Wiki hizi mbili nimekua nkikutana na vijana wenzangu katika shuhuli mbalimbali za kijamii.
Wengi wao ni hawa wahitimu wa Vyuo Vikuu wa mwaka huu, wanalalamika sana, mara maisha magumu, mara kazi hakuna, tumechoka kukaa home etc. Nkawauliza mmemaliza chuo juzi hata matokeo tu hayajatoka...