Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika.
Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%.
Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
Ndugu zangu wa Tanzania, kama kuna muda ambao nafasi za siasa zimekuwa za haki na available kwa kila raia wa Tanzania ni sasa. Nawaombeni sana sana kama wewe ni mzalendo, unania njema na nchi hii, una uwezo wa kuinua taifa letu katika kuongeza social welfare, unauchukia fisadi kwa moyo wa dhati...
Sio maneno yangu ni maneno ya huyu Kaka anaeongea Sana 🙆🙆
Anasema Eti vijana Mapenzi jifunzeni Kwa wakubwa waliowatangulia Umri, sio mnaenda Google au Porn Hub
Ila huyu Kaka anaongea balaa, kiru 🏃🏃🏃
Hivi wanawake mnadhani kunyonya uume wa mwanaume ndio kumridhisha kimapenzi Au kigezo cha kupendwa? wengine mnaenda mbali zaidi yaani mechi inapigwa ikiwa imekolea mkuyenge unachomolewa mdada anaweka mdomoni:cool::cool: na ile miutelezi sasa:(, wengine mpaka wanakojolewa humo mdomoni na asilimia...
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa DSM vijana hawakujitokeza kumtetea. Gambo amesema vijana wanafiki...
Kwanza kabisa naendelea kumpa pole sana Mzee Freeman Alkael Mbowe mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama Cha Chadema
Niende kwenye maada moja kwa moja hoja yangu itajikita kisayansi
Nilipokuwa nafuatilia tukio la Mbowe cha kwanza ilibidi nijikite kwenye uchunguzi wa vitu vifuatavyo
a/ Mguu...
Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu.
Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana.
Tukio hilo lilitokea...
Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu.
Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa...
Binafsi naelewa hakuna Serikali yoyote duniani ambayo haitaki kuajiri vijana wake Kama fursa zipo. Kwa Tanzania ya Sasa budget zake toka 2016 asilimia nyingi ya fedha zinapelekwa kwenye miradi ya Maendeleo. Ndio maana tunaona miradi mingi mikubwa ikitelelezeka nchini. Tunachopaswa kukifanya Sasa...
Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wetu wa leo wenye elimu na umri huo utaona km vile tunarudi nyuma badala kwenda mbele.
Na ukiambiwa miaka ya 70 hadi 90 nchi yetu ilikuwa na vyama vya ushirika kila mko vyenye nguvu...
Wakuu.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu napenda kuwakumbusha vijana wa nchi hii, hasa wale wanaotoka familia masikini mijini na vijijini kuwa imewapasa kuelewa kuwa nchi hii inapelekeshwa na hawa wakoloni weusi wa CCM kwa sababu wao wana advantage moja ya kuwa na urahisi wa kuitafuna keki ya...
RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.
RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike...
Huu uzi ni maalumu kwa watu wanao laumu viongozi ili hali na wao pia ni wa binafsi.
Watu wengi walijitokeza facebook, Instagram na watsap kuwakebehi na kuwaponda vijana wa watu na hata wazazi wa vijana hao. Yalitolewa maneno ya dhihaka. Lakini pia hata msaada wowote haukutolewa.
Na wengi...
KATIKA miaka ya 1960 na 1970 mpaka 1980, karibu kila eneo la jiji la Dar es Salaam kulikuwa na makundi ya muziki. Wakati huo muziki ulifanywa kwa vikundi tofauti na sasa ambapo msanii anaweza kuwa peke yake katika kutunga, kurekodi na hata kufanya kazi yake jukwaani. Muziki wa dansi uligawanyika...
Kisaikolojia tunasema kila kitu kinategemeana na hali ya ufikiri, kusex na mtu ni matokeo ya hali ya ufikiri baina ya wagonganji na wagongwaji, kila kitu ni state of mind;
Nayasema haya kwa sababu mtu kumsaliti mpenzi wake ni matokeo ya kubadilishwa fikra, na jamii ambayo ni nyepesi zaidi ktk...
VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA
Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
Lijuakali kaonyesha udhaifu mkubwa sana katika hotuba yake bungeni na katika andiko lake juu ya kupatikana kwa ubunge Wake Kilombero 2015 humu JF.
Nikianza na mchango Wake bungeni: Katika mchango Wake kaonyesha hana ujasiri wa kukabiliana na mitikisiko ambayo kwenye siasa ni vitu vya kawaida...
Katika kundi ambalo kwa kawaida na ni nature yake kutaka mabadiliko ni kundi la vijana, vijana wengi kokote wamekuwa chachu ya kuhimiza mabadiliko, na kwa kulitambua hilo baadhi ya watu, makundi, vyama wamekuwa wakiwatumia vibaya vijana ili kutimiza malengo yao.
Nafahamu vijana wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.