Ebu tuelimishane,
Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei?
Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo?
Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu maana si watu hawali chakula. Na kwa biashara za bar na kitimoto ziendelee kama kawaida maana waliofunga hawatumii hizo ni haramu kwao.