vijana

  1. Guacamole

    Muziki wa zilipendwa na vijana wa kisasa

    Habari viongozi, Jana nimetoka kumsikia mtoto aliyezaliwa kwenye miaka ya 2004 (15) akiimba wimbo wa Kilimanjaro Band uitwao Boko. Sasa najiuliza hawa vijana, wanawezaje kuimba nyimbo ambazo kipindi zinatamba wao hawakuwepo? Au hizi nyimbo zinarithishwa kama zinavyorithishwa genetic...
  2. K

    Vijana wanaofaulu mitihani ya kidato cha 4 vizuri tuwaandalie kanzi data(Database) na tuwafuatilie

    Wana JF, nimejaribu kuwaza kwamba juzi kwenye matokeo ya mtiani wa kidato cha nne 2019 hawa vijana 10 au "the best 10 students" kama yule kijana Yohana kutoka mkoa wa Simiyu na wengine waliotoka shule mbalimbali nchi nzima followup yao inakuwaje badae ili tuone kama nchi yaweza kunusuru na...
  3. Bonde la Baraka

    Vijana kutoka Zanzibar wanapendelewa ajira ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wawapo JKT

    Habari wakuu! Linapokuja suala la nafasi za kazi kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama na kuhitaji vijana walioko makambini(jkt) vijana wa Zanzibar huwa wanabebwa kana kwamba yatima, hapa sisemi kuwa hawa vijana kutoka Zanzibar waachwe la bali ni vyema watazamwe kama vijana wengine kutoka...
  4. Bonde la Baraka

    Haya sasa vijana mliokuwa na ndoto ya kuwa wanajeshi ila ndoto hizo zikafa, US na Iran itakuwa suluhisho

    Yes, kwa nchi zenye utulivu na ukosefu wa ajira kama Tanzania vijana wengi hupenda kuwa wanajeshi. Changamoto wanazokutana nazo ni matumizi mabaya ya ofisi na madaraka, hivyo basi mpaka ndugu wa Maafisa waishe, mpaka ndugu wa wenye fedha waishe ndipo utazamwe mtoto wa maskini. Vyombo vya ulinzi...
  5. M

    Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu limefika kileleni. Serikali ichukue hatuna kuepusha matatizo ya kisiasa na kijamii

    Hili ni kwa serikali na watunga Sera wa Taifa hili. Kuna tafiti moja nilikuwa nasoma imefanywa na Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimeshangaa kuona hili tatizo lilipofikia. Sio kwamba nilikuwa sijui bali tatizo ni kubwa na vijana waliohitimu vyuo vya elimu ya juu kwa maelfu hawana...
  6. Corticopontine

    Kabendera na vijana wenye tamaa za aina yake waache mara moja wanasababisha matatizo ya Familia zao waishi maisha halali wasifake maisha

    Kabendera alikuwa anatafuta pesa haramu kwa njia haramu Alijua anatenda jinai Alijua anayemdhalilisha hawezi kupambana naye Alijua mama yake ni mgonjwa na hawezi kupata huduma sawia bila yeye Kwa nini ajiingishe kwenye mfumo hatarishi wa maisha?
  7. Corticopontine

    Vijana wa Upinzani ni mbumbumbu ni vilaza wasiojua tofauti ya kutekwa na kukamatwa ndio maana hata vyama rafiki vimewatenga

    Hawa vijana wengi wao ni mbumbumbu kabisa hawajui kusoma alama za nyakati hawataki kuamini kwamba siasa za kiuanaharakati zimepitwa na wakati, hawataki kuamini kwamba uongo mmoja wao unasababisha vyama vyao vichukiwe
  8. dubu

    Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

    [/URL] Rais wa Tanzania, John Magufuli Kwa ufupi Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
  9. Kurunzi

    Hii kauli ya vijana wajiajiri inakera sana

    HII KAULI YA KUWAAMBIA VIJANA WAJIAJIRI INAWAKERA SANA. Na Thadei Ole Mushi. Mzee Mangula Shikamoo!!! Mwenye number ya Mzee Mangula Mpeni huu Ujumbe wa kutaka vijana wajiajiri. Mwambieni kuwa:- Kiongozi anayepokea Mshahara kila Mwezi, Posho kila Siku, anawekewa mafuta ya gari, analipiwa...
  10. beth

