vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Afrika ndio atakayepata hasara katika vita kati ya Ukraine na Urusi

    Kinachoendela hivi sasa kati ya urusi na Ukraine katika ile miji ya donbas ni hatari kwa africa. Urusi imeitambua miji ya Donetsk na Luhansk kama nchi huru zinazojitegemea, haya maeneo kijiografia yamepakana na urusi lkn kwa makubaliano ya umoja wa mataifa baada vita ya pili ya dunia ni sehem...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

    Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani. Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi. Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

    Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine. Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuamini haya yanatokea, why kill innocent people? Mungu awe pamoja na wote wanaoadhirika na vita hii

    Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona. Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii. Vyombo vinavyosukia pia...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho. Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine...
  6. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Watu wanahalalisha matumizi ya mafuta badala ya kinga (Kondom), usalama wake upoje?

    Umofia kwenu wanajukwaa Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa. Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu hawaogopi wamebuni njia ya kutumia mafuta ya nazi ambapo jinsia ke humiminiwa mafuta hayo insido (ukeni) na...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Putin: Hatutaki vita Ulaya, tuko tayari kwa mazungumzo

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz kuwa nchi yake haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi karibuni za kuepusha vita. Putin ameelezea utayari wa Moscow wa kufanya mazungumzo na Marekani pamoja na...
  8. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, tuweke vita kando kidogo tusherehekee habari njema kwamba Biashara kati ya Kenya na Tanzania inakaribia kufika 1 billion dollars

    Wadau huwa tunapigana vita sana huku lakini ukweli usemwe kwamba nchi hizi mbili zikiweka vita kando tunaweza kufanya biashara nzuri sana. Baada ya miezi 11, biashara kati ya Kenya na Tanzania imefikia 905 million dollars na hapo ikumbukwe kuna mwezi moja bado haujahesabiwa. Rais wenu yule...
  9. Labani og

    JamiiForums Tanzania Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

    Rais wa Marekani Joe Biden ametoa wito kwa raia wote wa Marekani waliosalia nchini Ukraine kuondoka nchini humo mara moja kutokana na kuongezeka kwa vitisho vya kuchukuliwa hatua za kijeshi za Urusi. Bw Biden alisema hatatuma wanajeshi kuwaokoa Wamarekani ikiwa Moscow itavamia Ukraine. Alionya...
  10. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Utoto wa vita kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Anaandika Dk Yahya Msangi (Phd) West Afrika Kwa kweli Tanzania hakuna vyama vya kuweza kuitoa CCM! Hebu fikiria: Sasa hivi kuanzia BBC, DW, SPACE mjadala ni nani yuko sahihi kuhusu kuachiliwa Mbowe (mtuhumiwa wa ugaidi). Mosi: katika utawala wa sheria na wa kidemokrasia ni mahakama pekee...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Siro ile Vita yako na Ma-RPC waliokuwa wanataka U-IGP iliisha au inaendelea? Nadhani toka adharani uwakemee Tena wajue unawajua

    Mzee Siro ni Moja ya IGP aliyewahi kuongoza jeshi kipindi Kuna mauaji mengi Sana akifutiwa Kwa karibu na Mzee Mahita. Siro amepokea jeshi kipindi Cha saga la Kibiti na Toka hapo mauaji yaliendelea Hadi Sasa. Nakumbuka Kuna kipindi mauaji yalizidi na uhalifu kuongezeka enzi ya Magu akawaita ma...
  12. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

    Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

    Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini. Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Blockchain; Mfumo uliokuja kuvuruga mifumo ya kibenki na ndio kisa hupigwa vita (decentalized system)

    HELLO GUYS! Baada ya kusubiri muda mrefu kidogo tukisubiri tuweze kuongezeka napenda kuwakumbusha kuwa hapa ni sehemu salama zaidi na mafunzo yote yatatolewa bure bila malipo yoyote na tutajitahidi kila siku kuleta angalau somo moja ili kufikia malengo ya kila mmoja kuweza kuelewa nini maana ya...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vita havijaribiwi, Ila silaha zinajaribiwa

    VITA HAVIJARIBIWI, SILAHA NDIZO ZINAJARIBIWA. Anaandika, Robert Heriel. Vita ni sumu. Sumu haionjwi. Vita ni mkondo wa MTO wenye maji, kamwe usitie miguu kupima kina cha maji. Vita havijaribiwi, ukivi-beep vinakupigia pasipo tafadhali. Maisha ni vita, maisha hatajaribiwi, maisha hayachezewi...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Madawa ya kulevya hayana shida kihivyo, kilichopo ni vita tu ya kiuchumi

    Miaka ya 1800 kulitokea kitu kinaitwa opium war. Hii ilikuwa ni vita kati ya Waingereza na Wachina. Ni kwamba waingereza walikuwa wanauza sana hii opium kwa wachina na kuingiza pesa nyingi sana. Sasa Wachina wakaona watu wao wanakuwa mateja, wakapiga marufuku matumizi ya Opium. Waingereza...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu inatishia usalama na uhai wa Rais aliyepo madarakani, tuiangalie kwa jicho la Vita ya madaraka

    Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais. Mimi naona haya kama mapungufu makubwa ya katiba hii hasa ikizingatiwa miyoyo ya binadamu Ina Siri kubwa. Mtu mwenye...
  20. mgt software

    JamiiForums Tanzania Vita ya CCM chotara na CCM walowezi: Nani alirudisha Chama kwa wananchi?

    Wana JF Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha...
Back
Top Bottom