task kuwafanyia geo survey so tulipomaliza tu wenzangu wakarudi home mimi nikawa interest na stori za Msumbiji nikatamani kwenda. Kweli nikapata rafiki fulani anaitwa Kwimba ni mtu mzima kidogo ila chapombe...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4

    Anachofanya Waziri Mchengerwa kwa wananchi wa Jimbo lake la Rufiji walioathirika na mafuriko ni nadra sana kukiona kikifanyika kwa kiongozi wa ngazi ya juu ya Uwaziri. Waziri Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge wa Rufiji ameongoza wadau mbalimbali kutoa misaada ya chakula na malazi kwa wananchi wake...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mihayo Akabidhi Sadaka ya Vyakula kwa Wananchi Zaidi ya 300 Jimboni Mwera

    MBUNGE MIHAYO AKABIDHI SADAKA YA VYAKULA KWA WANANCHI ZAIDI YA 300 JIMBONI MWERA Mwakilishi Jimbo la Mwera Mheshimiwa Mihayo Juma N’Hunga amekabidhi bidhaa za vyakula na fedha taslim kwa familia Mia tatu katika Jimbo hilo ili kujiandaa na Sikukuu ya Eid Al Fitri Mheshimiwa Nhunga amesea utoaji...
  8. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa wastani 3. Punguza wanga 4. Epuka vitu vyenye sukari 5. Epuka sigara, pombe 7. Pata muda kidogo wa...
  9. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

    Huyu jamaa anaunguza karanga kwa kutumia kemikali ya "sulphuric acid" na kutembeza mtaani! Karanga! Karanga! Waswahili hatutaki shida ya mambo ya kuthibitishwa ubora tunaona tunanyanyasika!
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

    Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo. Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza...
  11. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na vyakula nya njiani wakati wa safari

    Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi Alipofika Kateshi akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Akaomba na...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanafeli sana, hawala anakula vyakula vya nyota 5 nyumbani wanaishia kuviangalia kwenye TV

    Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida: Ugali dagaa tembelee, Chai na vitumbua vya mama salma mtaani, Wali...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa HAMAS aliyekuwa anaratibu wizi wa vyakula vya misaada auawa

    Poleni kwa msiba... An IDF aircraft strike, in collaboration with the Shin Bet intelligence, killed Muhammad Abu Hasna, a commander in Hamas’ Operations Unit in Rafah on Wednesday. Hasna was an operative in Al-Qassam Brigades, Hamas’ military wing, and was involved in stealing humanitarian aid...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kipindi cha Mfungo wa Ramadhani bei ya vyakula hupanda?

    Nilitegemea kipindi cha mfungo wa Ramadhani kwasababu watu hufunga kula, basi bei za vyakula zingeshuka sana na hata wafanyabiashara kukosa biashara kabisa, lakini ndio kwanza vyakula havishikiki na bei zipo juu hata zaidi ya wakati wa kawaida. Ndio kumaanisha wakati wa mfungo watu hula zaidi...
  15. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kwenye Vyakula na Mapishi bora 50, Tanzania hatumo

    Kwangu mambo yote ni shega tu! Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!. Yawezekana tumefanyiwa tu fitina. Ina maana hawa waliotoa haka ka listi walijui Zege? (CHIPS MAYAI) au (WALI MAHARAGE)?
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

    Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida. Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele wakiilaani Urusi kutumia chakula kama silaha ya vita.Urusi ikasikia na wakaachia meli ziondoke na nafaka...
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano. So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
  18. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua?

    Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua ili kuweza kurejesha hali yake kuwa sawa na pia aweze kuwa na maziwa mengi kwaajili ya kumnyonyesha mtoto?
  19. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka ya udhibiti wa ubora wa vyakula inatumia utaratibu upi? Kuna bidhaa nyingi zilizopita muda madukani

    Wakuu heshima mbele, niende moja kwa moja kwenye mada. Pengine inaweza kuonekana kama jambo la ajabu kwangu mimi naweza kuchukua hatua je wangapi wasiojua hili? Ipo hivi majuzi nilitinga katika supermarket moja hivi , nina utamaduni wa kila bidhaa nitakayonunua lazima nitizame expiry date...
Back
Top Bottom