vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

    Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji. Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo. Chelsea...
  2. JamiiForums Tanzania Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

    VITA ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God - Mlima wa Moto, Marehemu Mchungaji Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi huku ikizidi kuwagawa watoto wake. Taarifa za kuwepo kwa vita hii zimekuja ikiwa ni miezi kadhaa baada ya mtoto mkubwa wa kiume wa Marehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Waafrika yatupasa kuiangalia vita ya Ethiopia kuliko vita ya Ukraine

    Leo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar. Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama mwafrika alipaswa kuaminika kupewa mamlaka ya kujiongoza mwenyewe. Ajabu zaidi ni kuwa sisi waafrika...
  4. JamiiForums Tanzania Gazeti la The Citizen laomba radhi kwa habari ya 'kushadadia' vita ya Urusi Vs Ukaine

    Gazeti la The Citizen la Jumatano Machi 9, 2022 limeomba radhi kwa kile kilichoandikwa katika habari yao kubwa gazetini hapo ambayo ilitoka Jumatatu Machi 7, 2022. Katika The Citizen la Machi 7, ilitoa habari kubwa ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho: “UKRAINE CONFLICT NOT ALL BAD...
  5. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine; Wasichotuambia wazi

    waUkraine na waRus wameishi pamoja kwa amani hadi mshinikizo wa mmarekani na wenzake wa ulaya magharibi - wakaanza kubeza na kuwaonea waRus tokea 2014 kiukatili sana... waUkraine (viongozi) na washinikizaji hadi wakaruhusu kundi la NATIONALIST (wabaguzi wenye itikadi za hitler) kuchochea...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

    Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine. “Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo yamesababishwa na vita ya Ukraine na Urusi, yanapanda bei mno. Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi yatoa masharti ya kusitisha vita Ukraine

    Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni "wakati wowote" ikiwa Ukraine itatimiza masharti ya Urusi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema Ukraine lazima itambue Crimea kama Urusi, na Donetsk na Luhansk kama mataifa huru. Mbali na hayo, Peskov anasema Ukraine lazima irekebishe katiba...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

    Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada. Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri...
  9. JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Akili na malengo ya Putin nchini Ukraine

    Na Jumaa Kilumbi, Katika andiko hili fupi ningependa kutahadharisha kuwa hatutazungumza kiitikadi, kinafki wala kihisia, hatutazungumza mambo yanavyopaswa kuwa tutazungumza mambo yalivyo, tutazungumza kwa kuangalia ‘practical result’ na uhalisia tunaamini na tunafahamu dunia haiendeshwi kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na Urusi

    Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na URUSI. Mabeberu walimvimbisha kichwa, hata hakuweza kabisa kuheshimu makucha marefu ya URUSI. Malengo ya MAREKANI na NATO kwa ujumla ilikuwa ni kuitumia UKRAINE katika kujaribu kuidhoofisha URUSI. Ili kufanikisha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

    Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili. Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia...
  12. JamiiForums Tanzania Waafrika Weusi tunachukiwa na kubaguliwa Ukraine na Urusi lakini ajabu ni kwamba tunajikomba kwenye hii vita yao

    Inasikitisha sana na inaumiza. Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo, nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi hakuna mfano. Huwa nashangaa sana kwa sasa mtu yupo kushabikia Ukraine au Urusi maana sisi...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zagawanyika katika upigaji kura kuhusiana na Vita vya Russia na Ukraine, Tanzania yachagua kutofungamana na upande wowote

  14. Z

    JamiiForums Tanzania Vita ya Libya Afrika naTanzania yetu tulikuwa mabwege, sasa tunajidai kulaani vita ya Ukraine

    Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanachama UN wapiga kura mzozo wa Urusi - Ukraine

    Kumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine. Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea. Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha: Source: NPR Cookie Consent and Choices === Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa...
  16. JamiiForums Tanzania Albert Einstein: Sijui silaha gani zitatumika kupigana WWIII, lakini lakina zana za mawe na miti zitatumiwa kupigana WWIV

    Dunia inaenda kasi sana, hivyo hivyo technolojia na ugunduzi wa mashine na vifaa mbalimbali. Kasi ya ukuaji wa science na silaha za maangamizi kama atomic bomb wakati uhai wake ulimfanya Albert Einstein kushindwa kujua vita vya 3 vya dunia zitakuwepo silaha gani za kivita. Leo hii AI, defensive...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

    Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa. Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia. Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara? Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Makelele ya Vita ya Russia Vs. Ukraine

    Kila mtu anajua kinachoendelea pale Ukraine hakuna media duniani isiyo ongelea hii vita Lakini ukweli ni kwamba Hii vita imejaa propaganda na kwenye Hili Nchi za magharibi zimefanikiwa sana. Ukiangalia Wastani Nchi nyingi duniani wameeegemea upande wa Ukraine na kumuacha Rusia Mpweke na...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania kushangilia vita ya Ukraine na Russia kama mpira wa miguu ni mapungufu ya akili?

    Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian. Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji? Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…