vijana

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana NCCR Mageuzi, Nicolas Clinton ang'olewa rasmi

    Taarifa Rasmi kutoka ndani ya Jumuiya ya Vijana NCCR aliyekuwa Mwenyekiti wa jumuiya hiyo kwa miaka miwili Nicolas Clinton ameng'olewa kwenye nafasi hiyo na kamati kuu ya chama hicho. Katika ukarasa wake wa Facebook ameandika maneno ya kukishukuru chama na Jumuiya ya Vijana kwa kuongoza ndani...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Waanzilishi wa jukwaa la GigSpace wawaasa vijana kutumia fursa za teknolojia ya mtandao

    Ofisa Mtendaji Mkuu na mbunifu wa jukwaa la Gigspace, Ashura Babi, akiwa na mwanzilishi mwenza, Steve Mawalla, wamesema waliamua kuanzisha jukwaa hilo kwa ajili ya kuwaongezea na kuwafungulia vijana pamoja na wafanyakazi fursa pia za ajira kupitia mtandaoni. Akizungumza katika mahojiano na...
  3. 2019

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

    Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani. Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo? Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na...
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Inaelekea COVID-19 ni nadra sana kuwa na effect kubwa kwa vijana na watoto

    Nilikuwa napitia matangazo ya chanjo za COVID-19 za Australia, chanjo itaanza kutolewa kwa wale walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi kama watoa huduma za afya, wafanyakazi wanaoishi kwenye makazi ya kuhudumia wa zee na walemavu, walinzi wa mipakani, na watoa chanjo wenyewe. Kisha...
  5. msovero

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

    Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe. "Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bustani zote kuwekwa Wi-Fi ili vijana wetu watumie kwenye shughuli zao za kielimu na ajira pia

    Hii safi sana, vijana wetu waendelee kufundishwa systems developments ikiwemo apps na games development na mengine mengi, wawe wanakaa kwenye hizi bustani mchana kutwa wakifanya kazi zao.... Pia itarahisisha kwa tuliobobea kwenye tasnia ili kuwasaidia vijana, unatenga masaa mawili kila siku na...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa uzee mwisho Chalinze

    Mjini ukiwa na pesa wewe ni babe.
  8. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Vijana msidanganywe, ukiwa na pesa utapata mwanamke umtakaye

    Nimekua nikisoma thread tofauti humu JF za wanaume wakilalamika kuhusu kutendwa na wanawake zao kisa hawana pesa kisa hawana uwezo wakuwahudumia hao wenza wao, nk Nimeona wengi kwenye comment wakishauri watu watafute pesa sana na kwa bidiii ili kuepuka hayo yote, kila ushauri mzuri ni vyema...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kwa Waziri wa Mambo ya ndani, RPC & RTO Mwanza: Kwanini vijana wenu (Traffic Police) wanatubambakia faini madereva bila kujua..?

    Hii siyo haki na kamwe siyo halali hata kidogo. Sisemi kwamba madereva hawafanyi makosa ya usalama barabarani, yanafanyika lakini hata hivyo siku hizi kwa kiasi kikubwa madereva wengi wanajitahidi kuwa makini. Hili hata mimi nakubali. Hii haijaja hivihivi bali ni kwa sababu idara ya Polisi -...
  10. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu ni wa kujichagulia. Je! Inaleta maana yoyote? Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu kuwa maskini? Hapana!

    Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio. Wengi wenu bado...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kupunguza muda wa kusoma darasani, vijana wanazeekea shuleni!

    Ukweli ni kwamba mambo mengi yanayofundishwa shule ya msingi ndio hayo hayo yanafunzwa shule ya sekondari. Ushauri wangu ifanyike review ya mitaala ya elimu yetu na masomo yanayowezesha elimu ya kujitegemea yaongezwe. Tupunguze mfumo wa elimu ya white colar na badala yake tuweke mfumo wa elimu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sisi Vijana wa CCM tumebaki wakiwa

    Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo. Lakini sasa hali imekuwa ngumu hakuna wa kumjibu wapinzani wamejifanya kukaaa kimya kama Nchi siyo Ya kwao. Hata ile buku...
  13. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Usiwaonee huruma wateule wa Magufuli kwani ni chujo la viongozi waliokosa ubunifu na baraka kwa vijana wenye ubunifu wa uongozi waliokuwa wakibaniwa

    Mh. Magufuli ameanza mizunguko yake kote nchini, na kama kawaida viongozi wengine wamekuwa wakipata shida kwa maswala anuwai, lakini zaidi ni uzembe. Na kama kawaida, watu wamekuwa wakilalamika kwamba Rais ni mkali sana jambo ambalo nimeshangazwa nalo. Kwa maoni yangu, rais anapaswa kuwa mkali...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

    JKT YASITISHA MAFUNZO DODOMA: JANUARI 19, 2021 JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena. Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea...
  15. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya namna ya kukabili changamoto ya ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  16. Chato tena

    JamiiForums Tanzania Vijana tunafanya nini kujikwamua?

    Habari wana jamvi. Leo napenda tuzungumzie changamoto zinazotukabili sisi vijana kuna changamoto nyingi sana. Baadhi ya changamoto ni ukosefu wa ajira, Ukosefu wa mitaji, pia kushindwa kuyatumia maarifa ya darasani yaliyopatikana na kuyaweka katika uhalisia wa maisha. 1. Changamoto ya...
  17. ragin

    JamiiForums Tanzania Vijana tuamke, kesi za wazazi tusizivalie njuga

    Mzazi akikupa hadithi za ujana wao mwambie sawa nimekuelewa,, ila usinifundishe namna ya kuishi na Mzazi mwenzio. Kuna wazazi hata kama alimfumaga baba na mchepuko siku ukipata kazi itakuwa silaha yake ya kuombea hela "nimeuza mkaa ili usome baba yako alikuwa bize na Malaya wake leo umepata...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Gari ya Jaji yasababisha ajali baada ya kutanua, vijana wa ujenzi Mwenge-Morocco wagongwa

    Utanuaji wa magari ya Serikali sasa yameanza kusababisha maafa. Leo jioni gari Kilimo Kwanza la Jaji mmoja, pale Mwenge limesababisa ajali na kupelekea daladala lililouwa linamkwepa huyo mkubwa kugonga wajenzi wa barabara Mwenge-Morocco. Vijana kadhaa wajenzi wamegongwa na kukimbizwa...
  19. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Je, kuna makampuni gani mapya yaliyoanzishwa na vijana wa Kitanzania?

    Habari, Naomba kujua ni makampuni gani mapya yaliyoanzishwa mwaka ulioisha (2020) na vijana wa kitanzania? Ahsanteni..
  20. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Serikali Hii: Kama mnawapenda vijana wahitimu wa vyuo basi ruhusuni ajira hii kwenye taasisi zenu

    Habari Tanzania! Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima. WAZO LA AJIRA Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
Back
Top Bottom