    Vijana wa JKT wadaiwa kuua

    Baadhi ya Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kikosi cha Milundikwa Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa wanadaiwa kuvamia Kijiji cha Kipande na kutembeza kipigo kikali kwa Wananchi hadi mmoja wao Sabato Mbalamwezi kupoteza maisha. Inaelezwa kuwa Sabato Mbalamwezi na mwenzie Renatus Wankamba...
  11. Champ

    Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

    Hawa sio mashabiki wa mpira au wafuasi wa chama fulani cha siasa. Hawa ni wataalamu wa kada ya afya. Madaktari, manesi, mafamasia etc. Wapo kwenye usaili kambi ya Twalipo, Mgulani, wakitaka kujiunga na jeshi,baada ya jeshi kutangaza nafasi za ajira. Hizi ni fani ambazo ilikua nadra sana kumkuta...
  12. Influenza

    Desemba 10: Siku ya Haki za Binadamu | Vijana wanasimamia Haki za Binadamu

    Mwaka 1948, Umoja wa Mataifa ulichagua tarehe 10 mwezi 12 kila mwaka kuwa Siku ya Haki za Binadamu ambapo kwa mwaka huu Kaulimbiu ni 'Vijana Wanasimamia #HakiZaBinadamu' Kaulimbiu imeweka vijana kwasababu ushiriki wa vijana ni muhimu kufikia maendeleo kwa wote na Wanaweza kuchukua jukumu muhimu...
  13. J

    Prof Shivji: Vijana someni historia siyo kila kitu mnachokiona leo ni kipya vingine vya zamani ila vilikosa usimamizi makini

    Akiongea katika kongamano la miaka 58 ya Uhuru pale Udsm Prof Shivji amewataka vijana kusoma historia ya nchi yetu kwani kuna mambo mengi yamefanyika huko nyuma lakini yalikosa usimamizi makini. Shivji amewataka vijana kuwa wadadisi na wenye kufikiri vizuri na kuachana na ukasuku na mambo ya...
  14. Erythrocyte

    Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  15. Sky Eclat

    Vijana wa sikuhizi lile jambo ni starehe na wala si vita

    Dada anaeleza changamoto wanazopata wakitumia condom za kike. Vijana wa sikuhizi hasa akiwa amekupa pesa kidogo anakomoa.
  16. Analogia Malenga

    Fahamu sababu zinazowafanya vijana kukosa furaha wanaponyimwa simu

    Karibu robo ya vijana wamejenga tabia ya utegemezi wa simu zao na tabia hiyo imekuwa kama uraibu, utafiti umebainisha. Utafiti uliofanywa katika chuo cha King kilichopo London, unasema kuwa watu wanakuwa na hofu na kukasirishwa kama wakinyimwa mwanya wa kuwa na simu. Vijana wamekuwa...
  17. C

    Vijana vyuoni kuelekea siku ya Ukimwi duniani, mwakumbushwa kuwa wapo waliozaliwa na maambukizi ya VVU

    Ni katika kuwakumbusha wale waliosahau na kuwatahadharisha wale tu wasiojua kuwa vijana muwapo vyuoni kuweni makini usiingie katika suala la kufanya mapenzi na kijana mwenzio huku ukijiaminisha huyu ni mdogo na akakwambia hajawahi kufanya mapenzi kabla ukaingia kwenye hatari.Nawakumbusha kuwa...
  18. Miss Zomboko

    Watoto na Vijana 300 hufariki kila siku kutokana na UKIMWI

    Ripoti kuhusu watoto na UKIMWI iliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF, inaonyesha kuwa watoto na vijana karibu 320 wanakufa kila siku kutokana na sababu zinazohusiana na ugonjwa huo. Chanzo kikubwa cha vifo hivyo ni upatikanaji mdogo wa matibabu ya ARV na ukosefu...
  19. beth

    Vijana washauriwa kuchagua taaluma za vipaji

    Vijana nchini wameshauriwa kuchagua taaluma zinazoendana na vipaji vyao ili kujiweka kwenye nafasi ya kufanya kazi ambazo watazifurahia siku za baadaye. Mkuu wa Chuo cha Emerson Education, jijini Dar es Salaam, Faizan Hussein amesema jana sasa kuna changamoto katika uwiano wa vyeti vya wahitimu...
  20. Mbepo yamba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
Back
Top Bottom