Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

El ohinu

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
242
Reaction score
412
Wakuu hiki ninachokiona YouTube na nyie mmeshakiona?

Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine ambalo ni eneo la ukraine yan lipo ndani ya ukraine.

Wakati huohuo turkey karuhusu marekani kuptisha jeshi lake hapo kuelekea ukraine huku nato nao wakijiandaa kupeleka majeshi ukraine.

Wakati huohuo huko black sea kumechafuka marekani kapeleka meli 2 za kivita urusi nae kapeleka.

Wakati huohuo nato wamesema wanamsubiri urusi ajaribu kuingia ukraine putin nae kawaonya waache kui support ukraine.

Wakati huohuo turkey naye amesema yuko tyr kui support ukraine vitani.

Je, nani mwngne ameona knachoendelea huko nae aseme?
 
Wakuu hiki ninachokiona youtube na nyie mmeshakiona?

Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine ambalo ni eneo la ukraine yan lipo ndani ya ukraine...
Vita kati ya urusi na Ukraine ni sawa tu na Vita kati ya Dubu na sungura
 
Wakuu hiki ninachokiona youtube na nyie mmeshakiona?

Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine ambalo ni eneo la ukraine yan lipo ndani ya ukraine.

Wakati huohuo turkey karuhusu marekani kuptisha jeshi lake hapo kuelekea ukraine huku nato nao wakijiandaa kupeleka majeshi ukraine.

Wakati huohuo huko black sea kumechafuka marekani kapeleka meli 2 za kivita urusi nae kapeleka.

Wakati huohuo nato wamesema wanamsubiri urusi ajaribu kuingia ukraine putin nae kawaonya waache kui support ukraine.

Wakati huohuo turkey naye amesema yuko tyr kui support ukraine vitani.

Je, nani mwngne ameona knachoendelea huko nae aseme.?
Urusi ni Taifa imara anaweza kupambana na Marekani pamoja na washirika wake bila tabu yeyote
 
mkuu vita ni uchumi na technology acha utan kbs hata knachomfanya myahud awe na kiburi pale mashariki ya kati ni tech na uchumi.

Urusi ni ngumu sn kushnda vita ikiwa nato na marekan kwel wameamua kupgana vita kamili acha utani kbs
 
Screenshot_20210412-161322.png

Urusi hatanii Asee! Anataka kuibeba Ukraine nzimanzima kama alivyobeba rasi ya Crimea..

Kwa sasa NATO wanapiga kelele na kujifanya wataisaidia Ukraine ila vita ikianza utawaona kwenye TV wakiongelea vikwazo uchwara
 
mkuu vita ni uchumi na technology acha utan kbs hata knachomfanya myahud awe na kiburi pale mashariki ya kati ni tech na uchumi.

Urusi ni ngumu sn kushnda vita ikiwa nato na marekan kwel wameamua kupgana vita kamili acha utani kbs
Wathubutu waone mkuu, Urusi alishajiandaa mda mrefu kupambana na hawa watu
 
Back
Top Bottom