vijana

  1. technically

    JamiiForums Tanzania Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

    Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi. Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira...
  2. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

    Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM itaondolewa madarakani na vijana

    Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi. CCM mko hatarini na kikombe niki...
  4. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Propaganda za vijana wa CCM za picha za idadi ya watu kwenye mikutano ya Lissu

    Inafahamika kuwa Viajana wa CCM ndio vijana wenye upeo mdogo Sana wa kufikiri katika mambo muhimu yanayohusu nchi na Dunia. Vijana Hawa Ni tofauti na vijana wa nchi nyingine Hapa Afrika na Duniani. Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na wa nchi nyingine huwa wanauchungu wa kweli wa nchi zao...
  5. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

    Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla. Tunaamini yapo...
  6. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Watakaokubalika na vijana watashinda uchaguzi mkuu! Wazee wenye miaka 61 na kuendelea, ni asilimia 3 tu ya watanzania wote!

    Wanajamvi, Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema. Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Viongozi vijana waonywa ujuaji

    Serikali imewataka viongozi vijana kuacha tabia ya kujiona kila kitu wanakijua katika ofisi, hivyo kuharibu taasisi. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Dk. Laurean Ndumbaro, wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya uongozi ngazi ya...
  8. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa Vijana: Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15

    Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15 Background The International Center for Not-for-Profit Law (ICNL) is an international not-forprofit organization that promotes an enabling legal environment for civil society, freedom of association...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru aliwahi kusema CCM haitatumia tena wasanii. TOT na Vijana Jazz wanatosha. Je, amebadili gia angani? CCM wametishwa na "Ni-Yeye"?

    Nini kimeifanya CCM iachane na idea ya Dr.Bashiru ya kutokutumia wasanii? Tena alidai ujumbe katika nyimbo za kina Diamond, Harmonize, Ali Kiba, Zuchu, Dula Makabila, etc haziwachomi MABEBERU. Hebu msikilizeni alichokisema hapa.
  10. Kakke

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

    Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa. Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nahisi hii ni moja ya sababu ya sisi vijana kulalamika kuhusu ugumu wa maisha humu mtandaoni

    Nina imani wengi wetu humu JamiiForums tumetoka kwenye familia za kawaida, nikimaanisha kuwa tumeishi na wazazi wetu kwenye nyumba za tofali hata kama zilikua za kupanga, tumekua tukiwa na uhakika wa Milo mitatu kwa siku, kila siku, na ada ya shule haikusumbua sana wazazi. Vijana wengi tumeishi...
  12. Clever505

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani kwenye kampeni wazunguke na vijijini, vinginevyo Urais watausikia na kuhisi wanaibiwa kura

    Mimi ni Mwananchi niishie Dodoma katika walaya ya Mpwapwa, nakaa kijijini naweza kupaita porini kabisa. Tumeishi miaka yote bila huduma muhimu kama maji na umeme ambapo maji tumekuwa tukiyapata mbali visimani. Tangu aingie madarakani JPM ameweza kusimamia vizuri ambapo umeme pamoja na maji vipo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wafukua sarafu za dhahabu za miaka 1,100 Israel za enzi ya Abbasid

    Sarafu za dhahabu zilizozikwa katika chungu chenye uzito wa gramu 845 Vijana waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiakiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa miaka 1,100. Pesa nyingi zilizopatikana ni za wakati wa kipindi cha awali cha...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuna vijana wanasomeshwa kwa shida, wakiwa wakubwa wanaajiriwa na Wanasiasa kuwamaliza watu wasio na hatia

    Wanaochoma ofisi za vyama tupo nao nyumba za ibada. Wanaovamia nyumba za wagombea kusaka fomu tupo nao kwenye nyumba za ibada. Wanaowatuma vijana wafanye vurugu tupo nao kwenye nyumba za ibada. Wanaodhulumu haki kwa kuwapa vijana wasio na ajira rushwa tupo nao kwenye nyumba za ibada...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Vijana oeni mapema

    Nikikumba wakati nikiwa kwenye 20s na early 30s, nilikuwa na uwezo Mkubwa Sana wa kupiga game. Ingawa nilioa nikiwa na 30, nilikuwa nipo fit kitandani. Mola kanijaalia nimepata na watoto 4, sasa. Now nipo kwenye 40, naona kabisa uwezo wangu umeshuka sana, ingawa bado napigana lakini sio kama...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kuona vijana na wazazi wengi hawajui kutambua fursa. Hali hii husababisha vijana wengi kuendelea kuwa tegemezi

    Habari wakuu! Tukubali tukatae lazima tujue kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma. Hivyo basi style za mapigano ya maisha lazima zibadilike. Wazee wengi bado hawajajua hili. Hivyo huendesha mambo yawahusuyo vijana wao kizamanizamani. Na vijana nao wanakuja kuamka huku wameshamaliza chuo...
  17. Hekima94

    JamiiForums Tanzania Vijana tuijenge Afrika yetu

    Habari Wakuu, Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa MUNGU muweza wa yote kwa kuwa hapa muda huu na kushare na nyinyi mawazo haya. Vijana wenzangu sisi ndio tupo wengi katika nchi zetu hususani Tanzania hivyo basi kama tukiamua kuchukua hatua yoyote ile ya kimaendeleo tunaweza kufanikiwa sana...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wangu kwa vijana na wazee wetu, tuchagueni upinzani tuone watafanya nini

    Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - vijana Wakenya waibuka washindi wa tuzo la "Cisco Problem Solver Challenge 2020"

    Ipo siku tutaeleweka tu, kwa mwendo huu huu, hongera kwa kizazi chetu cha kesho, ni wazi tunapokeza taifa kwa vijana walio tayari kufanya makubwa huko mbele. ======= Savanna Circuit Tech company founders Percy Lemtukei (right) and Emmastella Gakuo (left). A Kenyan company, Savanna Circuit...
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM ya Sasa ni hasara kwa taifa na chama chao, hawawezi mijadala

    Vijana Hawa wa kizazi hiki wa CCM Ni tofauti kubwa Sana na vijana wa wakati ule,enzi za akina Mwalimu,Malechela,Kikwete,n.k. Hawa walikua na hoja kwenye mijadala mbalimbali na hata ya Kimataifa. Tanzania ikiwakilishwa na vijana wa wakati huo ilikonga nyoyo za washiriki wa makongamano Kimataifa ...
Back
Top Bottom