Vijana, kukata tamaa ni dhambi

sisi ni ndugu

Senior Member
Sep 4, 2018
121
135
Wiki hizi mbili nimekua nkikutana na vijana wenzangu katika shuhuli mbalimbali za kijamii.

Wengi wao ni hawa wahitimu wa Vyuo Vikuu wa mwaka huu, wanalalamika sana, mara maisha magumu, mara kazi hakuna, tumechoka kukaa home etc. Nkawauliza mmemaliza chuo juzi hata matokeo tu hayajatoka malalamiko ya nini? Wengi wakawa hawana majibu.

Vijana wenzangu hali ya maisha ya sasa ni ngumu kweli, ila tusikate tamaa, tupambane na ipo siku Mungu atatufungulia milango, tupunguze expectations kubwa wakati ndio kwanza kumekucha.
 
Sasa kama wamechoka kukaa home si wakajenge au wakapange au wazazi wanawalazimisha wakae home ?
 
Back
Top Bottom